PICHA 10: Mastaa wa soka Bongo Niyonzima, Kaseja, Okwi, Manula na Himid wakiwa na wake zao

Imekuwa ni kawaida kwa baadhi ya mastaa wa muziki kuonekana hadharani au katika mitandao ya kijamii wakiwa na wapenzi wao, inawezekana pia umewahi kuwasikia au kuwaona mastaa mbalimbali wa soka Tanzania lakini hujawahi kupata nafasi ya kuwaona wakiwa na wake zao. Leo February 17 2018 naomba nikusogezee upande wa pili wa maisha binafsi ya mastaa […]

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Bongo5

Picha: Watoto wa mastaa wa soka duniani wanaofuata nyayo za baba zao

Hizi ni picha za watoto wa wachezaji wa soka waliostaafu wanaofuata nyayo za wazazi wao. Hawa ni baadhi yao ambapo kuna watoto wa Zinedine Zidane, Rivaldo, Edwin van der Sar, Andy Cole na Patrick Kluivert. Je watoto hao wataweza kutawala katika soka kama baba zao na tutashuhudia kizazi kingine cha watoto wa magwiji hao? Diego […]

 

2 years ago

MillardAyo

EXCLUSIVE: Mishahara ya kwanza ya mastaa wa soka Samatta, Msuva, Maguli, Himid Mao na Bossou

screenshot_20161214-021149

Leo naomba nikusogezee Exclusive TOP 5 ya mishara yao ya kwanza ya mastaa wa soka, katika TOP 5 hii yupo Mbwana Samatta anyechezea KRC Genk ya Ubelgiji, Elias Maguli anayeichezea Dhofar FC ya Oman, Simon Msuva anayeichezea Yanga, Himid Mao wa Azam FC na staa wa soka pekee wa Ligi Kuu Tanzania bara aliyewahi kucheza […]

The post EXCLUSIVE: Mishahara ya kwanza ya mastaa wa soka Samatta, Msuva, Maguli, Himid Mao na Bossou appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Cheki TBT Pichaz za mastaa wa soka Ronaldo, Kaseja, Messi, Neymar na Wayne Rooney …

December 31 ikiwa tunaelekea kufunga mwaka 2015 kwa kusubiri saa kadhaa zitimie ili tuumalize mwaka. Hii ni Alhamisi ya mwisho kwa mwaka 2015. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee TBT Pichaz za mastaa hawa wa soka, Juma Kaseja, Neymar, Ronaldo, Messi na Wayne Rooney. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa […]

The post Cheki TBT Pichaz za mastaa wa soka Ronaldo, Kaseja, Messi, Neymar na Wayne Rooney … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

TOP 10 ya mastaa wa soka waliocheza Euro 2016 wakiwa na swaumu

euro

Duniani kote kwa sasa Waislamu wanafanya ibada ya kutimiza moja kati ya nguzo tano za imani ya dini yao, huu  ni mwezi mtukufu wa Ramadhani. Sasa kwenye mwezi huu inawezekana ukawa huwafahamu Wacheza soka ambao wanacheza kwenye michuano ya EURO wakiwa wamefunga, tazama hii Top10 hapa chini. 1- Emre Can 2- Xherdan Shaqiri 3- Granit Xhaka […]

The post TOP 10 ya mastaa wa soka waliocheza Euro 2016 wakiwa na swaumu appeared first on MillardAyo.Com.

 

3 years ago

MillardAyo

TOP 10 ya mastaa wa soka ambao wamecheza mechi za Euro 2016 wakiwa na swaumu

Crescent-Moon-1

Duniani kote kwa sasa waislamu wanafanya ibada ya kutimiza moja kati ya nguzo zao tano za imani ya dini yao ya kiislamu, huu  ni mwezi mtukufu wa Ramadhani na waislamu wote duniano hulazimika kufunga kama sehemu ya ibada yao, inawezekana uwaka hujui mtu wangu ila nakuletea TOP 10 ya mastaa wa soka ambao wanacheza mechi […]

The post TOP 10 ya mastaa wa soka ambao wamecheza mechi za Euro 2016 wakiwa na swaumu appeared first on MillardAyo.Com.

 

3 years ago

MillardAyo

Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha)

Najua nina watu wangu mnaopenda kufahamu magari wanayomiliki mastaa mbalimbali wakiwemo Bongo Movie na Bongo Fleva, sasa hapa nimefanikiwa kupata picha 11 za mastaa wanaomiliki magari makali Dar es Salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK […]

The post Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

MillardAyo

Kaseja baada ya kuulizwa namna Bocco, Kapombe na Manula walivyoondoka Azam na kujiunga na Simba

Golikipa wa zamani wa timu za Simba na Yanga ambaye kwa sasa anaichezea Kagera Sugar ya Bukoba Juma Kaseja alikuwa ni mmoja kati ya wageni waliyoalikwa katika kipindi cha Sports Bar cha Clouds TV kuzungumzia masuala mbalimbali kuhusiana na soka la Tanzania. Juma Kaseja kama moja ya wachezaji wenye uzoefu ambao wamewahi kucheza vilabu vya […]

The post Kaseja baada ya kuulizwa namna Bocco, Kapombe na Manula walivyoondoka Azam na kujiunga na Simba appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Global Publishers

Mastaa Waanika Bei Zao za Kupiga Picha za X

GIGY (1)

Stori: Mayasa Mariwata, Ijumaa

DAR ES SALAAM: Dunia imekwisha!  Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mastaa wa kike Bongo ambao wamekuwa vinara wa kuweka picha zao chafu mitandaoni, kuweka wazi viwango vyao vya malipo endapo mtu atahitaji picha zao za utupu (X).

Miongoni mwa wasanii hao ni muuza nyago maarufu Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’,  Asha Salum ‘Kidoa’ na Isabela Mpanda ‘Bella’ ambao kila mmoja amekiri kuwa yupo tayari kupiga dili hilo ili aweze kujiingizia...

 

4 years ago

Bongo Movies

Wake Up Filamu ya Kwanza Bongo Kuchezwa na Mastaa Wengi

TASNIA ya filamu imezidi kukua na kusonga mbele kila siku, thamani ya wasanii wanalipwa fedha nyingi kwa kushiriki filamu moja jambo linalomfanya mtayarishaji kutumia wasanii wachache kwa filamu yake lake katika sinema ya WAKE UP imevunja rekodi kuwashirikisha nyota wengi.

Akiongea na waandishi wa Habari mtayarishaji wa filamu hiyo Manaiki Sanga amesema kuwa sinema hiyo ilikuwa na kazi kubwa kwani hata kama mwigizaji angetaka kuigiza bure shughuli ilikuwa kuwahudumia mahitaji yao kwani ni...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani