PICHA 10 za Alikiba kutoka Johannesburg South Africa mambo 7 muhimu kutangazwa

.

Mwimbaji staa wa Bongo Fleva, AliKiba yuko Johannesburg South Africa ambako amekuja kutia wino kwenye dili zake jipya ambazo zitaishuhudia Bongo Fleva ikikaa kwenye headlines nyingine. Kuna mambo 7 makuu mapya yanayomuhusu msanii huyo yatatangazwa Mei 19, 2016 ndani ya saa 48 ikiwa yale aliyowahi kuyapitia katika maisha yake ya muziki.Mwimbaji huyo wa single ya […]

The post PICHA 10 za Alikiba kutoka Johannesburg South Africa mambo 7 muhimu kutangazwa appeared first on MillardAyo.Com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Alikiba kafika South Africa.. mambo yake 7 mapya kutangazwa kwenye dili jipya

Alikiba 2

Mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba amefika nchini Afrika Kusini ambako amekuja kutia saini kwenye dili zake saba mpya ambazo zitamchukua yeye na bongofleva kwenye hatua nyingine kubwa ya kimataifa, dili hizo zitatangazwa ndani ya saa 48 kuanzia leo May 19 2016, tazama hii video hapa chini ULIKOSA KUTAZAMA SHOW YA ALIKIBA LIVE, ALIVYOWAITA JOKATE NA […]

The post VIDEO: Alikiba kafika South Africa.. mambo yake 7 mapya kutangazwa kwenye dili jipya appeared first on MillardAyo.Com.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Mcheck Alikiba hapa kwenye Dili zake saba mpya kutoka Johannesburg South Africa

Youtube-live-streaming

Mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba amefika nchini Afrika Kusini ambako yupo kwa ajili ya kutia saini kwenye dili zake saba mpya ambazo zitamchukua yeye na bongofleva kwenye hatua nyingine kubwa ya kimataifa,check hapa live kinachoendelea   Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma […]

The post VIDEO: Mcheck Alikiba hapa kwenye Dili zake saba mpya kutoka Johannesburg South Africa appeared first on...

 

2 years ago

MillardAyo

Kutoka Jo’burg South Africa: kuanzia leo Alikiba yuko mikononi mwa Sony Music (Picha 16)

.

Mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba kuanzia leo atakua mikononi mwa Sony Music kuanzia leo, kampuni kubwa ya muziki inayofanya kazi na mastaa wa dunia kama Beyonce, John Legend na Chris Brown. Moja ya kazi za mkataba huo ni kumtengeneza Alikiba kweye kiwango cha juu zaidi kimuziki, kibiashara na kugharamia video zake na anaporekodi audio zake, kila anapotoa muziki […]

The post Kutoka Jo’burg South Africa: kuanzia leo Alikiba yuko mikononi mwa Sony Music (Picha 16) appeared first on...

 

1 year ago

MillardAyo

Kuhusu Watanzania 11 waliokamatwa Johannesburg South Africa

Ni taarifa kutoka Johannesburg South Africa ambako Wanaume 11 ambao ni raia wa Tanzania wamekamatwa na Polisi na kufikishwa Mahakamani wiki hii. Radio na Mtandaoni Johannesburg wiki hii kumeripotiwa kuwa kosa lililofanya Wanaume hao 11 kukamatwa na Polisi ni kumbaka Mwanamke mjamzito mwenye umri wa miaka 22 aliyekua akitoka kazini saa kumi na moja alfajiri. Mwanamke huyo […]

The post Kuhusu Watanzania 11 waliokamatwa Johannesburg South Africa appeared first on...

 

5 months ago

BBC

South Africa train crash: 200 injured near Johannesburg

Passengers on the commuter train sustained "minor to moderate" injuries when it crashed near Johannesburg.

 

2 years ago

BBC

Johannesburg mayor halts cycle lane plans in South Africa

Johannesburg's new mayor halts plans for an ambitious cycle lanes project, after some South Africans said poor areas should get tarred roads first.

 

1 year ago

BBC

South Africa police warn of taxi rape gang in Johannesburg

The latest victim appears to be a mother assaulted for four hours in front of her son.

 

2 years ago

BBC

South Africa local elections: ANC loses power in Johannesburg for first time

South Africa's governing ANC party loses control of the country's largest city and economic centre, Johannesburg.

 

2 years ago

MillardAyo

Mambo matano ya Alikiba na Baraka Da Prince kuvamiwa na Majambazi South Afrika

Alik

millardayo.com na AyoTV zilipata taarifa kuhusu waimbaji wa muziki wa bongofleva Alikiba na Baraka Da Prince ambao wote wako chini ya lebo ya Rockstar 4000, kuvamiwa na Majambazi wenye silaha Afrika Kusini saa tatu usiku kwa saa za Afrika Mashariki July 20 2016. Management inayowasimamia imeiambia millardayo.com kwamba wawili hawa pamoja na watu wengine wakati wanavamiwa, walikua kwenye […]

The post Mambo matano ya Alikiba na Baraka Da Prince kuvamiwa na Majambazi South Afrika appeared...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani