Picha 17 kilele cha maadhimisho ya miaka 54 ya mapinduzi Zanzibar

Wananchi kutoka sehemu mbalimbali wakijumuika pamoja katika kuangalia Urushwaji wa Fash Fash za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar,hafla iliofanyika Usiku wa kuamkia siku ya kilele cha maadhimisho hayo Maisara Mjini Unguja.

 

Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi katikati akiwa pamoja na waheshimiwa mbalimbali wakiangalia Urushwaji wa Fash Fash za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar,hafla iliofanyika Usiku wa kuamkia siku ya kilele cha maadhimisho...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

KILELE CHA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR.

 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana naRais Mstaafu wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo katika killele cha sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52,zilizofanyika katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,ambapo mgeni rasmi  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein. Baadhi ya Wananchi na Maafisa mbali mbali wa Serikali wakiwa katika sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52,zilizofanyika leo katika...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA WANANCHI WA SHINYANGA KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA 53 MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono kuwasalimia wananchi wa Shinyanga waliofika katika uwanja wa mpira wa Kambarage katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar mkoani humo.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akielekea kuwahutubia wakazi wa Shinyanga katika kilele cha Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Kambarage mkoani humo.Rais wa...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Kilele cha maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi

Baadhi ya Watendaji kutoka Idara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi wakiwa katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanziba,zilizofanyika leo Uwanja wa Amaan Mjini Unguja.[Picha na Ikulu.]12/1/2017.Baadhi ya Wanachama cha Mapinduzi CCM waliohudhuria katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja,wakifuatilia kwa makini taratibu za Sherehe hizo...

 

2 years ago

CCM Blog

RAIS DK MAGUFULI NA RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN WAUNGURUMA VIWANJA TOFAUTI KILELE CHA MIAKA 53 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar  Dk. Ali Mohamed Shein akipokea salamu ya heshma ya Gwaride la Vikosi vya Ulinzi katika  sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan
Viongozi  mbalimbali wakiwa kwenye sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan
Wananchi waliohudhuria katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan 

 

2 years ago

Zanzibar 24

Hotuba ya Rais wa Zanzibar katika sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan;

Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,

 

Mheshimiwa Majaliwa Kassim Majaliwa;

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,

 

Mheshimiwa Balozi Seif Ali Iddi;

Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar,

 

Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi;

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

wa Awamu  ya Pili,

 

Mheshimiwa  Benjamin Wiliam Mkapa;

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

wa Awamu  ya Tatu,

 

Mheshimiwa Dk. Jakaya Mrisho Kikwete;

Rais Mstaafu...

 

5 years ago

GPL

CLOUDS FM LEO IMEFIKA KILELE CHA MWEZI WA MAADHIMISHO YA MIAKA 14

Baadhi ya wafanyakazi mbalimbali wa kituo cha Clouds FM wakielekea ndani ya hospitali kwaajili ya kutoa misaada. Wafanyakazi  wakielekea wodini.…

 

3 years ago

Zanzibar 24

Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani Zanzibar

Mgeni Rasmin katika madhimisho ya siku ya Vijana Duniani Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Amina Salum Ali akisalimiana na Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Moudline Castico alipowasili katika kiwanja cha Mnara wa Kumbukumbu  ya miaka 50 ya Mapinduzi, Kisonge Mjini ZanzibarMgeni Rasmin katika madhimisho ya siku ya Vijana Duniani Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Amina Salum Ali akisalimiana na Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Moudline Castico alipowasili katika kiwanja cha Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi, Kisonge Mjini Zanzibar

 

Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Amina Salum Ali akiangalia bidhaa za wajasiriamali  wakati wa maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani yaliyofanyika Mnara wa kumbukumbu ya miaka 50  ya Mapinduzi, Kisonge Mjini Zanzibar.Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Amina Salum Ali akiangalia bidhaa za wajasiriamali wakati wa maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani yaliyofanyika Mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Picha: Sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Mhe,Maudline Cyrus Castico mara alipowasili katika viwanja vya Mpira Mahonda Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja leo katika Sherehe za Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani,[Picha na Ikulu.] 01/05/2017.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Katibu Mkuu wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani