PICHA 5: Mashemeji Derby Gor Mahia wameibuka Mabingwa wa SportPesa Super Cup 2017
Siku ya Jumapili ya June 11 2017 michuano ya SportPesa Super Cup yaliyokuwa yanashirikisha timu nane, kati ya hizo nne kutoka Kenya na nyingine kutoka Tanzania yamemalizika rasmi kwa kuchezwa mchezo wa fainali ya michuano hiyo kati ya AFC Leopards dhidi ya Gor Mahia. Fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup kama kawaida imechezwa katika […]
The post PICHA 5: Mashemeji Derby Gor Mahia wameibuka Mabingwa wa SportPesa Super Cup 2017 appeared first on millardayo.com.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
2 years ago
Michuzi
GOR MAHIA MABINGWA WA SPORTPESA SUPER CUP 2017, WAWATANDIKA FC LEOPARDS BAO 3-0


2 years ago
MillardAyo11 Jun
VIDEO: Magoli yaliyoipa Gor Mahia Ubingwa wa SportPesa Super Cup 2017
Jumapili ya June 11 2017 michuano ya SportPesa Super Cup iliyokuwa inashirikisha timu nane ilifikia tamati katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam kwa kuchezwa mchezo wa fainali kati ya Gor Mahia dhidi ya AFC Leopards, Gor Mahia wamefanikiwa kuibuka mabingwa wa SportPesa Super Cup baada ya kuifunga AFC Leopards kwa magoli 3-0. VIDEO: All goals Taifa […]
The post VIDEO: Magoli yaliyoipa Gor Mahia Ubingwa wa SportPesa Super Cup 2017 appeared first on millardayo.com.
2 years ago
MillardAyo11 Jun
VIDEO: Gor Mahia walivyosherehekea Ubingwa wao wa SportPesa Super Cup
Baada ya kufanikiwa kutwaa Ubingwa wa SportPesa Super Cup kwa timu ya Gor Mahia dhidi ya AFC Leopards ya Kenya kwa ushindi wa magoli 3-0 baada ya hapo Gor Mahia walikabidhiwa zawadi yao ya mfano wa hundi na kukabidhiwa Kombe lao katika uwanja wa Uhuru, kama hukuona video nimekuwekea hapa. VIDEO: All goals Taifa Stars vs […]
The post VIDEO: Gor Mahia walivyosherehekea Ubingwa wao wa SportPesa Super Cup appeared first on millardayo.com.
2 years ago
Michuzi
AFC LEOPARDS USO KWA USO NA GOR MAHIA KWENYE MECHI YA FAINALI YA SPORTPESA SUPER CUP- USHEMEJI POPOTE

Washindi wa nusu fainali za SportPesa Super Cup zilizofanyika Juni 08, 2017 Jijini Dar es Salaam, wanatarajiwa kukutana uso kwa uso kwenye mechi ya fainali ya kuwania kombe la michuano ya SportPesa Super Cup siku ya Jumapili ya tarehe 11, Juni 2017 itakayochezwa kwenye dimba la Uhuru jijini Dar es Salaam.
Katika mechi za nusu fainali, AFC Leopards walipambana na mabingwa wa Ligi kuu Tanzania bara, Klabu ya Yanga na kuwang’oa kwa mikwaju ya penati 4-2 ...
2 years ago
MillardAyo06 Jun
VIDEO: Yanga imewatoa Mabingwa wa Kenya SportPesa Super Cup
June 5 2017 Mabingwa Ligi Kuu soka Tanzania bara Dar es Salaam Young Africans walicheza dhidi ya Mabingwa wa Ligi Kuu Kenya Tusker FC katika mchezo wa SportPesa Super Cup, Yanga wamefanikiwa kuitoa Tusker FC katika michuano hiyo. Yanga wamefanikiwa kuifunga Tusker FC kwa mikwaju ya penati 4-2, hivyo ushindi huo umeipeleka Yanga katika hatua […]
The post VIDEO: Yanga imewatoa Mabingwa wa Kenya SportPesa Super Cup appeared first on millardayo.com.
2 years ago
MillardAyo06 Jun
PICHA: Simba imetolewa SportPesa Super Cup
Baada ya jana June 5 2017 kuchezwa michezo ya ufunguzi wa michuano ya SportPesa Super Cup 2017 na kushuhudia AFC Leopards ya Kenya na Yanga ya Tanzania zikifuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup. Leo June 6 2017 michezo ya robo fainali miwili ilichezwa katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, […]
The post PICHA: Simba imetolewa SportPesa Super Cup appeared first on millardayo.com.
2 years ago
Mwanaspoti11 Jun
Gor Mahia yatwaa ubingwa SportPesa
2 years ago
BBCSwahili
Timu ya Gor Mahia yatinga nusu fainali SportPesa
8 months ago
BBCSwahili
Gor Mahia yaichapa Simba 2-0 mchezo wa fainali kombe la SportPesa