PICHA 7: Rais Magufuli na Rais Kagame walivyoweka baraka zao kwenye daraja la Lusumo

.

Ni safari ya kwanza ya nje ya nchi kwa Rais Magufuli toka alipoteuliwa kuwa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania October 2015, kasafiri kwa gari kwenda Rwanda ambapo kwenye siku yake ya kwanza yeye pamoja na Rais Kagame wamezindua daraja la Rusumo kwenye mpaka wa Tanzania na Rwanda.  ULIIKOSA YA RAIS MAGUFULI KUNUNULIA WATU […]

The post PICHA 7: Rais Magufuli na Rais Kagame walivyoweka baraka zao kwenye daraja la Lusumo appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Channelten

PICHA : Rais Magufuli na Rais wa Rwanda Paul Kagame wazindua daraja la Kimataifa

20160406052341 20160406052339

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa Rwanda Paul Kagame wamezindua daraja la Kimataifa la Rusumo nchini Rwanda.

2820c6bc-0186-4338-88b7-53bf1ea0daed 6eb9e665-98d9-483d-8a7f-87c16e94c544

 

2 years ago

MillardAyo

PICHA 3: Rais Magufuli na Rais Kagame Kigali leo kwenye kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari

Kigali

Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania yupo nchini Rwanda kwenye ziara ambayo ameianza April 6 2016 na pamoja na mazungumzo na mwenyeji wake Rais Paul Kagame, Dr. Magufuli ameshiriki katika kumbukumbu ya Wanyarwanda wote waliofariki kwenye mauaji ya Kimbari. ULIIKOSA HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWENYE UFUNGUZI WA DARAJA LA RUSUMO MPAKANI MWA RWANDA NA TANZANIA? […]

The post PICHA 3: Rais Magufuli na Rais Kagame Kigali leo kwenye kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZ:RAIS DKT MAGUFULI NA RAIS WA RWANDA PAUL KAGAME WAZINDUA RASMI DARAJA LA KIMATAIFA LA RUSUMO NA KITUO CHA HUDUMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame wakikata utepe kwa pamoja kuashiria uzinduzi rasmi wa daraja la kimataifa la Rusumo, mchana huu. Tukio hilo limehudhuriwa na viongozi wa ngazi za juu serkalini kutoka Nchi zote mbili, Mabalozi, na Viongozi wa Taasisi mbambali za Kitaifa na Kimataifa.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame wakifurahia mara...

 

2 years ago

Global Publishers

Rais Magufuli Kagame Wazindua Daraja la Rusumo Rwanda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa Rwanda, Paul Kagame wakifurahia mara baada ya kuzindua rasmi daraja la kimataifa la Rusumo na Kituo cha Huduma kwa Pamoja Mpakani (OSBP) cha Rusumo.

Rais Magufuli na Rais Kagame wakikata utepe kwa pamoja kuashiria uzinduzi rasmi wa daraja la kimataifa la Rusumo na Kituo cha Huduma kwa Pamoja Mpakani (OSBP) cha Rusumo.
 Muonekano wa sehemu ya Daraja hilo la Rusumo  Jiwe la msingi lililowekwa baada...

 

2 years ago

Michuzi

Rais Magufuli akutana na kufanya Mazungumzo na Rais Kenyatta na Rais Kagame

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Rwanda Paul Kagame mara baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika Ngurdoto nje kidogo ya jiji la Arusha.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais wa Kenya Uhuru Kenyata kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa kawaida wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika...

 

6 months ago

Malunde

Picha : RAIS MAGUFULI AFUNGUA DARAJA LA WAENDA KWA MIGUU LA FURAHISHA JIJINI MWANZA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella pamoja na viongozi mbalimbali akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Daraja la Waenda kwa miguu la Furahisha liliopo jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa pamoja na viongozi mbalimbali akivuta utepe...

 

2 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI ZA RAIS MAGUFULI NA RAIS KAGAME WAKIWA NCHINI RWANDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amewashika mikono Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Bi Tonia Kandiero, pamoja na Balozi wa Japan Masaharu Yoshida pamoja na Rais wa Rwanda Paul Kagame wakipita kwenye Daraja la Rusumo mara baada ya ufunguzi.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Rwanda Paul Kagame wakiwasili kwenye ardhi ya nchi ya Rwanda na kulakiwa na kikundi cha ngoma.Rais wa Jamhuri ya...

 

3 months ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA UJUMBE WA RAIS KAGAME, AMUAGA BALOZI WA ZIMBABWE Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea  na Dkt Donald Kaberuka, Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame (kushoto kwa Rais),  katika mazungumzo yaliyohudhuriwa pia na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango,  Mhe. Dotto James na Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Uwekezaji Profesa Adolf Mkenda Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Januari 25, 2018.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani