PICHA: Azam FC imemtangaza kocha mpya leo January 10 2017

img_2226

Siku 13 baada ya uongozi wa Azam FC kutangaza kumfuta kazi kocha wake mkuu na benchi lake la ufundi kutokea Hispania Zeben Hernandez, leo January 10 2017 wamemtangaza kocha mpya anayekuja kurithi nafasi ya Zeben. Azam FC imetangaza kuingia mkataba wa miezi sita wenye kipengele cha kuongezewa mkataba zaidi na kocha Aristica Cioaba raia wa Romania […]

The post PICHA: Azam FC imemtangaza kocha mpya leo January 10 2017 appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

FA imemtangaza kocha mpya wa England leo July 22 2016

_65322755_sam_allarydce1_pa

Ijumaa ya July 22 2016 chama cha soka cha England FA kimemtangaza kocha wa klabu ya Sunderland ya England Sam Allardyce “Big Sam” kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya England. FA wametangaza leo rasmi na kukamilisha ule uvumi wa muda mrefu kuhusiana na kocha huyo kuchukua nafasi hiyo. Sam Allardyce mwenye umri wa […]

The post FA imemtangaza kocha mpya wa England leo July 22 2016 appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

MillardAyo

KRC Genk imemtangaza kocha mpya, aliwahi kuifundisha Man United

i

Ni siku moja imepita toka timu ya KRC Genk ya Ubelgiji inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta, itangaze kuachana na kocha wake mkuu Peter Maes kutokana na mfululizo wa matukio yasiyoridhisha katika michezo ya hivi karibuni. KRC Genk baada ya kuachana na Peter Maes leo imemtangaza kocha mpya atayerithi nafasi ya Peter Maes, Genk imetangaza Albert Stuivenberg […]

The post KRC Genk imemtangaza kocha mpya, aliwahi kuifundisha Man United appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Bongo5

Chelsea imemtangaza rasmi Antonio Conte kuwa kocha wao mpya kwa mkataba wa miaka mitatu

32A6DEAD00000578-3522705-Chelsea_have_confirmed_that_Antonio_Conte_will_take_over_as_mana-m-62_1459771973739

Klabu ya Chelsea imemtangaza rasmi Kocha wa timu ya taifa ya Italia, Antonio Conte kuwa kocha wake kwa mkataba wa miaka mitatu kuanzia msimu ujao. Ataanza kuliongoza benchi la ufundi la The Blues mara baada ya kumalizika kwa michuano ya Euro huko nchini Ufaransa.

Leo April 4, klabu ya Chelsea imethibitisha kukubaliana Conte kuwa kocha wao akichukua mikoba ya aluyekuwa kocha wa timu hiyo Jose Mourinho.

Conte-deal-done

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram...

 

1 year ago

MillardAyo

PICHA 10: Muonekano wa barabara za Dodoma leo January 5 2017

cooooo

Dodoma ndio mji mkuu wa Tanzania ambayo imeendelea kuchukua headline zake kila siku hasa baada ya Rais John Pombe Magufuli kutangaza kuwa serikali yake yote ni lazima ihamie Dodoma ili kukamilisha maana nzima ya kuwa ndio makao makuu. Najua kuna baadhi ya watu wangu hawajawahi kufika kabisa Dodoma na wapo wengine pia hawajafika ni kwa […]

The post PICHA 10: Muonekano wa barabara za Dodoma leo January 5 2017 appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

MillardAyo

PICHA 11: Muonekano wa barabara za katikati ya jiji la Tanga leo January 5, 2017

3x6a7732

Nafahamu wapo wale wanaotamani kutembelea jiji la Tanga, lakini bado hawajapata nafasi hiyo, na huenda una hamu pia ya kujua maeneo ya katikati ya jiji la Tanga yana muonekano gani, leo nakusogezea picha 11 za jinsi majengo na barabara za Tanga zinavyoonekana wakati wa mchana. VIDEO: Umepitwa na Magazeti ya leo January 5, 2016? Alice […]

The post PICHA 11: Muonekano wa barabara za katikati ya jiji la Tanga leo January 5, 2017 appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

MillardAyo

Bei mpya za Petrol, mafuta ya Taa na Diesel kuanzia leo January 4, 2017

org_anwb423

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji nchini (EWURA) imetangaza bei mpya za Petrol, Diesel na mafuta ya Taa zinazoanza kutumika leo Jumatano huku bei ya mafuta ya Taa na Diesel ikiwa imeshuka kwa wastani wa shilingi 66 kwa lita. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kusainiwa na Mkurugenzi Mkuu wa EWURA Felix […]

The post Bei mpya za Petrol, mafuta ya Taa na Diesel kuanzia leo January 4, 2017 appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

Michuzi

KOCHA MPYA AZAM AJA NA MBINU MPYA YA KLUIVAA SIMBA J'MOSI

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii

Baada ya kutoka na ushindi dhidi ya Cosmo Politan wa magoli  3-1 na kutinga hatua ya 16 bora ya Kombe la FA, Klabu ya Azam , Jumamosi itakuwa kibaruani kuvaana na Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) utakaofanyika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. 
Tayari kikosi cha Azam  kimeanza rasmi mazoezi juzi jioni kwa ajili ya kujiandaa na mtanange huo unaotarajiwa kuwa ni wa kisasi kwa pande zote mbili kutokana na aina ya matokeo yaliyotokea...

 

1 year ago

MillardAyo

VIDEO: Goli 4-0 za Azam FC dhidi ya Yanga January 7 2017

screen-shot-2017-01-07-at-11-41-00-pm

January 7 2017 mchezo kati ya Yanga dhidi ya Azam FC Kombe la Mapinduzi ulichezwa katika uwanja wa Amaan, huo ulikuwa ni mchezo wa mwisho wa Kundi B, Azam FC ilifanikiwa kuifunga Yanga goli 4-0, magoli yakifungwa na John Bocco dakika ya 2, Yahaya Mohamed dakika ya 54, Joseph Mahundi dakika ya 80 na Enock […]

The post VIDEO: Goli 4-0 za Azam FC dhidi ya Yanga January 7 2017 appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

Bongo5

Azam yamtambulisha kocha mpya raia wa Romania

Klabu ya Azam FC imemshusha kocha mpya anaejulikana kwa jina la Aristica Cioaba kutoka Romania.

Kocha huyo amepewa mkataba wa miezi sita kwa ajili ya matazamio kama atafanya vizuri huenda akapewa mkataba wa muda mrefu lakini kinyume na hapo atafata nyayo za akina Zeben Hernandez.

Afisa habari wa Azam FC Jafar Idd amesema Aristica Cioaba atasaidiwa na makocha wazalendo ambao wanaiongoza Azam kwa sasa wakiongozwa na Idd Cheche.

“Tumeshapata kocha mpya kutoka Romania ambaye tumempa mkataba wa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani