Picha: Batuli na Joel wa Fresh120media Katika Mapozi Tata!!

Kila mtu anajua uzuri na raha ya picha, hizi ni za mwigizaji Batuli akiwa na Joel Joseph wa fresh120media  siku ya sherehe yake  ya kuzaliwa.

Watu wanasema picha huzungumza, lakini Batuli mwenyewe asema wao ni marifiki tuu, na sisi tunakubali, lakini wapo ambao wanaona kunachazaidi hapa....

Katika kuona picha hizi zina utataaa, kwenye moja ya picha hizi Batuli aliandika kwa kumuliza joel kiutani.

“Can I ask u something!? Joel do u have a girlfriend!? Maana nahisi kama utapigwa hivi.........

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Bongo Movies

Batuli Afunguka Kuhusu Picha za Utupu

Muigizaji wa filamu nchini, Yobnesh Yusuph, Batuli’ amesimama na kutaka watu waiheshimu sanaa ya Tanzania na kuwatetea wasanii kwamba hawahusiki na suala la upigaji picha za utupu isipokuwa watu wachache waliojipenyeza kwa staili ya picha.

Yobnesh Yusuph, Batuli

Batuli ametoa kauli hiyo kipindi hiki ambacho wasanii wa magizo na muziki wamekuwa wakinyooshewa vidole na serikali kwa kuvaa mavazi yasiyo na maadili na kuweka picha kupitia mitandao na hata kwenye kazi zao za sanaa.

Batuli amesema...

 

5 years ago

Bongo5

Picha (screenshots) tata kwenye video ya Anaconda (18+)

Kama unataka kuangalia video ya wimbo wa Nicki Minaj ‘Anaconda’ hakikisha watoto wamelala na haupo mbele ya mtu unayemheshimu. Ni shida. Hizi ni picha zenye utata kutoka kwenye video hiyo.

 

2 years ago

Bongo Movies

Tunda Afungukia Picha Tata Zilivyomkosesha Dili

Video queen Tunda amefunguka kuwa picha zilizowahi kuvuja mitandaoni akiwa kitandani na msanii Stan Bakora zilikuwa ni sehemu ya filamu na zilifanya familia yake kuingilia kati na kumkataza kuigiza filamu hiyo ambayo ilikuwa katika maandalizi.

Tunda amevujisha siri hiyo kupitia eNewz ya EATV na kudai kuwa picha hizo zilizomuonesha akiwa kitandani kwenye pozi zenye utata ziliifanya familia yake ishindwe kuvumilia

“Sijawahi kuwa na mahusiano na Stanbakora, yule ni mshkaji wangu wa karibu sana...

 

2 years ago

Bongo Movies

Mzazi Mwenzake Linah Afungukia Picha Tata

Baba mtoto wa msanii Linah Sanga, Mchomvu amedai picha alizopiga msanii huyo akiwa mjamzito ni za kawaida na kwamba alihusika kwa asilimia zote kuhakikisha zoezi linaenda sawa ikiwa ni pamoja na kuandaa mavazi, ingawa kwa jamii ilionekana tofauti.

Aidha ameongeza kuwa picha kama zile kwa Linah ambaye ni mwanamuziki hazina shida hata kidogo ingawa kwa jamii ya kiafrika zilionekana hazina maadili na kuongeza kwamba watanzania wanapenda kuviona vitu hivyo kwa wasanii kutoka nchi za magharibi...

 

4 years ago

Bongo Movies

Batuli Amshukia Kitale Kwa Kuvujisha Picha Hizi Mtandaoni

Staa wa mrembo wa Bongo Movie, Batuli ameonyesha kuchukizwa kwake kwa kitendo cha staa mwenzake, Kitale kuvujisha picha hizi  akiwa faragha na mwigizaji chipukizi, Stanbakora ikiwa ni kati ya moja ya kipande cha kazi yao mpya, kwa madai kuwa anaipa ‘promo’.

Kupitia ukurasa wake mtandao Batuli ameeleza kuwa Kitale alimpa picha hizo Mateja ambaye ndiye aliezisambaza kwenye mtandao wa Instagram.

“Kwanza mniwie radhi Watanzania mnachokiona na kinachoelezewa ni vitu viwili tofauti mwenye akili...

 

3 years ago

Bongo5

Nicki Minaji ashtua Instagram kwa picha tata

Rapa wa kike kutoka kundi la Young Money, Nicki Minaj amevunja ukimya kwa kutupia picha za utupu mtandaoni.

0524-jason-daphne-pda-footer-5

Mastaa wengi duniani wakiongozwa na Kim Kardashian wamekuwa wakitumia njia ya kupiga picha za utupu na kuzitupia mitandaoni huku wengine wakitafuta njia nyingine za kufanya majina yao yazidi kuwa juu.

rs_600x600-151120153325-600-jason-derulo-daphne-joy-couple-instagram-bn-1120151

Baada ya kuonekana kuwa kimya na kutulia na mpenzi wake Meek Mill, rapa huyo amepost picha kupitia akaunti yake ya Instagram zinazoonyesha utamu wake ukiwa mtupu na kuwaacha vidume...

 

2 years ago

Bongo Movies

Duma Afunguka Haya Kuhusu Picha zake Tata

INAKUWAJE Pale ambapo unakuwa na hamu ya kutoka kimapenzi na mtu maarufu harafu hupati nafasi hiyo kufuatia staa unayemtamani yupo kwenye penzi zito na mtu mwingine? Bila shaka picha zake zinaweza kuwa tulizo lako tosha.

Ukubwa wa majina ya mastaa unaongeza idadi ya mashabiki wanaotamani kutoka nao kimapenzi ila hawapati fursa hiyo kwa sababu tu ya umbali na ugumu wa kukutana na mastaa hao.

Mara nyingi wasanii wakike hupiga picha za utupu na kusisambaza kwenye mitandao ya kijamii kwa lengo...

 

2 years ago

Michuzi

Tata Motors wazindua toleo jipya la basi na lori la mizigo ya Tata Ultra jijini Dar es Salaam

 Maofisa wa kampuni ya magari ya Tata Motors, wakioneysha magari mapya aina ya Tata Ultra Truck na Tata Ultra Bus wakati wa uzinduzi rasmi wa magari hayo jijini Dar es Salaam.   Mkuu wa Kitengo cha Biashara ya Magari cha Kampuni ya Tata Africa Holdings (T) Ltd, Prashant Shukla (wa tatu kulia), akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa toleo jipya la gari la abiria na la mizigo la Tata Ultra jijini Dar es Salaam jana. Wengine ni baadhi ya maofisa wa kampuni hiyo.  Mkuu wa Kitengo cha Biashara...

 

2 years ago

Mwananchi

Maswali tata, majibu tata ya Profesa Lipumba

Profesa Ibrahim Lipumba, ambaye ana mgogoro na chama chake cha CUF, jana alitinga studio za Clouds TV kujibu mapigo ya hasimu wake, Maalim Seif Sharif Hamad katika kipindi cha 360 na mambo matatu yalijitokeza.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani