Picha: Diamond Platnumz akionesha gari lake jipya

Staa wa muziki kutoka nchini Tanzania Nasibu Abdul maarufu kama  Diamond Platnumz kupitia instagram ameamua kuonesha gari lake jipya lakifahari ambalo atatumia katika shuhuli zake akiwa South Afrika.

diamondplatnumz

 

 

 

 

The post Picha: Diamond Platnumz akionesha gari lake jipya appeared first on Zanzibar24.

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Malunde

ALIYETAKA KURITHI PENZI LA DIAMOND KWA ZARI AAIBIKA NA GARI LAKE JIPYA AKITAKA KUHONGA

Zari The Boss Lady amesema hamfahamu Ringtone Apoko ambaye ni msanii wa muziki wa Injili kutoka nchini Kenya aliyetangaza kumnunulia mrembo huyo gari aina ya Range Rover Sport ya mwaka 2017.
Hapo jana Ringtone Apoko aliweka wazi kuwa amenunua gari hilo baada ya kusikia Zari atawasili nchini humo kwa ajili ya event yake, pia kipindi cha nyuma msanii huyo alipopata taarifa za Zari kuachana na Diamond alijitokeza na kueleza ana nia ya kumuoa.
 Zari akiwa nchini Kenya amehojiwa na kituo cha Radio,...

 

3 years ago

MillardAyo

CONFIRMED: Picha 4 za mfano wa gari la kifahari Diamond Platnumz analotaka kulinunua mwaka 2016

R3

Mwimbaji kutoka kwenye muziki wa bongofleva Diamond Platnumz alikaa kwenye Exclusive Interview ya onAIRwithMillardAyo na kuzungumza vitu vingi sana kuhusu maisha yake na muziki wake ambapo moja ya maswali aliyoyajibu kwa kujiachia na akiwa ana tabasamu ni kuhusu kununua gari la ndoto yake. Platnumz alimwambia Millard Ayo >>> ‘Nataka nibadilishe aina ya gari sababu imekua […]

The post CONFIRMED: Picha 4 za mfano wa gari la kifahari Diamond Platnumz analotaka kulinunua mwaka 2016 appeared...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Gardner G. Habash kaonyesha gari lake jipya siku sita baada ya mkataba mpya

G

Mtangazaji Gardner G. Habash amerejea CloudsFM toka alipoacha kuifanyia kazi December 2010, sasa amerudi na kupewa mkataba mpya kuifanya show ileile ya JAHAZI kuanzia saa kumi mpaka moja jioni CloudsFM na ataanza kusikika kwa mara ya kwanza leo April 11 2016. April 3 2016 ndio ilikua siku ya mkataba wake mpya wa kurejea CloudsFM na […]

The post VIDEO: Gardner G. Habash kaonyesha gari lake jipya siku sita baada ya mkataba mpya appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Jipya kutoka kwa Diamond Platnumz na crew nzima ya WCB

Msanii wa kimataifa Diamond Platnumz ametumia ukurasa wake kuwahabarisha wapenzi wa muziki kuhusiana na Wasafidotcom ambao ni mtandao mpya wa kuweza kununua nyimbo za wasanii wa Tanzania na nje ya Tanzania.

Hapa chini tumekuekea ujumbe huo:

Habari Mashabiki zetu pendwa…tunayo furaha kukupa habari njema ya kwamba kuanzia sasa @wasafidotcom ndio sehemu rasmi na pekee ya kuweza kujipatia Nyimbo za wasani wako wote pendwa toka hapa nchini Tanzania na nje ya tanzania…lengo kuu la kuanzisha...

 

5 years ago

Bongo5

Diamond amnunulia Wema gari jipya kama zawadi ya birthday

Jumapili ya September 28 ilikuwa ni siku ya kuzaliwa mrembo aliyebeba taji la Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu. katika kusheherekea siku hiyo mpenzi wake Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz alithibitisha kwa vitendo kuwa mapenzi yao bado yako imara, kwa kumnunulia zawadi ya gari jipya aina ya Nissan. Picha ya gari hilo la rangi nyeusi iliambaatana […]

 

4 years ago

Bongo Movies

Wema Sepetu Alisusa Gari Alilopewa na Diamond Platnumz

Stori: Musa Mateja

LILE ndinga aina ya Nissan Murano alilozawadiwa supastaa Wema Sepetu na aliyekuwa mchumba wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’, limeanza kumchefua mrembo huyo kiasi cha kulisusa.

Tukio hilo lilijidhihirisha wazi mbele ya paparazi wetu juzikati nyumbani kwa staa huyo, Kijitonyama jijini Dar, ambapo Wema alitamka hadharani kuwa kwa sasa analichukia kupita maelezo gari hilo alilozawadiwa na Diamond kwenye sherehe yake ya kuzaliwa.

“Bwana acha nitumie hili gari lingine kwenda...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani