Picha: Dkt Shein akiweka jiwe la msingi mji mpya wa kisasa nyamanzi

Sherehe za Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mji wa Kisasa(Funba Town Development)Nyamanzi Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 

Baadhi ya Wananchi waliohudhuria katika sherehe za Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mji wa Kisasa(Funba Town Development)Nyamanzi Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

7 months ago

Michuzi

FUATILIA LIVE RAIS DKT MAGUFULI AKIWEKA JIWE LA MSINGI WA RELI YA KISASA (Standard Gauge ) LEO MKOANI DODOMA

Pichani chini ni sehemu ya eneo ambalo Rais Dkt John Pome Magufuli leo anatarajia kuweka jiwe la Msingi sehemu ya pili ya Ujenzi wa Reli ya kisasa (Standard Gauge ) kuanzia Morogoro hadi Makutopora mkoani Dodoma.Sherehe hizo zinafanyika eneo le Ihumwa mkoani humo,ambapo tukio hilo litarushwa LIVe hewani kupitia Redio na Televisheni. 

 

2 years ago

Zanzibar 24

Picha: Makamu wa Pili a Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Ukuta wa kuzuia maji ya Bahari

Makamu wa Pili a Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Ukuta wa kuzuia maji ya Bahari hapo Mizingani Forodhani Mjini Zanzibar ikiwa ni shamra shamra za kusherehekea miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dr. Khalid Salum Mohamed kulia akimuongoza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif  Ali Iddi  kwenda kuweka jiwe la msingi la Ujenzi wa Ukuta wa kuzuia maji ya Bahari hapo Mizingani Forodhani Mjini Zanzibar.

Kulia ya Balozi...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI ASHUHUDIA RAIS KABILA WA CONGO-DRC AKIWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA MAMLAKA YA BANDARI (TPA) JIJINI DAR ES SALAAM LEO


Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mhe. Joseph Kabila Kabange ameweka jiwe la msingi la jengo la Kituo cha Pamoja cha Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) ambalo limejengwa kwa lengo la kuwaweka pamoja wadau wote wanaotoa huduma katika bandari ya Dar es Salaam ikiwa ni juhudi za kuboresha huduma na kupunguza gharama kwa watumiaji wa bandari hiyo.


Hafla ya uwekaji jiwe la msingi la jengo hilo refu kuliko yote Afrika Mashariki na kati imefanyika leo tarehe 04 Oktoba, 2016 na...

 

2 years ago

MillardAyo

PICHA 10: Rais Magufuli alivyoweka jiwe la msingi ktk ujenzi wa maktaba ya kisasa UDSM

3X6A0067

Rais John Pombe Magufuli leo June 2 2016 alikuwa ni mgeni rasmi katika shughuli ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi katika Maktaba mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam ambacho Mkuu wa Chuo hicho ni  Rais mstaafu Jakaya kikwete millardayo.com ilikuwa eneo la tukio na nimekuwekea picha 10 kutoka UDSM.   ULIUKOSA MGOMO […]

The post PICHA 10: Rais Magufuli alivyoweka jiwe la msingi ktk ujenzi wa maktaba ya kisasa UDSM appeared first on MillardAyo.Com.

 

2 years ago

Michuzi

DKT SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI VERDE-MARINE HOTEL ZANZIBAR.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifungua pazia kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa VERDE-MARINE HOTEL Mtoni Mjini Magharibi,hoteli ya kisasa yenye hadhi ya nyota 5 inayojengwa na kampunui ya ujenzi ya Bakhresa Group of Companies,ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar,(kulia) Mwenyekiti wa Bakhresa Group of Companies Bw.Said Salim Bakhresa.[Picha na Ikulu.]

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA RELI YA KISASA STANDARD GAUGE KUTOKA DAR HADI MOROGORO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es Salaam hadi mkoani Morogoro na baadaye kuendelea hadi mikoa ya Kigoma na Mwanza.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa...

 

3 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI WODI YA WATOTO NA UPANUZI WA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA(ORIO)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazoakama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi Wodi ya Watoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja leo ikiwa ni katika shamra shamra miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa Ushauri kwa Uongozi wa Hospitali wa Wizara ya Afya wakati alipokuwa akitembelea hatua ya ujenzi Wodi ya Watoto na upanuzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja baada ya...

 

7 months ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI RELI YA KISASA ITAKAYOTUMIA UMEME SGR-KUTOKA MOROGORO HADI MAKUTUPORA- DODOMA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa mradi wa Reli ya Kisasa itakayotumia umeme Standard Gauge (SGR) itakayotoka mkoani Morogoro hadi Makutupora Dodoma katika eneo la Stesheni ya Ihumwa nje kidogo ya mji wa Dodoma. Wengine katika picha ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa pamoja na Balozi wa Uingereza hapa nchini Sarah Cooke...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani