Picha: Hawa ni washindi wa tuzo za EATV 2016, Alikiba akomba tuzo 3

Mwanamuziki Alikiba ndiye msanii aliyejishindia tuzo nyingi katika usiku wa Tuzo za EATV 2016 zilizofanyika Jumamosi hii katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
img_9313
Alikiba akitoa neno la shukrani kwa mashabiki wake

Aidha msanii wa filamu Salim Ahmed aka Gabo Zigamba ameondoka tuzo mbili.

Wasanii ambao walifanya show usiku huo ni pamoja na Darassa, Billnass, Lady Jaydee, Barnaba, Vanessa Mdee, Shetta, Alikiba pamoja na Maurice Kirya.

List ya washindi wote wa EATV Award

1. Kipengele...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo Movies

Alikiba,Jide,Joh Makini,Shetta Wapambana Kuwania Tuzo za Tuzo za EATV

East Africa Television LTD imeendelea kutaja ‘nominees’ wa vipengele vingine viwili watakaowania EATV AWARDS.

alikiba021

Kupitia Planet Bongo ya East Africa Radio, EATV LTD ikishirikana na Vodacom Tanzania na CocaCola imetaja vipengele viwili vya kundi bora la mwaka, na video bora ya mwaka, ambapo wasanii kutoka nchi 3 za Afrika Mashariki, wamefanikiwa kupenya.

Wasanii hao tukianzia na kundi bora la mwaka ni:

Navy Kenzo – ‘Kamatia chini’

Mashauzi Classic – ‘Kismet ‘

Wakali wao – ‘Chozi langu...

 

2 years ago

Dewji Blog

Tazama hapa kushuhudia washindi wa tuzo za EATV AWARD 2016

Kutoka katika tukio linaloendelea muda huu ndani ya Mlimani City katika utoaji wa tuzo za EATV 2016.

Washindi wa tuzo hizo: Mwanamuziki Bora Chipukizi ni Man Fongo huku tuzo ya Kundi Bora la Mwaka ikichukuliwa na kundi la Navy Kenzo.

Kwa upande wa  msanii Bora wa kike imeenda kwa Msanii Chuchu Hans na Msanii Bora wa kIume ikinyakuliwa na Gabo. Kwa upande wa Mwanamuziki Ali Kiba ameibuka mshindi wa wimbo bora wa Haje.

 

dsc_0072dsc_0077dsc_0080dsc_0083dsc_0085dsc_0087dsc_0089dsc_0091dsc_0094dsc_0098dsc_0101dsc_0103dsc_0107dsc_0094dsc_0113dsc_0117dsc_0120dsc_0127dsc_0133dsc_0144

dsc_0133dsc_0137dsc_0152dsc_0155dsc_0162dsc_0179dsc_0190

Msanii Darasa akifanya vitu jukwaani ..ameangusha moja ya bonge la...

 

3 years ago

Bongo5

Hawa ndio washindi wa tuzo za Golden Globes 2016

Lady G

Tuzo kubwa za Golden Globes, zimetolewa usiku wa Jumapili January 10, 2016 huko Beverly Hills, California nchini Marekani, ikiwa ni tuzo za 73 kutolewa.

Lady G
Lady Gaga akipokea tuzo yake ya ‘Best Actress in a Limited-Series or TV Movie’

Haya ni majina ya washindi wa tuzo hizo:

FILM

Best Motion Picture – Drama
“Carol”
“Mad Max: Fury Road”
“The Revenant” — WINNER
“Room”
“Spotlight”

Best Motion Picture – Comedy or Musical
“The Big Short”
“Joy”
“The Martian” — WINNER
“Spy”
“Trainwreck”

Best Director...

 

2 years ago

Bongo Movies

MTVMAMA2016: Diamond, Alikiba, Vanessa Mdee, Raymond, Navy Kenzo na Yamoto Band Wakosa Tuzo, Washindi Hawa Hapa

Tanzania imetoka kapa kwenye tuzo za MTV MAMA 2016 zilizofanyika usiku wa Jumamosi hii jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Diamond, Alikiba, Vanessa Mdee, Raymond, Navy Kenzo na Yamoto Band walikuwa wametajwa kuwania tuzo hizo.

cvz5ptjxgaakzly

Wizkid alikuwa man of the night

Ulikuwa ni mwaka wa Wizkid aliyeibuka na tuzo nyingi zaidi, ikiwemo ya msanii bora wa mwaka. Diamond na Alikiba walikuwa miongoni ma wasanii waliotumbuiza.

“Shukran sana sana kwa Kura na support Kubwa mlionipa na mnayoendelea kunipa,”...

 

2 years ago

Bongo5

Video: Alikiba, FA, G-Nako, Shetta na Ben Pol kuwania tuzo ya msanii bora wa EATV Awards 2016

Tuzo za burudani za EATV Awards 2016 zimezinduliwa ramsi Ijumaa hii kwa kutangaza vipengele vitatu vipya na wasanii wanaowania ambapo Alikiba, FA, G-Nako, Shetta na Ben Pol watachuana katika kipengele cha msanii bora wa kiume.
wasanii
Hawa ni wasanii wanaowania kipengele cha msanii bora wa kiume 2016

Kupitia mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika Hoteli ya Slipway jijini Dar es salaam, EATV LTD ikishirikana na Vodacom Tanzania, CocaCola, Barcklays Bank, kampuni ya ukaguzi ya Innovate...

 

3 years ago

Bongo5

Hawa ndio washindi wa tuzo za ‘The Headies 2015’ za Nigeria zilizotolewa Jan 1, 2016

Headies-2015

Tuzo za The Headies za nchini Nigeria zilizokuwa zitolewe December 30, 2015 zilisogezwa na kutolewa January 1, 2016 jijini Lagos.

Headies-2015

Katika tuzo hizo kulikuwa na kipengele kimoja kwaajili ya wasanii wa nje ya Nigeria, ‘African Artist’ ambapo Diamond Platnumz alikuwa akiwania na Cassper Nyovest, AKA na Uhuru wa Afrika Kusini, pamoja na Sarkodie wa Ghana. Hata hivyo matokeo ya kipengele hicho hayajawekwa.

Ifuatayo ni orodha ya washindi wa tuzo hizo zilizofanyika kwa mara ya kumi:

Headies...

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI NAPE APONGEZA TUZO ZA EATV, ALI KIBA ANYAKUA TUZO TATU, DJ BONNY LOVE APEWA TUZO YA HESHIMA

 Waziri wa Habari, Utamaduni ,Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye akiwapongeza Wasanii mbalimbali waliojinyakulia tuzo zao usiku wa leo,zilizofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar,ambapo Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ali Kiba ameibuka kinara kwa kujinyakulia tuzo tatu. Waziri wa Habari, Utamaduni ,Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na Wasanii mbalimbali waliojinyakulia tuzo zao usiku wa leo.1Waziri wa Habari, Utamaduni ,Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye...

 

2 years ago

MillardAyo

Full List: Washindi wa tuzo za AMA’s 2016 (+RedCarpet PICHA)

drake2

Tuzo za America Music Awards zimefanyika huko Los Angeles Marekani kwenye ukumbi wa Microsoft Theater, usiku wa kuamkia leo, ambapo ulikuwa usiku mkubwa kwa Justin Bieber baada ya kuongoza kwa kupokea tuzo nyingi zaidi, huku Drake na Rihhana wakifuatia kwa tuzo tatu kila mmoja. Collabo ya ‘Work’ ya Drake na Rihanna  inatajwa kuchangia kwa kiasi kikubwa ushindi […]

The post Full List: Washindi wa tuzo za AMA’s 2016 (+RedCarpet PICHA) appeared first on...

 

3 years ago

MillardAyo

PICHA 22: List ya washindi wa tuzo 13 za Ligi Kuu Tanzania bara 2015/2016

DSC_1673

Usiku wa July 17 2016 kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom ambayo ndio wadhamini wakuu wa Ligi Kuu soka Tanzania bara, walitangaza na kutoa tuzo 13 kwa wachezaji, refa na timu bora zilizofanya vizuri msimu wa 2015/2016,  Vodacom kwa kushirikiana na TFF wamefanikiwa kuchagua na kutoa zawadi kwa washindi wa tuzo hizo. List ya […]

The post PICHA 22: List ya washindi wa tuzo 13 za Ligi Kuu Tanzania bara 2015/2016 appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani