PICHA: KITUO CHA MAFUTA TEGETA JIJINI DAR ES SALAAM CHATEKETEA KWA MOTO

Kituo cha mafuta kilichopo eneo la Tegeta Azania jijini Dar as Salaam kineteketea kwa moto.Chanzo cha ajali hiyo ni gari lililokuwa likishusha shehena ya mafuta kushika moto.

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: KITUO CHA MAFUTA CHATEKETEA KWA MOTO HUKO TEGETA JIJINI DAR LEO

Kituo cha mafuta cha Petro kilichopo eneo la Tegeta kikionekana kuteketea kwa moto asubuhi hii, huku chanzo kikidaiwa kuwa ni gari lililokuwa likishusha shehena ya mafuta kituoni hapo kushika moto. inaelezwa kuwa Gari hilo limeteketea lote huku sehemu ya kituo hicho pia imeteketea. Kikosi cha zimamoto kipo eneo la tukio kukabiliana na janga hilo.Sehemu ya Magari ya vikosi vya Zimamoto yakiwa tayari kukabiliana na tukio hilo.

 

2 years ago

Global Publishers

LIVE KUTOKA TEGETA: Kituo cha Mafuta Chateketea kwa Moto

 

Kituo cha mafuta cha Petro kilichopo Tegeta Azania jijini Dar es Salaam, kinateketea kwa moto baada ya gari la kubebea mafuta lililokuwa likipakua shehena ya mafuta kituoni hapo, kupata hitilafu na kushika moto.

Moto huo mkubwa umesababisha barabara kufungwa, na kusababisha kukosekana kwa mawasiliano kati ya pande hizo mbili, huku Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likiendelea na juhudi za kuudhibiti moto huo.

Taarifa zaidi zitakujia hapahapa, tayari timu ya Global TV inaelekea eneo la tukio na...

 

1 year ago

Michuzi

KIWANDA CHA MAFUTA CHA MURZAH CHATEKETEA KWA MOTO JIJINI DAR ES SALAAM

 Sehemu ya Kiwanda cha  Mafuta cha MURZAH kikiteketea kwa moto huku baadhi ya ya Magari ya Askari wa kikosi cha Zima Moto wakijitahidi kuzima moto huo ambao mpaka sasa chanzo chake hakijajulikana.  Sehemu ya Kiwanda Cha  Mafuta cha MURZAH kikiteketea kwa moto huku baadhi ya ya Magari ya Askari wa kikosi cha Zima Moto wakijitahidi kuzima moto huo ambao mpaka sasa chanzo chake hakijajulikana. Askari wa Jeshi la Zima Moto wakijaribu kuudhibiti moto ambao ulikuwa unarukia upande wa pili wa...

 

2 years ago

Ippmedia

Moto wateketeza kituo cha mafuta cha Petro Tegeta Dar es Salaam

Day n Time: Breaking NewsStation: ITV

 

2 years ago

Zanzibar 24

Habari Picha: Kituo cha mafuta chateketea na moto kinazini Zanzibar

Kituo cha mafuta cha kinazini kinachomlikiwa na kampuni ya United Petroleum kimeungua moto mashimo yake ya kuhifazia mafuta nakusababisha kiwanda cha mbao kilichokaribu yake kuteketea kwa moto majira ya saa moja asubuhi leo.

Moto huo uliosababishwa na gari la mafuta lilofika kwa ajili ya kumimina mafuta kituoni pia umeteketeza gari hilo pamoja na kuteketeza shimo la mafuta kituoni hapo.

Dereva wa gari hiyo amewahi kujiokoa japo kuwa amepata majeraha katika mguuu na Mpaka sasa hakuna mtu...

 

2 years ago

Ippmedia

Lori lililokuwa na shehena ya mafuta limeungua moto Tegeta Kibaoni jijini Dar es Salaam

Lori lililokuwa na shehena ya mafuta katika kituo cha mafuta cha Petro kilichopo Tegeta Kibaoni jijini Dar es Salaam limeungua moto zikiwemo baadhi ya mashine za mafuta kituoni hapo baada ya nyaya zilizokuwa wazi kwenye ubao wa matangazo ya bei za mafuta kupata hitilafu na kusababisha moto huo.

Day n Time: Jumatatu Saa 2:00 UsikuStation: ITV

 

3 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi wa kituo cha mafuta cha Puma cha Uwanja wa Ndege jijini Dar Es Salaam watekeleza agizo la Rais kwa kufanya usafi

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mafuta cha Puma cha  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Brown Francis akishiriki kufanya usafi katika kituo hicho ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Dk.John Magufuli kuwa maadhimisho ya Siku ya Uhuru 2015 yatumike kwa kufanya usafi nchini kote.

Meneja wa Kituo hicho, Shadrack Mwamaso naye akishiriki kufanya usafi.

Hapa usafi ukiendelea.

Hapa ni kazi usafi ukifanyika.

Ni kama anaongea ‘Ngoja nikazitupe taka taka hizi eneo...

 

5 years ago

Habarileo

Kituo cha Radio chateketea kwa moto

KITUO cha kurusha matangazo ya radio cha dini ya Kiislamu cha Alnoor kimeteketea kwa moto ikiwemo studio zake tatu. Mkurugenzi mkuu wa Radio Alnoor, Mohamed Suleiman Tall, alithibitisha kutokea kwa ajali hiyo ambayo alisema chanzo chake kikubwa ni hitilafu ya moto katika kituo kikuu cha umeme.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani