Picha: MAKAMU WA RAIS BUNGE LA AFRIKA STEPHEN MASELE APOKELEWA KWA SHANGWE JIMBONI KWAKE SHINYANGA

Makamu wa rais wa Bunge la Afrika,Mheshimiwa Stephen Masele ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini (CCM) amepokelewa kwa shangwe Mjini Shinyanga alipofika kuzungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara.

Mheshimiwa Masele aliyekuwa ameambatana na wabunge wanne akiwemo Mbunge wa Jimbo la Msalala Ezekiel Maige,Mbunge wa Manonga Seif Gulamali,Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Ruvuma Jackline Msongozi na mbunge wa Babati Vijijini mkoani Manyara Jitu Son,amefanya mkutano wa hadhara katika...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

8 months ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AWAPONGEZA WABUNGE STEPHEN MASELE (MAKAMU WA RAIS BUNGE LA AFRIKA) PAMOJA NA MBONI MHITA (RAIS WA CAUCUS YA VIJANA YA BUNGE LA AFRIKA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM)

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wabunge, wa kwanza kushoto Stephen Masele ambaye amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika aliyeambatana na Mbunge mwingine Mboni Mhita (kulia) ambaye pia  amechaguliwa kuwa Rais wa Caucus ya vijana ya Bunge la Afrika katika uchaguzi uliofanyika Afrika ya Kusini wiki iliyopita.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari mara baada...

 

2 years ago

Malunde

Picha: MBUNGE WA JIMBO LA SHINYANGA MJINI STEPHEN MASELE AMALIZA ZIARA JIMBONI,WANANCHI WALIA NJAA


Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini mheshimiwa Stephen Masele kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amemaliza kufanya ziara yake ya siku tatu katika jimbo la Shinyanga.

Katika ziara hiyo ya kikazi iliyoanza Februari 15,2017 kumalizika Februari 17,2017 ,Mheshimiwa Masele amekagua miradi ya maendeleo na kufanya vikao na wananchi wa kata 14 kisha kujadili na kuzitafutia ufumbuzi kero za wananchi.
Katika maeneo mengi aliyopita,Mheshimiwa Masele amekutana na kilio kikubwa cha tatizo la njaa...

 

2 years ago

Malunde

Picha 44:MBUNGE WA SHINYANGA MJINI STEPHEN MASELE AFANYA ZIARA JIMBONI,ATEMBELEA MRADI MKUBWA WA DARAJA LA GALAMBA


Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini mheshimiwa Stephen Masele kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Jumatano Februari 15,2017 ameanza ziara ya kukagua miradi ya maendeleo na kuangalia miundo mbinu iliyopo katika jimbo hilo. 


Siku ya kwanza ya ziara ya mbunge huyo ilikuwa katika kata ya Kolandoto,Ibadakuli,Shinyanga Mjini,Kambarage na Ngokolo. 
Mheshimiwa Masele alikuwa ameambatana na Katibu Mwenezi wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini Rajabu Makuburi pamoja na wataalam kutoka idara mbalimbali...

 

3 years ago

Michuzi

MWIGULU NCHEMBA APOKELEWA KWA SHANGWE JIMBONI KWAKE IRAMBA

Waziri wa Kilimo ,Mifugo na uvuvi Bw Mwigulu Nchemba akifurahia zawadi ya maboga aliyepewa na wananchi wa kijiji cha KilaMpanda jimbo la Iramba mkoa wa Singida wakati wa ziara yake ya kuwashukuru wananchi wa jimbo hilo kumchagua bila kufanya kampeni mwaka jana kuendelea kuwa mbunge wao kwa kipindi cha pili sasa.
Wananchi wa jimbo la Iramba kata ya Kilampanda wakimpokea mbunge wao Bw Mwigulu Nchemba kwa zawadi za maboga wakati wa ziara yake jimboni humu jana Juni 5.Mbunge Mwigulu akitembea kwa...

 

2 years ago

Michuzi

MBUNGE WA SHINYANGA MJINI STEPHEN MASELE AFANYA ZIARA JIMBONI, ATEMBELEA MRADI MKUBWA WA DARAJA LA GALAMBA


Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini mheshimiwa Stephen Masele kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)  Jumatano Februari 15, 2017 ameanza ziara ya kukagua miradi ya maendeleo na kuangalia miundombinu iliyopo katika jimbo hilo.  Mhandisi wa Barabara wa Manispaa ya Shinyanga Injinia Stephen Manyangu akiendelea kutoa maelezo ingawa hata hivyo mbunge Masele aliahidi kutengenezwa/kujengwa kwa barabara hiyo kwa kiwango kwa fedha za mfuko wa jimbo la Shinyanga mjini wakati wanafanya utarabu wa kujenga...

 

2 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA SHINYANGA MJINI STEPHEN MASELE AMALIZA ZIARA JIMBONI MWAKE,ASIKILIZA MATATIZO YA WANANCHI

Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini mheshimiwa Stephen Masele kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amemaliza kufanya ziara yake ya siku tatu katika jimbo la Shinyanga.
Katika ziara hiyo ya kikazi iliyoanza Februari 15,2017 kumalizika Februari 17,2017 ,Mheshimiwa Masele amekagua miradi ya maendeleo na kufanya vikao na wananchi wa kata 14 kisha kujadili na kuzitafutia ufumbuzi kero za wananchi. 
Katika maeneo mengi aliyopita,Mheshimiwa Masele amekutana na kilio kikubwa cha tatizo la njaa...

 

8 months ago

Malunde

Video : HOTUBA NZITO ILIYOMPA USHINDI MH. MASELE KUWA MAKAMU WA RAIS BUNGE LA AFRIKA


Miongoni mwa habari kubwa wiki hii ni kuhusu Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini (CCM), Mheshimiwa Stephen Masele kuchaguliwa kwa kishindo kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP).

Uchaguzi huo ulifanyika Mei 10, 2018 nchini Afrika Kusini.

Nimekuwekea hapa Hotuba ya Mheshimiwa Masele iliyompa ushindi. Tazama video hapa chini

 

4 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA APOKELEWA KWA SHANGWE JIMBONI KWA NGELEJA LEO,AKAGUA MRADI MKUBWA WA MAJI

   Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifafanua jambo alipokuwa akihutubia umati wa watu waliofurika kumsikiliza  katika uwanja wa CCM Wilaya ya Sengerema ambapo aliwaambia wakazi hao Chama Cha Mapinduzi kitasimamia haki na misingi kwani ndio chama pekee kinachojali watu.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wapo kwenye ziara ya Kukagua na kuimarisha uhai wa chama,Kukagua na kuhimiza utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani