Picha: Manji aonekana akitolewa polisi na gari la wagonjwa

​Mfanyabiashara Yusuf Manji Jumapili hii alionekana akitolewa kwenye Kituo Kikuu cha Polisi na kupandishwa kwenye gari la wagonjwa ambalo lilipita Barabara ya Sokoine kuelekea Posta Mpya.

Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi, Manji akipanda gari hilo la Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) lakini hawakufahamu mara moja alikoelekea.

Manji alikuwa amevaa fulana, suruali na viatu vya wazi vyote vya rangi nyeusi

Mwenyekiti huyo wa Yanga anashikiliwa na jeshi hilo kwajili ya...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

PICHA: Yusuph Manji akielekea kupanda gari la Wagonjwa kituo cha Polisi

Mfanyabiashara maarufu wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Club ya soka ya Yanga Yusuph Manji ni miongoni mwa Watu 65 waliotajwa na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kwenye orodha ya sakata la dawa za kulevya. Manji ambaye alikwenda Polisi toka Alhamisi iliyopita, leo jioni ameonekana na Waandishi wa habari nje […]

The post PICHA: Yusuph Manji akielekea kupanda gari la Wagonjwa kituo cha Polisi appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Malunde

JINSI MANJI ALIVYOONDOLEWA POLISI KWENYE GARI LA WAGONJWA


Gari la wagonjwa lililombeba Yusuf Manji na gari lake binafsi katika viunga vya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI).
Mfanyabiashara maarufu na Mwenyekiti wa Club ya soka ya Yanga Yusuph Manji amekua akishikiliwa na Polisi kituo cha kati Dar es salaam toka Alhamisi ya February 9 2017 baada ya kwenda kuhojiwa kutokana na kutajwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kwenye orodha ya watu 65 kwenye sakata la dawa za kulevya.

Jana jioni Mfanyabiashara huyo alichukuliwa na gari la...

 

2 years ago

MillardAyo

VideoFUPI: Mazingira ya Yusuph Manji kuchukuliwa na gari la Wagonjwa Polisi

Mfanyabiashara maarufu na Mwenyekiti wa Club ya soka ya Yanga Yusuph Manji amekua akishikiliwa na Polisi kituo cha kati Dar es salaam toka Alhamisi ya February 9 2017 baada ya kwenda kuhojiwa kutokana na kutajwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kwenye orodha ya watu 65 kwenye sakata la dawa za kulevya. Jioni […]

The post VideoFUPI: Mazingira ya Yusuph Manji kuchukuliwa na gari la Wagonjwa Polisi appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

PICHA: Lilipoonekana Gari la Manji baada ya kuchukuliwa na Ambulance Polisi

Leo jioni February 12 2017 Mfanyabiashara maarufu Yusuph Manji kwenye kituo cha Polisi Kati Dar es salaam alionekana akichukuliwa na gari la Wagonjwa aina ya Land Cruiser ikiwa ni baada ya kuhojiwa na Polisi toka Alhamisi February 9. Baada ya gari hilo kumchukua haikujulikana alikopelekwa lakini halikuondoka peke yake kituoni hapo, gari lililoongoza msafara huo […]

The post PICHA: Lilipoonekana Gari la Manji baada ya kuchukuliwa na Ambulance Polisi appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Mwananchi

Manji atoka polisi kwa gari la wangonjwa

Mfanyabiashara Yusuf Manji ametolewa kwenye Kituo Kikuu cha Polisi muda mfupi uliopita na kupandishwa kwenye gari la wagonjwa ambalo lilipita Barabara ya Sokoine kuelekea Posta Mpya.

 

2 years ago

Bongo5

Picha: Wema Sepetu aachiwa kwa dhamana, Manji na Gwajima watinga polisi

Alhamisi hii malkia wa filamu nchini Wema Sepetu ameachiwa kwa dhamana ya shilingi milioni tano baada ya kupandishwa kizimbani kwenye mahamaka ya Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa mashtaka matatu yanayomkabili.

Wakati huo huo mfanyabiashara maarufu Yusuph Manji na askofu Josephat Gwajima wamewasili katika kituo cha kati cha polisi kwa ajili ya kutii agizo la mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paulo Makonda ambapo majina yao yalitajwa Jumatano hii kuwa miongoni mwa majina 65 katika orodha...

 

2 years ago

Malunde

BINTI ANAYEDAIWA KUFA KWA KUGONGWA NA GARI AONEKANA MAKABURINI AKIWA HAI


 Kijana Dereva wa Bodaboda,ambaye pia ni mganga wa jadi, Anuary Abdallah, akiwa na Binti aliyedaiwa kugongwa na gari kisha kufariki dunia papo hapo na mwili wake kupelekwa Hospitali ya Mwananyamala, na baadaye kukutwa makaburini akiwa hai akiwa hawezi kuzungumza. Picha Zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO
)Na Muhidin Sufiani, DarBINTI  anayejulikana kwa  jina la Anna Mathew (18), mkazi wa Mbezi Juu, eneo la Gold Star Jijini Dar es Salaam,  aliyedaiwa  kugongwa na gari na kufariki dunia papo hapo...

 

1 year ago

Malunde

Picha : SHIRIKA LA TVMC LATOA MSAADA WA MAGURUDUMU YA GARI POLISI SHINYANGA,DC MATIRO APONGEZA

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro amelipongeza Shirika la lisilo la kiserikali la The Voice of Marginalized Community (TVMC) linalotoa huduma za kijamii kwa upande wa vijana ,watoto na wanawake na makundi yasiyojiweza la mkoani Shinyanga ambalo linatekeleza mradi wa kupambana na matukio ya ukatili wa kijinsia ndani ya jamii kutokana na kufanya kazi zao kwa ukaribu na serikali katika kumaliza matatizo hayo ili kuwafanya wananchi waiishi salama.

Matiro ametoa pongezi hizo leo...

 

1 year ago

Malunde

Picha : POLISI SHINYANGA YAKAMATA GARI LENYE MITAMBO YA MINARA YA SIMU ILIYOIBIWA VODACOM


Jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga limefanikiwa kukamata gari lenye namba za usajili T.243 CVU Toyota Carina mali ya Mayeka Mlenda mkazi wa Kahama likiwa limebeba mali za wizi ikiwemo betri 9 za minara ya mawasiliano ya simu ya kampuni ya Vodacom.
Kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga ACP Simon Haule alisema mali hizo zimekamatwa kupitia operesheni mbalimbali zinazoendelea likihusisha taarifa za kiintelijensia.
Alisema gari hilo lilikamatwa likiwa na betri kubwa 9 za minara ya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani