Picha: Muamuzi aliyesababisha wachezaji wasahau mechi na wabaki kumkodolea macho

Brazil ni moja ya nchi zilizobarikiwa na warembo matata. Wiki hii katika mechi iliyochezwa na klabu ya Desire dhidi ya Sporting katika mchezo ambao usio na ligi,lilikuwa kwa mshika kibendera wa kike ambaye alikuwa anachezesha mechi hiyo.

Mrembo Denise Bueno ambaye alishika kibendera katika mchezo huo kama muamuzi namba mbili aliwafanya wachezaji washindwe kucheza mpira na muda mwingi kuchukuliwa wakimshangaa yeye huku mpira unaendelea.

Tukio hilo lilitokea baada ya muamuzi huyo kunywa maji na bahati mbaya yalimwagikia katika nguo yake ya juu aliyoivaa na kusababisha sehemu ya mwili wake kuonekana kiurahisi.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

‘Changa la macho’ hadi kwa wachezaji!

Nakumbukuka sehemu ya hotuba moja ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alisema kuna zuzu kauziwa almasi feki halafu anaondoka, alikuwa na almasi akadanganywa akaambiwa, almasi siyo hii, almasi ni hii. Kumbe ni chupa.

 

1 year ago

Bongo5

Picha: Osha macho kwa picha za kuvutia za Beyonce kwenye Elle Canada

Beyonce anafanya promo ya nguo zake, Ivy Park na jarida la ELLE litamweka kwenye majarida yake 25 duniani kote. Tazama hizi za Elle Canada.

32F0207200000578-0-image-a-5_1460069065624

32F0207A00000578-0-image-a-2_1460068778229

32F0206E00000578-0-image-m-8_1460069888366

32F048BC00000578-0-image-a-6_1460069071497

32F0208500000578-0-image-a-4_1460069062320

32F0206400000578-0-image-a-1_1460067704116

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

1 year ago

Bongo5

Maoni: Hawa ni wachezaji waliofanya vibaya kwenye mechi ya El Clasico

Barcelona-VS-Real-Madrid

Ligi ya Hispania haina mashabiki wengi zaidi duniani kama walivyokuwa mashabiki wa Messi na Ronaldo, lakini mechi ya El Clasico ni moja kati ya mechi zinazofuatiliwa sana na mashabiki wengi duniani.

Barcelona-VS-Real-Madrid

Kabla ya mechi ya Jumamosi ya El Clasico kuchezwa, timu hizo zilikuwa tayari zimeshakutana mara 229, Real Madrid alikuwa kashinda mechi 92 na Barcelona amefanikiwa kushinda mechi 89.

Dakika 90 pekee za mwamuzi, Alejandro Jose Hernandez zilitosha kuipa ushindi Madrid wa magoli 2-1. Magoli ya...

 

12 months ago

Channelten

#VIDEO Yasikupite haya ya Wachezaji wacheleweshaji Mpira katika Mechi

westtime

Ni kawaida mengi hutokea wakati wa mechi katika Soka hili la Dunia lakini hili hukwaza na kuwafurahisha watu hasa pale timu fulani ikiwa inajigamba ushindi wa mabao katika mechi husika ni pale wachezaji wanapoamua kuchelewesha muda kwa makusudi kwa lengo la muda wa mchezo kuisha.

Tazama hapa video chini baadhi ya Wachezaji wacheleweshaji muda mchezoni…

By Clement Silla

 

 

1 month ago

Bongo5

Hawa ndio wachezaji watakao kosa mechi ya Ujerumani na Uingereza

Timu ya taifa ya Ujerumani leo usiku March 22,2017, itawakosa wachezaje wake Mesut Ozil, Julian Draxler na Mario Gomez katika mchezo wa kirafiki dhidi ya England kutokana na majeruhi. Wakati huo pia Phil Jones amejiondoa katika kikosi cha Uingereza baada ya kuumia mazoezini jana.

Kocha wa kikosi cha Uingereza, Gareth Southgate amesema

“tumemrudisha Jones kataika klabu yake, tutajua zaidi baada ya vipimo katika saa 24 au 48 zijazo.”

Southgate hana mpango wa kumuita mchezaji mwingine kama...

 

3 months ago

VOASwahili

Wachezaji wa timu ya taifa ya Congo wakisali kabla ya mechi na Morroco hivi leo.

Wachezaji wa timu ya taifa ya Congo wakisali kabla ya mechi ya leo!

 

10 months ago

Michuzi

WACHEZAJI WANA MORALI YA HALI YA JUU, SASA MECHI KUCHEZWA SAA KUMI JIONI- SALEH

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.ZIKIWA zimesalia siku kadhaa kuelekea kwenye mtanane unaisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa Yanga dhidi ya TP Mazembe unaotarajiwa kupigwa Juni 28, huku Yanga wakiwa kambini nchini Uturuki Meneja Yanga Hafidh Saleh amesema kuwa kikosi kinaendelea vizuri na zaidi hali za wachezaji wote wapo kwenye hali nzuri na tayario Oscar Joshua ameshaanza mazoezi na wenzake.
Salehe amesema kuwa wachezaji wanaendelea na mzoezi jioni ya leo katika viwanja vya hoteli ya Rio...

 

2 years ago

Bongo Movies

Picha: Safisha Macho na Hizi za Shishi Bybee Zilizopendwa na Wengi

Picha hizi za staa na mrembo kutoka Bongo Movies, Shilole ‘Shishi bybee’   alizozibandika leo kwenye ukursa wake mtandaoni zimewapagawisha wengi na kuzua mzozo huku wengine  wakimmwagia sifa mwanamama huyu wa watoto wawili , kuwa anaonekana kama ni mdada wa miaka 20+ na wengine kuvuka mpaka na kusema mwacheni Mziwanda ambae ni mchumba wake aendelee kung’ang’ania hata kama anapewa kichapo mara kwa mara kwani Shishi bybee ni mtamuu zaidi ya mcharoo.

Kiukweli Shishi ametokelezea,jionee hapo...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani