PICHA: Rais Dkt. Magufuli akifungua mabweni mapya UDSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametekeleza ahadi yake ya kukabiliana na uhaba wa mabweni kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambapo leo tarehe 15 Aprili, 2017 amefungua mabweni mapya ya wanafunzi wa chuo hicho yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3,840.

Mhe. Rais Magufuli alitoa ahadi ya kujenga mabweni hayo tarehe 02 Juni, 2016 na ujenzi ukaanza tarehe 01 Julai, 2016 ambapo Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kwa kushirikiana na Jeshi la Kujenga...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Global Publishers

LIVE: Rais Magufuli Akizindua Mabweni Mapya UDSM

The post LIVE: Rais Magufuli Akizindua Mabweni Mapya UDSM appeared first on Global Publishers.

 

2 years ago

Bongo5

Rais Magufuli azindua mabweni mapya ya UDSM, yatachukua wanafunzi 3,840

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli, Jumamosi hii amefanya uzinduzi wa mabweni mapya ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, UDSM.

Rais Magufuli amesema kukamilika kwa mabweni hayo ya kisasa ndani ya kipindi chini ya miezi minane ni ishara kuwa Tanzania inaweza. “Tukiamua tunaweza tukafanya watu wakaona miujiza,” amesema.

Ameongeza kuwa wapo watu walibeza kuwa shilingi bilioni 10 zisingeweza kukamilisha ujenzi huo na kwamba hawakumiani kuwa yasingeweza kujengwa...

 

2 years ago

Mwananchi

Rais JPM kuzindua mabweni mapya ya wanafunzi UDSM

Rais John Magufuli, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa mabweni mapya ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam siku ya Jumamosi tarehe 15 Aprili, 2017.

 

2 years ago

Mwananchi

Mabweni mapya ya UDSM kuhudumia wanafunzi 3840

Mabweni mapya ya wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yana uwezo wa kuchukua jumla ya wanafunzi 3,840 kwa uwiano wa wanafunzi 192 kwa kila jengo.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Aliyesambaza picha za nyufa kwenye mabweni ya UDSM akamatwa na Polisi

 Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Kumbusho Dawson anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kusambaza picha zinazoonesha nyufa kwenye majengo ya hosteli ya chuo hicho. Dawson ambaye ni mbunge wa serikali ya wanafunzi (Daruso) ameshikiliwa jana Jumatatu Desemba 4,2017 mchana. Makamu wa Rais wa Daruso, Anastazia Anthony amethibitisha kukamatwa kwa mbunge huyo saa saba mchana. “Ni kweli Kumbusho amekamatwa na kupelekwa kituo cha polisi cha Chuo Kikuu kwa ajili ya kuhojiwa...

 

2 years ago

Mwananchi

Rais azindua mabweni ya UDSM

Rais John  Magufuli amezindua rasmi mabweni ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, leo.

 

2 years ago

MillardAyo

PICHA 8: Rais Magufuli alivyokagua ujenzi wa hostel UDSM

.

Leo September 06 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya ukaguzi wa mabweni ya wanafunzi katika chuo kikuu cha Dar es salaam, mabweni yanayojengwa na Wakala wa Majengo nchini TBA katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Mabweni hayo yatakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya 3840 kwa […]

The post PICHA 8: Rais Magufuli alivyokagua ujenzi wa hostel UDSM appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani