Picha: Uzinduzi Mpango wa Mradi wa Michezo Mashuleni Sport 55

Baadhi ya Walimu pamoja na Wanfunzi wao waliohudhuria katika Uzinduzi wa Mpango wa Mradi wa Michezo Mashuleni Sport 55 hafla iliofanyika Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Wilaya ya Mjini unguja.

 

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Michezo Mashuleni Mhe,Balozi Mohammed Ramia mara baada ya kuwasili baraza la Wawakilishi la Zamani kwaajili ya Kuzindua Mpango wa Mradi wa Michezo Mashuleni Sport...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

WANABIAFRA WASHIRIKI KATIKA UZINDUZI WA MRADI WA KUHAMASISHA MICHEZO KWA VIJANA NA WATOTO

Baraza la Michezo la Taifa (BMT) chini ya udhamini wa taasisi ya UK Sports - Internationa Inspiration iliandaa mafunzo uhamasishaji wa michezo kwa vijana na watoto. Mafunzo hayo yaliyofanyika katika uwanja wa taifa yaliwakutanisha pamoja makatibu tawala pamoja na maafisa michezo toka katika wilaya zote nchini. Mafunzo hayo pia yalifanyika ikiwa ni sehemu ya Mkutano Mkuu wa Mwaka wa wa baraza la Michezo Tanzania uliofanyika katika uwanja wa Taifa wa Dar es Salaam.Katibu Mkuu wa Wizara ya...

 

2 years ago

Michuzi

MONGELLA AZINDUA MRADI WA UZINDUZI WA MRADI WA UIMARISHAJI WA MIFUMO YA SEKTA ZA UMMA KATIKA MKOA WA MWANZA


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella akitoa ufafanuzi wakati wa uzinduzi wa mradi wa PS3 mkoani Mwanza, kwa ajili ya kuimarisha mifumo ya Sekta ya Umma,Mh.Mongella alisema kuwa mradi huo utafanyika katika mikoa 13, ambayo itaanza na mradi huo Mwanza ni mmoja wapo.
Mkurugenzi wa TAMISEMI Bibi Betrece Kimoleta, alipokuwa akitoa maelezo kuhusu jukumu la TAMISEMI katika uzinduzi wa mradi wa PS3 mkoani Mwanza, kwa ajili ya kuimarisha mifumo ya Sekta ya Umma.

Dr. Peter Kilima, akitoa maelezo...

 

2 years ago

Michuzi

MJENGONI BENDI KUFANYA UZINDUZI RASMI MARCH 3 KATIKA UKUMBI WA TRIPLE A SPORT BAR

Bendi mpya ya mziki wa dance ijulikanayo kwa jina la Mjengoni classic band inatarajia kufanya utambulisho wao rasmi kwa mara ya kwanza mapema march 3 katika ukumbi wa Triple A spot bar uliopo ndani ya jiji la Arusha

Akiongea na waandishi wa habari Rais wa bendi hiyo Robert Mukongya (Digital) alisema kuwa pamoja kuwa bendi hiyo imekuwa ikitoa burudani katika uwanja wa nyumbani mjengoni Klabu pamoja na sehemu nyingine mbalimbali lakini walikuwa awajaizindua rasmi hivyo ...

 

1 year ago

Michuzi

MBUNGE MLATA AHAMASISHA MICHEZO MASHULENI

MBUNGE wa viti maalumu Mkoa wa Singida,Marther Mlata amesema ili kukabiliana na utoro mashuleni pamoja na kusuasua kwa elimu,walimu hawana budi kutafuta namna ya kuwavutia watoto kupenda shule kupitia njia ya michezo.Mbunge Mlata alitoa ushawishi huo alipokuwa akiongea na wanafunzi,wazazi na walezi wa watoto wa shule ya sekondari ya Mtakatifu Vincent iliyopo katika Mji mdogo wa Mitundu,wilayani Manyoni,Mkoani Singida. “Ni lazima walimu mtafute namna ya kuwavutia watoto kupenda shule,kwa...

 

6 months ago

Michuzi

MRADI WA FEMINA UMAPUNGUZA UTORO NA MIMBA ZA UTOTONI MASHULENI KWA ASILIMIA 70

Na,Jumbe Ismailly, SingidaASASI isiyokuwa ya kiserikali inayojishughulisha na utoaji elimu kwa njia ya kuburudisha kwa vijana waliopo katika shule za sekondari na walio nje ya shule ya FEMINA  imesema kwamba kupitia mpango wa nguvu ya binti umefanikiwa kupunguza kwa asilimia 70 utoro pamoja na mimba za utotoni katika shule za sekondari zilizopo katika mradi huo katika kipindi cha kuanzia mwaka 1999 hadi mwaka huu.Afisa Ufuatiliaji,Tathimini na Ufundi wa Femina,Marther Samweli Makala...

 

3 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA MTAKUJA YA JIJINI WAENDELEA KUNUFAIKA NA MRADI WA KOMPYUTA MASHULENI

 Mwalimu wa masomo ya Sayansi wa shule ya sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi Mbezi beach jijini Dar es Salaam, Elibariki John akiwaelekeza wanafunzi wa kidato cha pili, Jacqueline James(kushoto) na Ibrahim Juma  wa shule hiyo jinsi ya kutafuta  taarifa za maarifa ya masomo  ya sayansi kwa njia ya kompyuta mpakato zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation miezi mitatu iliyopita kupitia mradi wake wa kompyuta mashuleni unaoendeshwa na Learning In Sync.Mariam Mwishaha na Khairat...

 

3 years ago

GPL

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA MTAKUJA YA JIJINI WAENDELEA KUNUFAIKA NA MRADI WA KOMPYUTA MASHULENI‏

Mwalimu wa masomo ya Sayansi wa shule ya sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi Mbezi beach jijini Dar es Salaam, Elibariki John akiwaelekeza wanafunzi wa kidato cha pili, Jacqueline James(kushoto) na Ibrahim Juma wa shule hiyo jinsi ya kutafuta taarifa za maarifa ya masomo ya sayansi kwa njia ya kompyuta mpakato zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation miezi mitatu iliyopita kupitia mradi wake wa kompyuta mashuleni unaoendeshwa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani