PICHA ZA TUKIO LA KUPIGWA RISASI GARI LA MHE TUNDU LISSU

Gari la Tundu Lissu lililopigwa risasi na kumjeruhi Picha za matundu ya risasi zilizoshambulia gari la Tundu Lissu na kumjeruhi Dereva wa Tundu Lissu aliyeshika nguo na viatu baada ya tukio la kushambuliwa kwa risasi gari ya mheshimiwa Tundu Lissu Mwenyekiti wa chadema mheshimiwa Freeman Mbowe akiwa na dereva wa Tundu Lissu

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Malunde

MKE WA TUNDU LISSU AFUNGUKA KWA MARA KWANZA....DEREVA WA LISSU ASEMA HANA KUMBUKUMBU TUKIO LA KUPIGWA RISASI

Nairobi. Kwa mara ya kwanza, Alicia Magabe ambaye ni mke wa Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amezungumzia tukio la mumewe kushambuliwa kwa risasi na kudokeza kwamba haliwezi kuwa limetokana na sababu nyingine isipokuwa kazi ambazo amekuwa akizifanya.
Pia amezungumzia kuhusu afya yake na kueleza kuwa bado siyo nzuri na kuwaomba Watanzania waendelee kumuombea.
Mbali ya Alicia ambaye pia ni mwanasheria, dereva wa Lissu naye amezungumza akisema ameathiriwa kwa kiasi kikubwa na...

 

2 years ago

Malunde

KAULI YA JESHI LA POLISI KUHUSU TUKIO LA TUNDU LISSU KUPIGWA RISASI


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto amezungumzia tukio la kupigwa risasi mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, akiwaomba wananchi wenye taarifa kulisaidia jeshi hilo.

Muroto amesema leo Alhamisi kuwa wanaendelea na uchunguzi wa tukio hilo na wameshafika eneo la tukio nyumbani kwa Lissu.
“Tunaomba mwananchi wenye taarifa atusaidie. Jeshi la Polisi tumeanza uchunguzi, tumefika eneo la tukio na tunaendelea,” amesema.
Kamanda Muroto amesema taarifa za awali zinaonyesha kuna gari...

 

1 year ago

Malunde

MAREKANI : TUPO TAYARI KUCHUNGUZA TUKIO LA TUNDU LISSU KUPIGWA RISASI
Wakati mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu akiwa amewasili nchini Ubelgiji kwa matibabu zaidi, ubalozi wa Marekani nchini umesema uko tayari kusaidia uchunguzi dhidi ya shambulio lake iwapo utaombwa.

Mbali na ubalozi huo, Umoja wa Ulaya (AU) nao umesema unategemea kuona maendeleo mazuri kutokana na uchunguzi wa tukio hilo unaoendelea.

Familia ya Lissu na chama chake cha Chadema vimekuwa vikisisitiza haja ya uchunguzi wa shambulio dhidi ya Lissu lililofanywa na watu wasiojulikana...

 

2 years ago

CHADEMA Blog

TAARIFA YA AWALI KUHUSU SHAMBULIO LA KUPIGWA RISASI MHE. TUNDU LISSU

TAARIFA YA AWALI KUHUSU SHAMBULIO LA KUPIGWA RISASI MHE. TUNDU LISSUChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa ya kupigwa risasi Mwanasheria Mkuu wa Chama ambaye pia ni Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Singida Mashariki, Mhe. Tundu Antipus Lissu baada ya kikao cha Bunge mchana wa leo.Shambulio hilo limetokea majira ya mchana nyumbani

 

1 year ago

Malunde

MBUNGE WA CHADEMA AOMBA MBUNGE WA CCM ACHUNGUZWE TUKIO LA TUNDU LISSU KUPIGWA RISASI

Mbunge wa Rombo (Chadema), Joseph Selasini ameomba Mbunge wa Ulanga (CCM), Goodluck Mlinga ahusishwe katika uchunguzi wa tukio la kushambuliwa Tundu Lissu.

Selasini ametoa ombi hilo bungeni mjini Dodoma jana Alhamisi Novemba 9,2017 jioni akichangia mjadala wa mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2018/19 na mwongozo wa maandalizi ya mpango na bajeti kwa mwaka 2018/19.

Mbunge huyo wa Rombo akichangia alisema mbunge huyo alishahusishwa na mauaji ya mpenzi wa mpenzi wake, hivyo...

 

2 years ago

Malunde

CCM YALAANI TUNDU LISSU KUPIGWA RISASI

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole kimelaani kitendo alichofanyiwa Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu kwa kupigwa risasi leo mchana nyumbani kwake Dodoma.
Taarifa hiyo ya CCM inalaani kitendo hicho cha kikatili na kusema si kitendo cha utu hivyo kimelitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi wa tukio hilo na kuwachukulia sheria kali wote ambao watapatikana kuhusika katika tukio hilo. 

 

2 years ago

VOASwahili

Marekani yalaani kupigwa risasi Tundu Lissu

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania Ijumaa imelaani tukio la kushambuliwa kwa risasi Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu.

 

2 years ago

Malunde

TAMKO LA CHADEMA BAADA YA TUNDU LISSU KUPIGWA RISASI

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kimepokea kwa mshtuko taarifa ya kupigwa risasi mwanasheria mkuu wa chama hicho, Tundu Lissu.
Lissu ambaye pia ni Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Singida Mashariki, amepigwa risasi baada ya kikao cha Bunge mchana wa leo Alhamisi.
Shambulio hilo limetokea leo mchana nyumbani kwa Lissu, Area D mjini Dodoma na sasa anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma.
“Chadema tunalaani vikali kitendo hicho na...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani