PICHA:BIRTHDAY YA DIAMOND JANA

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Bongo Movies

Birthday ya Wema jana: Diamond amnunulia gari jipya kama zawadi ya birthday

Jumapili ya September 28 ilikuwa ni siku ya kuzaliwa mrembo aliyebeba taji la Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu. katika kusheherekea siku hiyo mpenzi wake Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz alithibitisha kwa vitendo kuwa mapenzi yao bado yako imara, kwa kumnunulia zawadi ya gari jipya aina ya Nissan.

wema6

Picha ya gari hilo la rangi nyeusi iliambaatana na ujumbe mzuri ambao Diamond alimwandikia wema kupitia akaunti yake ya Instagram yenye followers 236,841.

“Nlitama nikupe vingi, wenda...

 

3 years ago

Bongo Movies

Picha: Birthday Party ya Wema Sepetu Jana Usiku

Usiku wa jana, Novemba 1 staa wa Bongo Movies , Wema sepetu aliangusha pomba la pati ya kusherekea siku yake ya kuzaliwa ambapo mastaa wengi wa hapa bongo walikuwepo akiwepo na mpenzi wake Luis pamoja na mama yake mzazi.

Pia Wema Sepetu alionyesha gari lake  jipya alilonunua aina ya Range Rover na kulitambulisha mbele ya watu waliohudhuria katika birthday party yake.

Hizi ni baadhi ya picha za sherehe hiyo.

 

4 years ago

Bongo Movies

PICHA: Birthday Party ya Butuli Iliyofanyika Hoteli ya Kempisk Hapo Jana

Hizi ni baadhi ya picha za mrembo na mwigizaji wa filamu Yobnesh Yussuph ‘Butuli’ aliposherekea siku yake ya kuzaliwa katika hoteli ya Hyatt Regency Kempisk hapo jana.

Sherehe hiyo ilihudhuliwa na baadhi ya watu wake wa karibu wakiwemo waigizaji wenzake, mbali na kufanya sherehe hiyo  mapema siku ya jana Butuli aliwatembea watoto wanaoisha kwenye mazingira magumu.

 

3 years ago

MillardAyo

PICHA 20: Kutoka kwenye Birthday party ya Dj na ndugu wa Diamond Platnumz

.

Sherehe za birthday nazo zina uzito wake, Unaambiwa Romy Jons ambaye ni Ndugu yake na msanii Diamond Platnumz lakini pia ni Official Dj wake alifanya Party yakeAugust 16 2015 wakaalikwa mastaa wengi kutoka Bongo Movie na Bongo Fleva, kiukweli ilipendeza sana. Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye eneo la tukio ambalo lilifanyika kwenye ukumbi wa […]

The post PICHA 20: Kutoka kwenye Birthday party ya Dj na ndugu wa Diamond Platnumz appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

PICHA 14:Kilivyohappen kwenye birthday party ya meneja wa Diamond Platnumz…mafikizolo wahudhuria

.

Ni Mei 11, 2016 ambapo meneja wa staa Diamond Platnumz, Sallam alisheherekea siku yake ya kuzaliwa na wadau mbalimbali wa muziki wa Bongo Fleva huku ikiwa imehudhuriwa na  wasanii kutoka Afrika Kusini Mafikizolo. Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye birthday party hiyo ULIIKOSA HII YA DIAMOND KUKUTANA NA KANYE WEST MAREKANI BASI ITAZAME HII […]

The post PICHA 14:Kilivyohappen kwenye birthday party ya meneja wa Diamond Platnumz…mafikizolo wahudhuria appeared first on...

 

3 years ago

Bongo5

Picha: Birthday ya Zari yaingia na neema, Diamond aonyesha nyumba ya familia aliyonunua AS

Mkali wa muziki anayefanya vizuri na wimbo ‘Salome’ Diamond Platnumz Alhamisi hii siku moja kabla ya birthday ya mama watoto wake Zari, ameonyesha nyumba ya familia aliyonunua Afrika Kusini.
dai

Muimbaji huyo ambaye ni mmoja kati ya wasanii wachache wenye mafanikio makubwa hapa nchini, hakuweka wazi nyumba hiyo imegharimu kiasi gani kuinunua.

“Wanakazana kujisifu matajiri Ilhali watoto zao wanaishi kwenye Nyumba zakupanga. Halafu leo yule yule wanaemtukana kutwa kwenye mitandao kuwa masikini,...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani