Pichaz 20 za Azam FC walivyoondoka Airport Dar kuifuata Bidvest Wits ya Afrika Kusini ndani ya suti

IMG-20160309-WA0026

Klabu ya Azam FC asubuhi ya leo March 9 imesafiri kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya kucheza mchezo wake wa kwanza wa Kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya klabu ya Bidvest Wits ya Afrika Kusini, utakaochezwa weekend hii na wiki mbili baadae kurudiana uwanja wa Taifa Dar Es Salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari […]

The post Pichaz 20 za Azam FC walivyoondoka Airport Dar kuifuata Bidvest Wits ya Afrika Kusini ndani ya suti appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mtanzania

Azam yaiwinda Bidvest Wits

KITAMBI-1NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM

TIMU ya soka ya Azam imeanza kujiwinda kuelekea kwenye michuano ya kimataifa ya Kombe la Shirikisho kwa kuanza kuwasoma wapinzani wao wanaotarajia kukutana nao katika raundi ya kwanza ya michuano hiyo.

Azam waliopita moja kwa moja katika raundi hiyo bila kucheza hatua ya awali, Jumamosi iliyopita ilituma makocha wao wasaidizi Mario Marinica na Dennis Kitambi, kwenda nchini Shelisheli kushuhudia mchezo wa raundi ya awali ya michuano hiyo uliowakutanisha wenyeji...

 

3 years ago

Mwananchi

Kocha Bidvest Wits aichambua Azam FC

Kocha wa Bidvest Wits, Gavin Hunt amesema mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika hayakuwa kipaumbel e kwake.

 

3 years ago

Global Publishers

Azam FC yaichapa Bidvest Wits 4-3, yasonga mbele

azam fc
TIMU ya Azam FC leo imefanikiwa kusonga mbele katika michuano ya Kombe la Shirikisho baada ya kuifunga Bidvest Wits ya Afrika Kusini kwa mabao 4-3 kwenye mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Chamazi jijini Dar.

Mabao ya Azam FC yamepachikwa kimiani na Kipre Tchetche aliyefunga mabao matatu ‘hat trick’ na moja likapachiwa na nahodha wa timu hiyo, John Bocco.

Katika mechi ya kwanza, Bidvest ilipoteza kwa mabao 3-0 ikiwa nyumbani Johannesburg. Safari hii imepata mabao matatu lakini ikashindiliwa...

 

2 years ago

BBC

Bidvest Wits eye Champions League glory

African champions Sundowns relinquish their South African title to Bidvest Wits after a dramatic penultimate round of the season.

 

3 years ago

Channelten

AZAM YASONGA MBELE AFRIKA Yaiondoa Bidvest, Sasa kukutana na Esperance ya Tunisia

 

AZAM FC_0

Azam fc ya Dar es Salaam imefanikiwa kusonga mbele kwenye michuano ya awali ya kombe la shirikisho kwa vilabu barani Afrika baada ya hii leo kuifunga Bidvest Wits ya Afrika Kusini kwa magoli 4 – 3 kwenye mechi ya marudio iliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Magoli ya ushindi ya Azam Fc yalifungwa na John Boko katika dakika ya 42 ya kipindi cha kwanza, huku magoli mengine matatu yakifungwa na Kipre cheche katika dakika za 27, 54 na 87 na kuifanya timu hiyo kuondoka na ushindi wa jumla wa...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Beki Banda agoma kusaini mkataba Simba kisa ajiunge na Chipa United, Bidvest za Afrika Kusini

Beki wa Simba na Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ Abdi Banda amesema huenda asirudi nchini atakapoenda Afrika Kusini kushiriki mashindano ya Kombe la Cosafa.

 

3 years ago

MillardAyo

PICHAZ 12: Mapokezi ya Yanga Airport Dar leo April 22 2016 wakitokea Misri

IMG_0100

Baada ya klabu ya Dar es Salaam Young African kutolewa katika mashindano ya Kombe la klabu Bingwa barani Afrika na klabu ya Al Ahly ya Misri kwa jumla ya goli 3-2 usiku wa April 20 2016, mchana wa April 22 klabu ya Dar es Salaam Young Africans ilirejea Dar es Salaam na moja kwa moja […]

The post PICHAZ 12: Mapokezi ya Yanga Airport Dar leo April 22 2016 wakitokea Misri appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

Hizi ni Pichaz 12 za mapokezi ya Taifa Stars Airport Dar wakitokea Chad Alfajiri ya March 25

IMG_0045

Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars alfajiri ya March 25 iliwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage ukitokea Chad kwa kupitia Ethiopia. Taifa Stars waliwasili Dar Es Salaam na kupokelewa na mapokezi mazuri kutoka kwa kikundi cha ushangiliaji cha Taifa Stars Suporter pamoja na watu mbalimbali. Taifa Stars itacheza mchezo wake wa pili […]

The post Hizi ni Pichaz 12 za mapokezi ya Taifa Stars Airport Dar wakitokea Chad Alfajiri ya March 25 appeared first on...

 

2 years ago

MillardAyo

Kaseja baada ya kuulizwa namna Bocco, Kapombe na Manula walivyoondoka Azam na kujiunga na Simba

Golikipa wa zamani wa timu za Simba na Yanga ambaye kwa sasa anaichezea Kagera Sugar ya Bukoba Juma Kaseja alikuwa ni mmoja kati ya wageni waliyoalikwa katika kipindi cha Sports Bar cha Clouds TV kuzungumzia masuala mbalimbali kuhusiana na soka la Tanzania. Juma Kaseja kama moja ya wachezaji wenye uzoefu ambao wamewahi kucheza vilabu vya […]

The post Kaseja baada ya kuulizwa namna Bocco, Kapombe na Manula walivyoondoka Azam na kujiunga na Simba appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani