Pierre Nkurunziza : Sintowania muhula mwengine katika uchaguzi wa urais wa mwaka 2020

Wakati wa sherehe rasmi ya utiaji sahihi kwenye Katiba mpya ya Burundi, Rais Pierre Nkurunziza ametangaza kwamba hatowania muhula mwengine katika uchaguzi wa mwaka 2020.

RFI

Read more


Habari Zinazoendana

10 months ago

BBCSwahili

Pierre Nkurunziza asema ataachia madaraka 2020 Burundi

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amesema kwamba hataomba kuchaguliwa tena baada ya muhula wake wa sasa kumalizika mwaka 2020.

 

4 years ago

BBCSwahili

Pierre Nkurunziza ruksa kuwania urais

Mahakama ya kikatiba nchini Burundi imemruhusu rais Pierre Nkurunziza kuwania muhula wa tatu.

 

4 years ago

GPL

PIERRE NKURUNZIZA ATANGAZA RASMI KUGOMBEA URAIS

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza. Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza ametangaza rasmi azma yake ya kugombea kwa awamu ya tatu katika uchaguzi mkuu ujao nchini humo, licha ya kuendelea upinzani wa kila upande ndani na nje ya nchi hiyo wa kumtaka asifanye hivyo. Rais Nkurunziza alitangaza rasmi azma yake hiyo jana Ijumaa na kuyataja maandamano ya wapinzani ambayo kwa mujibu wake yamegeuka kuwa uasi, kwamba atayamaliza hivi...

 

4 years ago

GPL

RAIS PIERRE NKURUNZIZA ASOGEZA MBELE UCHAGUZI WA WABUNGE BURUNDI

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza. RAIS wa Burundi, Pierre Nkurunziza amesogeza mbele uchaguzi wa wabunge kwa siku 10 hadi Juni 5 mwaka huu kufuatia jaribio la mapinduzi. Mmoja wa waandamanaji akiwa kapiga magoti mbele ya askari polisi. Msemaji wa Rais, Willy Nyamitwe ameliambia Shirika la Habari la AFP kuwa kufuatia jaribio la mapinduzi la wiki iliyopita na vurugu zilizofuatia ni bora kusogeza mbele uchaguzi huo kwa muda....

 

1 year ago

Michuzi

NIPO TAYARI KUNYIMWA KURA KATIKA UCHAGUZI WA MWAKA 2020-MBUNGE MGIMWA

Na Fredy Mgunda-Iringa
Wananchi wa jimbo la Mufindi kaskazini wametakiwa kuwapeleka watoto wao shule kwa lazima kwa kuwa elimu inatolewa bure na serikali ya awamu ya tano chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Mafuli kwa lengo la kuhakikisha kila mwanafunzi wote waweze kupata elimu na kuondoa ujinga na kuleta maendeleo kwa taifa.
Hayo yamesemwa na mbunge wa jimbo la Mufindi kaskazini Mahamuod Mgimwa alipokuwa kwenye ziara ya kukagua miundombinu ya shule zilizopo katika...

 

2 years ago

Channelten

Dola milioni 13 zakusanywa kwa ajili ya kampeni ya rais Trump katika uchaguzi wa mwaka 2020

1

Waungaji mkono wa rais Donald Trump wa Marekani, ambaye bado hajatimiza siku 100 madarakani, wamekusanya zaidi ya dola milioni 13 za kimarekani kwa ajili ya kampeni yake ya uchaguzi ujao katika robo ya kwanza ya mwaka huu. Ripoti ya tume ya uchaguzi ya Marekani inasema, fedha hizo zimekusanyika kupitia kamati tatu, na sehemu kubwa ya fedha zinatokana na mapato ya uuzaji wa bidhaa zinazohusiana na Trump kama vile nguo, kofia na kikombe kwenye sherehe ya kuapishwa kwake iliyofanyika mwezi...

 

2 years ago

Mwananchi

Lowassa: Nitagombea tena urais mwaka 2020

Waziri Mkuu wa zamani na mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa amesema licha ya changamoto nyingi anazopata akiwa ndani ya upinzani, atagombea tena urais katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2020 na anaamini atashinda.

 

2 years ago

Malunde

LOWASSA ATANGAZA KUGOMBEA URAIS MWAKA 2020

Waziri Mkuu wa zamani na mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa amesema licha ya changamoto nyingi anazopata akiwa ndani ya upinzani, atagombea tena urais katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2020 na anaamini atashinda.
Lowassa aliyejitokeza kugombea urais kupitia CCM mwaka 2015 na jina lake kukatwa kisha kuhamia Chadema alikogombea nafasi hiyo akiwakilisha vyama vilivyoungana chini ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na kushindwa na Rais John Magufuli, bado anatajwa kuwa mgombea mwenye...

 

2 years ago

BBCSwahili

Pence akana kujiandaa kuwania urais mwaka 2020.

Gazeti la The New York Times lilisema kampeni za pembeni zimepangwa kufuatia madai kuwa Donald Trump hatawania tena.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani