Polisi auawa kwa risasi mjini Paris

Polisi mmoja ameuawa kwa kushambuliwa na risasi mjini Paris nchini Ufaransa na wengine wawili wamejeruhiwa vibaya

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

GPL

SHAMBULIO TENA PARIS, POLISI WA KIKE AUAWA KWA RISASI

Mmoja wa majeruhi wa shambulio la leo akipatiwa huduma ya kwanza na kikosi cha uokoaji. Eneo la Montrouge jijini Paris nchini Ufaransa lilipotokea shambulio la leo.…

 

7 months ago

BBCSwahili

Chui milia auawa kwa kuzurura mjini Paris

Chui milia huyo wa sarakasi alitoroka na kuzunguka mjini Paris karibu na jengo la Eiffel

 

4 years ago

Vijimambo

Mwanamke auawa kwa kupigwa risasi na polisi

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Geofrey Kamwela
Mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji cha Iglansoni, ameuawa kwa kupigwa risasi kichwani kwa bahati mbaya na askari polisi waliokuwa katika jitihada za kumkamata mtuhumiwa wa ujambazi.

Aliyeuawa ni Joyce Maragabu (65), ambaye anadaiwa kupigwa risasi na askari hao waliokuwa wakijihami na kundi la watu waliotaka kuwavamia ili wasimkamate mhalifu.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Geofrey Kamwela, alisema askari hao walikuwa wanataka kumkamata, Nkida...

 

1 year ago

Global Publishers

Msemaji wa Jeshi la Polisi Uganda Auawa kwa Kupigwa Risasi

KAMPALA: Msemaji wa jeshi la polisi nchini Uganda Felix Kaweesi amepigwa risasi na kuuawa na watu wasiojulikana. Taarifa zinasema Bw Kaweesi ameuawa baada ya gari lake kumiminiwa risasi na watu wasiojulikana alipokuwa anaondoka kwake nyumbani Kulambiro, Kisaasi kaskazini mashariki mwa mji mkuu Kampala.

Walinzi wake wawili walioandamana naye pia wameuawa.

Bw Kaweesi aliteuliwa kuwa msemaji wa polisi Agosti mwaka jana.

Taarifa zinasema alikuwa njiani kwenda kuwahutubia wanafunzi katika chuo...

 

6 months ago

Malunde

JAMBAZI AUAWA KWA KUPIGWA RISASI AKITOROKA POLISI SHINYANGA


Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga Simon Haule akionesha Laptop,simu na bunduki iliyoporwa na jambazi aliyeuawa kwa kupigwa risasi - Picha na Kadama Malunde - Malunde1 blog

Mtu mmoja anayedaiwa kuwa ni jambazi aliyejulikana kwa jina la Bahati Peter maarufu 'Chata' (28) mkazi wa Old Shinyanga amefariki dunia baada ya kujeruhiwa kwa kupigwa risasi na askari polisi mkoa wa Shinyanga wakati akiwatoroka akiwa chini ya ulinzi.
Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari leo Desemba 21,2017 Kamanda wa...

 

3 months ago

Zanzibar 24

Jambazi auawa kwa kuchapwa risasi na Polisi Dar es Salaam

JESHI la Polisi Kanda Maamlum ya Dar es Salaam limemuua mtu mmoja anayedaiwa kuwa jambazi maeneo ya Buza jijini humo wakati akijaribu kuwatoroka askari alipokuwa akienda kuwaonesha sehemu walipoficha silaha na wenzake.

Akizungumza na wanahabari jijini Dar, RPC Lazaro Mambosasa amesema mtuhumiwa huyo alikamatwa akiwa na bastola na alipohojiwa alikiri kuhusika na matukio mbalimbali ya ujambazi katika maeneo ya Mbagala na Kibiti.

“Tulipomhoji alikiri kuhusika na matukio ya ujambazi na kuwataja...

 

1 year ago

BBCSwahili

Msemaji wa polisi Uganda Felix Kaweesi auawa kwa kupigwa risasi

Msemaji wa jeshi la polisi nchini Uganda Felix Kaweesi amepigwa risasi na kuuawa na watu wasiojulikana.

 

1 year ago

BBCSwahili

Mwanajeshi wa Ufaransa ampiga risasi mshambuliaji mjini Paris

Mwanajeshi mmoja nchini Ufaransa ambaye alikuwa amelinda makavazi ya mjini Paris, amempiga risasi na kumjeruhi vibaya mwanamume ambaye alikuwa na kisu mkononi

 

6 months ago

Malunde

JAMBAZI AUAWA KWA KUPIGWA RISASI AKIDAIWA KUTAKA KUPIGA ASKARI POLISI SHINYANGAMtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Joseph Dogani (50) mkazi wa kata ya Ndala Mjini Shinyanga anayedaiwa kuwa ni jambazi ameuawa kwa kupigwa risasi na polisi sehemu mbalimbali za mwili wake akidaiwa kutaka kuwapiga risasi askari polisi.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumanne Januari 2,2018,Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga ACP Simon Haule amesema tukio hilo limetokea Januari 1,2018 saa 9:45 alasiri.
Amesema Joseph Dogani alifariki papo hapo baada ya kupigwa risasi na polisi baada ya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani