POLISI DAR YAMKAMATA KIJANA ALIYECHINJA MPENZI WAKE NA KUMUWEKA KWENYE DIABA

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limemkamata mtuhumiwa Musuguri David (29) anayedaiwa kumuua mpenzi wake Samira Masoud (34) kwa kumchinja kisha mwili wake kuwekwa katika diaba/jaba la maji kisa wivu wa mapenzi maeneo ya Kibamba.

Akizungumza na wanahabari jijini Dar, Kamanda wa Polisi Kamishna Simon Sirro amesema katika mahojiano na mtuhumiwa huyo, amekiri kutenda kosa hilo mnamo Machi 7 mwaka huku akidai kuwa alifikia uamuzi huo baada ya kumfumania aliyekuwa mpenzi wake...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Global Publishers

A-Z aliyechinja mpenzi, watoto

IMG_8393

Mtoto baada ya kufanyiwa unyama huo.

Na Stephano Mango, SONGEA

MAJONZI! Bado ni tukio baya sana kutokea katika Kijiji cha Kikunja, Kata ya Ndongosi, Wilaya ya Songea Vijijini mkoani Ruvuma ambapo mkazi wa kijiji hicho, Amani Hyela (42), anadaiwa kuwaua kwa kuwachinja kwa panga mpenzi wake, Ester na watoto wake wawili kisa kikitajwa kuwa ni wivu wa mapenzi.

Tukio hilo la kutisha lilijiri saa saba usiku wa Novemba 28, mwaka huu ambapo Amani anadaiwa kuwaua watu hao kwa kuwachinja na kuwakata...

 

2 years ago

Mwananchi

Polisi anayedaiwa kumuua mpenzi wake adakwa Dar

Polisi mkoani Tanga  imefanikiwa  kumkamata askari  wake, Michael Komba anayedaiwa  kumuua askari mwenzake wa kike, Elizabeth Stephano aliyekuwa  mpenzi  wake.

 

1 year ago

Michuzi

POLISI DAR WABAINI MWANAFUNZI ALIYEDAI KUTEKWA KUMBE ALIKUWA KWA MPENZI WAKE

Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa.

*Mambosasa asema watamchukulia hatua za kisheria, atoa onyo kali
Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiKAMANDA wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM), Abdul Nondo(24), aliyedai kutekwa  na watu wasiojulikna siku za karibuni uchunguzi wao umebaini kumbe alikwenda kwa mpenzi wake mkoani Iringa.
Akizungumza Dar es Salaam leo, Mambosasa amefafanua Machi 6 mwaka huu ,kuanzia...

 

3 years ago

Bongo5

Video: Mabusu ya Ruby na kijana anayedaiwa kuwa mpenzi wake

Mkali wa wimbo ‘Na Yule’ Ruby ameshare video mbele ya mashabiki wake zaidi ya 260,000 katika mtandao wa instagram akibusiana na kijana anadaiwa kuwa ni mpenzi wake.
rby

Muimbaji huyo alikuwa msiri kwenye mahusiano yake. Wiki hii amepost picha taofauti tofauti za kijana huyo huku akiandika ujumbe wa kimahaba hali ambayo imewafanya mashabiki wake kuhisi huwenda ni mpenzi wake.

Katika moja ya picha muimbaji huyo aliandika: Comedian wangu 👑 @_mantogoro love you baba 💋😘nyakunyaku stay away. Katika picha...

 

1 year ago

Malunde

BABA ALIYECHINJA WATOTO WAKE KWA PANGA AKAMATWA

Respicius Diocress, mkazi wa kijiji cha Butayaibega wilayani Bukoba mkoani Kagera anatuhumiwa kuchinja kwa panga na kuwatenganisha kichwa na kiwiliwili watoto wake wawili mapacha.


Aidha, imeelezwa baada ya kuwachinja mapacha hao wenye umri wa miaka minne Diocress alimkabidhi mwanawe mkubwa, Japhet Respicius (5) Biblia ili awaombee marehemu kisha yeye kutoroka na sasa wanakijiji wenzake wameazimia kumsaka.

Akizungumza kwa niaba ya wanakijiji hao, afisa mtendaji wa kijiji cha Butayaibega,...

 

2 years ago

Malunde

MSICHANA AUAWA KWA KUPIGWA NA MPENZI WAKE,AWEKWA KWENYE MFUKO WA SANDARUSI NA KUFUKIWA KWENYE SHIMO

NB-Picha haihusiani na habari hapa chini****
MSICHANA asiyefahamika kwa jina wala umri wake ameuawa kwa kipigo na kisha mwili wake kufukiwa kwenye shimo huku ukiwa umewekwa kwenye mfuko wa sandarusi.Mwandishi wa Malunde1 blog,Walter Mguluchuma anaripoti.

Tukio la mauaji ya msichana huyo lilitokea Julai 18 majira ya saa mbili asubuhi katika kijiji cha Kate kata ya Kate wilayani Nkasi mkoani Rukwa ambapo uvumi ulienea kijijini hapo kuwepo kwa mauaji na baada ya uchunguzi ndipo lilipogundulika...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Aliyemchoma moto mpenzi wake mikononi mwa polisi

Jeshi la polisi Zanzubar limefanikiwa kumkamata Omar Said mkaazi wa Paje  akikabiliwa na tuhuma za kumchoma moto Samira Abasi Amir na kupata majaraha makubwa.

Tukio hilo la kumkamata kijana huyo limetokea majira ya saa nne Leo Asubuhi huko katika manispaa ya mji wa Zanzibar wakati mtuhumiwa huyo akijaribu kukimbia.

Baadhi ya wananchi walioshuhudia tukio hilo wamelimelipongeza jeshi la Polisi kwa kuweza kumdhibiti mtuhumiwa huyo alietenda kesi ya udhalilishaji.

Mwanahabari wetu yupo katika...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Aliyemuua mpenzi wake kwa kumchinja atiwa mikononi mwa polisi

JESHI la Polisi Kanda Maalumu Dar es Salaam linamshikilia mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Musuguri Sylvester (29), mkazi wa Sinza, kwa tuhuma za mauaji ya aliyekuwa mpenzi wake.

Hayo yalisemwa jijini hapa na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu, Kamishna wa Polisi, Simon Sirro wakati akizungumza na waandishi wa habari.

Kamanda Sirro alisema tukio hilo lilitokea Machi 31, mwaka huu saa saa nne usiku katika maeneo ya Sinza Shekilango jijini Dar es Salaam.

Alisema mtuhumiwa huyo alikamatwa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani