Polisi Dar yaunda jopo kuchunguza kifo cha bosi Ewura

Aliyekuwa Meneja wa Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Julius Gashaza alijinyonga kwa tai. Taarifa iliyotolewa jana Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Temeke, Engelbert Kiondo imesema.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mwananchi

Jaji Bomani: Liundwe jopo kuchunguza kiini cha mgogoro visiwani Zanzibar

Oktoba mwaka jana mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha alifuta matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar akisema ulijaa kasoro nyingi ikiwamo mgombea wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad kutangaza kuwa alikuwa anaongoza katika matokeo ya kinyang’anyiro hicho.

 

5 years ago

GPL

MASWALI 5 KIFO CHA MENEJA EWURA

Na Haruni Sanchawa
JAMBO limezua jambo! Maswali matano ya msingi yameibuka kufuatia kifo cha aliyekuwa Meneja Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Julius Gashaza kilichotokea hotelini katika mazingira ya kutatanisha muda mfupi baada ya kuwasili jijini Dar akitoka Dodoma ambako alihojiwa na Kamati ya Bunge ya Bajeti, Amani limeyanasa. Meneja Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati...

 

2 years ago

RFI

UNHRC: Yaunda jopo la uchunguzu kuhusu Burundi licha ya pingamizi

Miezi miwili baada ya kutolewa kwa ripoti ya uchunguzi kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Burundi unaofanywa na vyombo vya Serikali, umoja wa Mataifa umetangaza kuunda tume maalumu kuchunguza visa hivyo.

 

5 years ago

Mwananchi

Kifo cha meneja wa Ewura utata mtupu

>Wakati kukiwa na utata wa kifo cha Meneja wa Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), imebainika kuwa tofauti ya takwimu kati ya mamlaka hiyo na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), iliyotolewa kwenye Kamati ya Bunge ya Bajeti ni Sh25 bilioni.

 

5 years ago

Mwananchi

Familia yamwachia Mungu kifo cha Meneja Ewura

Aliyekuwa Meneja wa Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Julius Gashaza anazikwa leo katika Kijiji cha Mulukulazo, Ngara mkoani Kagera huku familia yake ikisema haina cha kusema kuhusu kifo hicho, bali inamwachia Mungu.

 

2 years ago

Mwananchi

Kamati kuchunguza kifo cha mjamzito

Serikali imeazimia kuunda kamati maalumu kuchunguza kifo cha mjamzito, Mkami Mirumbe (39), kinachodaiwa kutokea baada ya kukosa huduma katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara mjini Musoma.

 

4 years ago

Michuzi

JAJI MKUU OTHMAN CHANDE KUOGOZA JOPO HURU KUHUSU KIFO CHA DAG HAMMARSKJOLD

Na Mwandishi Maalum,  New York

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban  Ki Moon  amemteua Jaji Mkuu wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mhe. Mohamed Chande Othman (pichani)   kuongoza jopo  huru la wataalam watakaopitia taarifa mpya  kuhusu kifo cha   Bw. Dag  Hammarskjold ambaye  aliwahi kuwa   Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa.

“ Katibu Mkuu anayofuraha ya  kutangaza kwamba amewateua wafuatao kuwa wajumbe wa   jopo huru la wataalamu. Bw.  Mohamed Chande Othman kutoka Jamhuri ya Muungano wa...

 

5 years ago

Mwananchi

Kikosi maaalum kuchunguza kifo cha Balozi

>Siku mbili baada ya Kaimu Balozi wa Libya, Ismail Nwairat kujiua kwa risasi akiwa ofisini kwake, Jeshi la Polisi kupitia kikosi maalum cha uchunguzi wa matukio ya kujiua, limeanza uchunguzi wa kifo hicho.

 

1 year ago

Zanzibar 24

UN yamteua Mohammed Chande Othman kuongoza jopo la  uchunguzi wa kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa UN

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, (UN), Antonio Guterres amemteua Jaji Mkuu mstaafu  wa Tanzania, Mohammed Chande Othman kuongoza jopo la  uchunguzi wa kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa UN, Dag Hammarskjöld.

Hammarskjold aliyekuwa katibu mkuu wa pili wa UN alifariki dunia Septemba 18 1961 katika ajali ya ndege iliyotokea huko Ndola, Zambia, wakati akiwa katika safari ya kikazi ya kuhamasisha amani Zaire, kwa sasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

Uteuzi wa Jaji Othman huo ni kwa mujibu...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani