POLISI IRINGA YASEMA MWANAFUNZI WA RUCO ALIKUWA ANATEMBEA HUKU MWILI UKIWAKA MOTO

Mwili wa Daniel Anael Lema, aliyekuwa mwanafunzi wa mwaka wa nne wa shahada ya sheria katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Mt. Augustino, Tawi la Iringa (Ruaha University College - RUCO) umesafirishwa jana kuelekea mkoani kwao kilimanjaro kwa mazishi.Wanafunzi kadhaa wa chuo hicho na baadhi ya wananchi wa manispaa ya Iringa waliogusa na tukio hilo walijitokeza katika hospitali ya mkoa wa Iringa ambako shughuli ya kuuga mwili huo ilifanyika.Jeshi la Polisi mkoani iringa linawashikilia watu wanne...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI IRINGA WALAKAMATA WATUHUMIWA WA MWANAFUNZI ALIYECHOMWA MOTO, MWILI WAKE WAAGWA LEO


Marehemu Daniel Anael Lema enzi za uhai wake

Mwili wa Daniel Anael Lema, aliyekuwa mwanafunzi wa mwaka wa nne wa shahada ya sheria katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Mt. Augustino, Tawi la Iringa (Ruaha University College - RUCO) umeagwa leo na kusafirishwa kuelekea mkoani kwao kilimanjaro kwa mazishi.Wanafunzi wa chuo hicho na wananchi wa manispaa ya Iringa walioguswa na tukio hilo walijitokeza katika hospitali ya mkoa wa Iringa ambako shughuli ya kuuga mwili huo ilifanyika.Jeshi  la Polisi...

 

5 years ago

CloudsFM

POLISI AMRUBUNI MWANAFUNZI KUFANYA NAYE MPENZI,AMWACHA CHUMBANI KWAKE,NYUMBA YAKE YAUNGUA MOTO,MWANAFUNZI AFARIKI DUNIA

Wananchi wa Mlangali, Ludewa wakiwa wamekizingira kituo cha polisi Mlangali mara baada ya kuipeleka maiti ya mtoto aliyeteketea kwa moto katika kituo hicho.KIONGOZI wa mbio za mwenge Kitaifa awatuliza wananchi wa Mlangali wilaya ya Ludewa ambao baadhi yao waliandamana kituo cha polisi kushinikiza kutolewa kwa askari polisi aliyedaiwa kusababisha kifo cha mtoto ili auwawe.Kiongozi huyo aliwaomba wananchi wa Mlangali kutokubali kujihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani ikiwa ni pamoja na...

 

1 year ago

Michuzi

POLISI DAR WABAINI MWANAFUNZI ALIYEDAI KUTEKWA KUMBE ALIKUWA KWA MPENZI WAKE

Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa.

*Mambosasa asema watamchukulia hatua za kisheria, atoa onyo kali
Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiKAMANDA wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM), Abdul Nondo(24), aliyedai kutekwa  na watu wasiojulikna siku za karibuni uchunguzi wao umebaini kumbe alikwenda kwa mpenzi wake mkoani Iringa.
Akizungumza Dar es Salaam leo, Mambosasa amefafanua Machi 6 mwaka huu ,kuanzia...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Polisi wazungumzia sakata la Mwanafunzi kupotea na kupatikana Iringa

Jeshi la Polisi Mkoani Iringa limeeleza kuwa limefungua jalada la uchunguzi ili kubaini ukweli kama Mwenyekiti wa  Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Omari Nondo alikuwa ametekwa au la ili liweze kuwachukulia hatua za kisheria wote waliohusika.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Juma Bwire akiongea na waandishi wa habari ameeleza kuwa bado uchunguzi dhidi ya tukio hilo unaendelea ili waweze kubaini kama ni kweli ametekwa na kuwakamata wahusika kwa ajili ya kuwachukulia hatua zaidi za...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Uchunguzi wa Polisi umekamilika sakata la Mwanafunzi kupotea na kuonekana Iringa

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limetoa ufafanuzi kuhusu kile kinachoitwa kutekwa kwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Nchini TSNP, Abdul Nondo.

Akizungumza na Wandishi wa Habari Kamanda wa polisi  Kanda Maalumu, Lazaro Mambosasa amesema mnamo Machi 7, mwaka huu walipokea taarifa kutoka kwa wenzao wa Iringa ambapo walithibitisha kupatikana kwa mwanafunzi huyo akiwa mzima huku akiwa hajaripoti kituo chochote cha Polisi.

Mambosasa amesema Jeshi la Polisi Kanda Maalumu kwa...

 

4 years ago

Mwananchi

Mwanafunzi agongwa, wakazi wachoma moto kituo cha polisi

Dar es Salaam. Wakazi wa Bunju ‘A’, wamechoma kituo cha polisi cha eneo hilo kwa kile kilichodaiwa kushindwa kuelewana na askari baada ya mwanafunzi wa darasa la nne kugongwa na gari na kufariki dunia.

 

1 year ago

Malunde

MWANAFUNZI WA DARASA LA TANO APEWA KICHAPO HUKU AMEFUNGWA KWENYE MTI
 Mwanafunzi wa darasa la tano Shule ya Msingi Sokoine, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro ameshambuliwa na vijana wawili baada ya kumfunga kwenye mti na kumpa kipigo hali iliyomsababishia kupata majeraha mwilini.

Mtoto huyo anayeishi na bibi yake, mtaa wa KCMC Rau alipewa kipigo hicho leo Ijumaa baada ya bibi yake ayenaishi naye kudaiwa kutoa maagizo kwa vijana hao kufanya hivyo.

Shuhuda wa tukio hilo, Emanuel Shirima amesema kuwa mtoto huyo alipigwa baada ya kwenda kuogelea.

Amesema kuwa...

 

2 years ago

Channelten

Zoezi la kuokoa miili ya wachimbaji limesitishwa huku mwili mmoja ukishindwa kuokolewa

wachiiiiiiiiiii

Zoezi la uokoaji miili ya wachimbaji waliofunikwa na kifusi katika mgodi mdogo wa dhahabu KITUNDA uliopo wilayani SIKONGE mkoani TABORA limesitishwa baada ya kufanikiwa kuokoa miili mitano huku mwili mmoja ukishindwa kupatikana.

Katika tukio hili la kusikitisha jumla ya wachimbaji nane walifunikwa na kifusi ambapo kati ya hao watano walitolewa wakiwa tayari wamepoteza maisha na wawili wakiwa wamejeruhiwa vibaya na kupelekwa katika hospitali ya wilaya ya sikonge na kwa bahati mbaya mmoja...

 

4 years ago

Vijimambo

JESHI LA POLISI MKAONI IRINGA LINAWASHIKILIA WANANCHUO 89 WA CHUO KIKUU CHA IRINGA

Wanafunzi  wa  Chuo  Kikuu cha Iringa  wakiwa katika mgomo  leo kutokana na kutopata mkopo kwa wakati ambapo inapelekea kushindwa  kabisa  kuendesha maisha  yao  chuoni  hapo baada ya  serikali  kupitia  bodi ya  mikopo  kuwacheleweshea  pesa  zao.Viongozi  wa  serikali ya wanafunzi wa Chuo  Kikuu cha Iringa  wakiwatuliza  wenzao  leo baada ya mgomo wa wanachuo wa chuo cha RUCU kugoma wakishinikiza kupewa mikopo yao ili kuendesha maisha chuoni hapo.Mkuu  wa chuo  kikuu ya Iringa Prof Joshua...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani