Polisi Jamii shehia ya miembe walitolea mbavuni tukio la kuwapiga  vijana katika shehia hiyo

Polisi Jamii shehia ya miembe wamesema hawahusiki na tukio la kuwapiga  vijana wa shehia hiyo na kudai kwamba waliotenda tukio hilo ni jeshi la polisi wakiwa katika doria zao za kawaida.

Hayo yamezungumzwa na  Kamanda Mkuu wa kikosi cha polisi jamii shehia ya miembeni Salum Abdalla Mzee pamoja na Mwenyekiti wa shehia hiyo Yussuf Ali wakati wakizungumza na Zanzibar24 baada ya kutokea kwa malalamiko kuwa  polisi jamii wamewapiga vijana wa maskani ya ccm shehia ya miembeni.

Kwaupande wake...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said Azindua Baraza la Vijana wa Shehia Tatu za Unguja Ukuu.

Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Mhe Simai Mohammed Said akisalimiana na Sheikh Mohammed Suleiman baada ya kusoma quran wakati wa uzinduzi wa Baraza la Vijana Unguja Ukuu Zanzibar.Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed SDaid akionesha dhana ya ushupavu na moyo wa ujasiri wa kucheza na chatu wakati wa Uzinduzi wa Mabaraza la Vijana wa Jimbo la Tunguu Shehia za Unguja Ukuu Kaepwani, Unguja Ukuu Kaebona na Unguja Ukuu Tindini uliofanyika katika viwanja vya Idumu Unguka Ukuu leo...

 

2 years ago

Michuzi

Waziri Moldiline Castico ashiriki uzinduzi wa Baraza la Vijana Shehia ya Kisiwa cha Uzi Wilaya ya Kati Unguja.


Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Wilaya ya Kati Unguja Mhe. Simai Mohammed Said, akizungumza na Vijana wa Kisiwa cha Uzi wakati wa uzinduzi wa Baraza la Vijana la Shehia hiyo lililozinduliwa na Waziri wa Kazi Vijana Uwezeshaji Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe Moldiline Castico katika viwanja vya Skuli ya Uzi.
Mc wa Mkutano huo wa Uzinduzi wa Baraza la Vijana wa Shehia ya Kisiwa cha Uzi akisoma ratiba ya Uzinduzi huo katika viwanja vya Skuli ya Uzi Wilaya ya Kati Unguja.
Mwanachama wa...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Wananchi wa Shehia ya nyamanzi waiyomba Serikali kuimarisha ulinzi katika maeneo yao

Wananchi wa Shehia ya nyamanzi Wilaya ya Magharib B Unguja wameiomba Serikali kuimarisha ulinzi katika maeneo yao ya ukanda wa Bahari ili kuzuia Bidha za magendo zinazoingizwa kwa wingi katika maeneo yao.

Akizungumza na Waandishi wa Habari katika ziara ya kutembelea Kijiji cha Nyamanzi na Dimani Sheha wa Shehia ya Nyamanzi Seif Muhammed Hassan amesema mbali na uwepo wa ulinzi shirikishi katika maeneo yao lakini wanashindwa kukabiliana na hali hiyo kutokana na kukosa vifaa vya kitaalamu vya...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Tatizo la maji laikumba shehia ya kilombero

Wananchi wa Jimbo la Kiwengwa  Shehia ya Kilombero Mkoa wa kaskazini  Unguja Wilaya ya kaskazini B wamelalamikia kuwepo kwa  tatizo la maji  katika maeneo  yao hali inayopelekea kutumia maji ya mito na visima ambayo hawana uhakika kwa usalama wa afya zao.

Akizungumza na Mwandishi wetu Katibu wa Sheha wa shehia ya Kilombero John Ndarami  Makeja amesema kukosekana  kwa huduma ya maji safi na salama  kunawapa wasiwasi mkubwa  kupata ugonjwa wa Mripuko kutokana na wananchi walio wengi  kutumia...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Shehia 6 zinazo ongoza  kwa maradhi ya kichocho zanzibar

Mkuu wa kitengo cha maradhi yasiyopewa kipaombele Fatma Kabole amesema maradhi ya kichocho yamepungua kutoka asilimia 60 mnamo mwaka 80 hadi kufikia asilimia 1.7 kwa mwaka 2017.

Akizungumza na Waandishi wa habari baaada ya mkutano wa kuwasilisha ripoti ya utafiti wa Maradhi ya kichocho hapa Zanzibar amesema kupungua kwa maradhi kunatokana na mwamko wa wananchi kutumia dawa za kujikinga na maradhi hayo.

Wataalamu wamaliza maradhi ya kichocho Pemba

Amesema katika kuhakikisha maradhi hayo...

 

3 years ago

StarTV

Mapambano dhidi ya Ukimwi Kamati za Shehia zatakiwa kujengewa uwezo

Uwezeshaji wa kamati za shehia na kuzijengea uwezo katika kupambana na udhalilishaji wa kijinsia na mapambano ya vitendo vinavyosababisha maambukizi ya virusi vya ukimwi ni njia muhimu inayoweza kuiepusha jamii na majanganga yanayowaathiri zaidi vijana.

Uundaji wa kamati katika shehia na ufuatiliaji unahitajika ili kuishirikisha jamii moja kwa moja hasa ikizingatiwa kuwa pamoja na jitihada za wadau mbalimbali juu ya matatizo hayo  bado yanaendelea  kwa kasi.

Shehiya ya Koani iliopo wilaya ya...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Jumuiya ya Maendeleo Shehia ya Chumbageni yafanya uchaguzi wa kamati tano

WANAJUMUIA ya Maendeleo na Kupunguza Umaskini shehia ya Chumbagneni  (CHADEPORE) wilaya ya Mkoani Pemba, wakijadilini jambo kwenye mkutano wa kuchagua kamati ndogo ndogo tano za Jumuia hiyo, mkutano huo ulifanyika hospitali ya Wambaa wilayani humo, (Picha kwa hisani ya CHADEPORE) WANAJUMUIA ya Maendeleo na Kupunguza Umaskini shehia ya Chumbagneni (CHADEPORE) wilaya ya Mkoani Pemba, wakijadilini jambo kwenye mkutano wa kuchagua kamati ndogo ndogo tano za Jumuia hiyo, mkutano huo ulifanyika hospitali ya Wambaa wilayani humo, (Picha kwa hisani ya CHADEPORE)

 

WANAJUMUIA ya Maendeleo na Kupunguza Umaskini shehia ya Chumbagneni  (CHADEPORE) wilaya ya Mkoani Pemba, wakijadilini jambo kwenye mkutano wa kuchagua kamati ndogo ndogo tano za Jumuia hiyo, mkutano huo ulifanyika hospitali ya Wambaa wilayani humo, (Picha kwa hisani ya CHADEPORE) WANAJUMUIA ya Maendeleo na Kupunguza Umaskini shehia ya Chumbagneni (CHADEPORE) wilaya ya Mkoani Pemba, wakijadilini jambo kwenye mkutano wa kuchagua kamati ndogo ndogo tano za Jumuia hiyo, mkutano huo ulifanyika...

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AZINDUA BARAZA LA WATOTO SHEHIA YA KIEMBESAMAKI


 Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki ambae ni Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akizindua Baraza la Watoto wa Shehia ya Kiembesamaki katika sherehe zilizofanyika Tawi la CCM Kiembesamaki. Baadhi ya watoto wa Shehia ya Kiembesamaki wakimsikiliza Mwakilishi wao Mahmoud Thabit Kombo  wakati wa uzinduzi wa Baraza lao kwenye sherehe zilizofanyika Tawi la CCM Kiembesamaki Wilaya Magharibi ‘B’.Picha na Makame Mshenga/Maelezo Zanzibar. Katibu wa Baraza la Watoto Shehia ya Kiembesamaki Zulfa Mohd...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Shehia ya Kikwajuni juu kufaidika na uhusiano na mji wa Drewits wa Ujerumani

Mji wa Drewits uliopo Jiji la Potsdam nchini Ujerumani kwa kushirikiana na Shehia ya Kikwajuni Juu wamesaini hati ya makubaliano ya Mradi wa mahusiano mema baina ya Jiji la Potsdam na Kikwajuni Mjini Zanzibar.

Miongoni mwa Vipengele vya makubaliano hayo ni kuijenga miundombinu ya Majumba ya Mjerumani Kikwajuni ili kuhakikisha muonekano wake inafanana na Mji wa Drewits wa Potsdam Ujerumani.

Meya wa Jiji la Potsdam Nchini Ujerumani Jann Jakobs na Ujumbe wake wakipita katika Maeneo ya Kikwajuni...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani