Polisi: Kuhamasisha maandamano kupitia mtandao ni kosa la jinai Tanzania

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Gilles Muroto amesema watu wawili waliokamatwa jana mjini humo wanazuiliwa kwa kosa la kuhamaisha maandamano kupitia mitandao.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

VOASwahili

Polisi wasema kujificha kwa dereva wa Lissu ni kosa la jinai

Jeshi la Polisi nchini Tanzania limemtaka devera wa Lissu na Katibu Mkuu wa Chadema kuripoti kwa mahojiano polisi.

 

1 year ago

VOASwahili

Tanzania yasisitiza kuvujisha takwimu kosa la jinai

Serikali ya Tanzania imeonya kuwa wadadisi  watakaovujisha siri za takwimu watakazokusanya za mapato na matumizi ya kaya binafsi, watashtakiwa na kufikishwa mahakamani.

 

4 years ago

Michuzi

Rais Kikwete amteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai, pia amteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola kuongoza Idara ya Intelijensia ya Jinai

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani  Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (Director of Criminal Investigation).
Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Robert S. Manumba ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria.
Rais Kikwete pia amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola...

 

10 months ago

Malunde

WAWILI WAKAMATWA KWA KUHAMASISHA MAANDAMANO YA MANGE KIMAMBI TANZANIA

Jeshi la polisi mkoa wa Dodoma limewakamata na kuwawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kuhamasisha maandamano kwenye mitandao ya kijamii yanayotarajiwa kufanyika April 26 mwaka huu.
Kamanda wa polisi wa mkoa Dodoma Gilles Muroto amesema watu hao wamekua wakisambaza ujumbe kwenye mitandao ya kijamii kuhamasisha watu kuandamana huku wakijua ni kosa kisheria.
Aidha Kamanda Mruto ametoa wito kwa watu kutofuata mkumbo kuhamasisha watu kufanya maandamano kwani ni kosa kisheria na kuwa yeyote ambaye...

 

3 years ago

Michuzi

MAMBO MATATU YATAKAYOKUONDOLEA KOSA LA JINAI MAHAKAMANI.

Image result for KOSA  La  jinai
Na Bashir YakubMakosa  ya  jinai  ni  makosa  yote  yaliyoorodheshwa  katika  sura  ya  16  ya  kanuni  za  adhabu  pamoja  na  yale  yaliyo  katika  sheria  nyingine  kama  ile  ya  uhujumu  uchumi.  Pamoja  na  kuwapo  sheria nyingine  ambazo huorodhesha  makosa  ya  jinai   bado  Kanuni  za  adhabu  inabaki  kuwa  sheria  kuu  inayoorodhesha  makosa  ya  jinai.  Kwa  ujumla  katika  sheria tunayo makosa  makuu  ya  aina mbili. Kwanza  ni  hayo  ya  jinai  na  pili  ni  ya  madai.  Kwa ...

 

3 years ago

Mwananchi

IGP : Kuzidisha muda wa kampeni si kosa la jinai

Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu amesema hakuna sheria inayozuia wagombea urais, ubunge na udiwani kufanya kampeni zaidi ya saa 12 jioni isipokuwa ni kanuni za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

 

3 years ago

Mzalendo Zanzibar

IGP: Kuzidisha muda wa kampeni si kosa la jinai

Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu. Julius Mathias – Mwananchi Posted Jumanne, Septemba 8, 2015 Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu amesema hakuna sheria inayozuia wagombea urais, ubunge na udiwani kufanya kampeni […]

The post IGP: Kuzidisha muda wa kampeni si kosa la jinai appeared first on Mzalendo.net.

 

2 years ago

CCM Blog

POLEPOLE: KUTANGAZA TAARIFA ZINAZOSABABISHA TAHARUKI KATIKA NCHI NI KOSA LA JINAI

*AWASIHI WANASIASA KUJIKITA KATIKA SIASA SAFI NA UONGOZI BORA*WASITUMIE UONGO NA SHIDA ZA WATU KUSAKA UMAARUFU WA KISIASA
Na Bashir Nkoromo
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewasihi viongozi wa vyama vya wapinzani kujikita katika siasa safi na uongozi bora, kwa kuachana na matamko ya uongo yanayosababisha taharuki katika nchi na kuchonganisha wananchi na serikali yao, kwa kuwa vitendo hivyo havina manufaa kwa mustakabali wa maendeleo ya taifa.
Hayo yamesemwa na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi,...

 

4 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: KUTOTOA MATUNZO YA MTOTO NI KOSA LA JINAI, HII NI NAMNA YA KUCHUKUA HATUA

Na  Bashir  Yakub.
Kumekuwa  na  shida  sana  hasa  kwa  upande  wa  wanaume  kuwatelekeza  watoto. Mara  nyingi  wanaume  ndio   hutelekeza  watoto  kuliko  wanawake. Zipo  baadhi  ya  kesi  zimeripotiwa  zikihusisha  wanawake  kuwatelekeza  watoto   lakini hizi  si  nyingi  kama  ilivyo  kwa  wanaume. Hii  ni kwasababu  uwezekano  wa  mwanaume  kumkimbia  mtoto  ni  mwepesi  kuliko mwanamke  kumkimbia  mtoto/watoto.  Jambo  hili  ni  baya  na  limeshakemewa  na  sheria  mbalimbali.  Nataka...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani