Polisi wamsaka mwanamke anayejisaidia ovyo majumbani mwa watu
Polisi nchini Colorado Marekani wanamsaka Mwanamke mkimbiaji ambaye amepewa jina la bandia kama “mchafuzi kichaa “ ambaye kila kukicha amekuwa akiendelea kujisaidia haja kubwa nje ya nyumba za watu.
Cathy Budde anasema mwanamke huyo amekuwa akiacha kinyesi chake nje ya nyumba yake hadi mara saba kwa wiki za hivi karibuni, watoto wake wamekuwa wakimuona wakati akijisaidia akiwa amechuchumaa karibu na nyumba Colorado, licha ya kuwa vyoo vya umma (misalani) vipo karibu.
Kamanda wa polisi...
Zanzibar 24
Habari Zinazoendana
1 year ago
Malunde21 Sep
MWANAMKE WA AJABU 'ANAYEJISAIDIA OVYO KWENYE NYUMBA ZA WATU' ASAKWA NA POLISI

Polisi katika huko Colorado nchini Marekani wanamsaka mwanamke mkimbiaji ambaye amepewa jina la bandia kama "mchafuzi kichaa " - ambaye amekuwa akiendelea kujisaidia haja kubwa nje ya nyumba za watu.
Cathy Budde anase mwanamke huyo amekuwa akiacha kinyesi chake nje ya nyumba yake hadi mara saba kwa katika wiki za hivi karibuni ,licha ya kwamba kuna misalani ya umma karibu.
Anasema watoto wake walimuona...
2 years ago
Zanzibar 2411 Jan
Waliomchapa mwanamke viboko 30 mikononi mwa polisi
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Tarime/Rorya mkoani Mara, linawashikilia watu 10 wakiwemo viongozi watano wa baraza la mila liitwalo Irienyi ndogo la kabila la Wasimbiti kwa udhalilishaji wa kumchapa viboko mwanamke hadharani.
Mapema wiki hii, baadhi ya video ilisambaa katika mitandao ya kijamii, ikimuonesha mwanamke akichapwa viboko zaidi ya 30 hadharanina na wanaume mbele ya hadhara huku sauti za wanaume zilisikika zikishabikia kitendo hicho.
Kamanda wa Polisi Tarime/ Rorya, Andrew Satta...
2 years ago
Zanzibar 2426 Jul
Aliye shambulia watu kwa msumeno wa moto (Chainsaw) mikononi mwa Polisi Uswisi
Polisi nchini Uswisi wamemkamata mtu mmoja anaeaminika kufanya shambulizi la kigaidi kwa kutumia msumeno wa moto (Chainsaw) siku ya jumatatu.

Mtu huyo aliyetambulika kwa jina la Franz Wrousis,mwenye umri wa miaka 51 alifanya Shambulizi hilo ndani ya ofisi moja ya umma ambayo aliwahi kuifanyia kazi na lengo lake lilikuwa ni kuwateketeza wahudumu wote kwa kuwakata na msumeno wa moto (Chainsaw).
Baada ya tukio...
2 years ago
Zanzibar 2417 Aug
Wanafunzi 106 mikononi mwa polisi kwa kufanya vurugu na kujeruhi watu Tabora

3 years ago
Global Publishers14 Jan
Polisi wamsaka mrembo
DAR ES SALAAM: Mrembo Juliana Elias Komba (18), anasakwa na Jeshi la Polisi Kimara kwa hati ya utambulisho KMR/RB/12841/2015 kosa likidaiwa kumtelekeza mwanaye, Jordan Gwamaka (1).
Akizungumza na mwandishi wetu, Januari 11, mwaka huu kwenye ofisi za gazeti hili, Bamaga-Mwenge jijini Dar, mama mzazi wa binti huyo, Lillian David Mwambungu alisema amelazimika kulivalia njuga suala hilo na kuhakikisha binti yake anakamatwa kwani amefanya kitendo cha kinyama ambacho hakivumiliki.
“Nimefikia hatua...
3 years ago
Mwananchi06 Aug
Polisi wamsaka Dk Mwaka
4 years ago
BBCSwahili18 Jun
Polisi wamsaka muuaji wa Charleston
4 years ago
Habarileo27 Mar
Polisi wamsaka Askofu Gwajima
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam wamefungua jalada la uchunguzi dhidi ya tuhuma za Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima za tuhuma za kumkashifu Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam la Kanisa Katoliki, Mwadhamana Polycarp Kardinali Pengo.
5 years ago
Habarileo06 Feb
Polisi bado wamsaka mbunge wa Chadema
POLISI Jijini Arusha bado inamsaka Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema Chadema), lakini Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Liberatus Sabas, amesema ‘watampata tu.’