PONGEZI KWA DKT. ALI MOHAMED SHEIN KWA KUPEPERUSHA BENDERA YA CCM KWA NAFASI YA RAISI WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

CCM TAWI LA CHINA TUNATOA PONGEZI KWA MWENYEKITI WA CCM TAIFA, WAJUMBE WA KAMATI YA MAADILI NA USALAMA, KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA, HALMASHAURI KUU YA TAIFA NA MKUTANO MKUU WA TAIFA KWA KUTUPATIA MGOMBEA MWADILIFU, MAKINI, MZALENDO WA KWELI NA MPENDA MAENDELEO AMBAYE ATAPEPERUSHA BENDERA YA CHAMA CHETU KWA NAFASI YA URAISI WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KATIKA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA 2015, TUNATARAJIA KUPATA USHINDI WA KISHINDO. HONGERA SANA DKT. ALI MOHAMED SHEIN.WEMBE...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

CCM Blog

RAIS WA ZANZIBAR DKT.ALI MOHAMED SHEIN ATOA PONGEZI KWA TIMU YA ZANZIBAR HEROES RAIS  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameendelea kutoa pongezi kwa timu ya Taifa ya Zanzibar, ‘Zanzibar Heroes’ kwa kuirudishia Zanzibar heshima yake na sasa imekuwa inasemwa vizuri kutokana na jinsi timu hiyo ilivyoonesha kiwango safi cha kusakata soka.


Dk. Shein aliyasema hayo leo huko katika viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar katika chakula maalum cha mchana alichowaandalia wachezaji wa Timu ya Zanzibar Heroes pamoja na viongozi wake wote baada ya...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Rais Dk. Ali Mohamed Shein Atoa pongezi kwa serikali ya China na India

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amepongeza juhudi zinazoendelea kuchukuliwa na Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China na Serikali ya India katika kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta za maendeleo na kukuza uchumi wake.

Dk. Shein aliyasema hayo wakati  alipokuwa na mazungumzo na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China aliyepo Zanzibar  Xie Xiaowu na Balozi Mdogo wa India Mhe. Tek Chand Barupal kwa nyakati tofauti walipofika Ikulu...

 

11 months ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM-ZANZIBAR- RAIS WA ZANZIBAR DKT. ALI MOHAMED SHEIN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein Ikulu jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein Ikulu jijini Dar es Salaam.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu Mwenyekiti wa...

 

3 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA AWAMU YA SABA WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR DKT. ALI MOHAMED SHEIN

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono mamia ya wananchi wa Zanzibar mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mama Fatma Karume mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Amaan kisiwani Zanzibar.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein katika...

 

5 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA PONGEZI KWA MH.RAISI WA TANZANIA, RAISI WA ZANZIBAR NA VIONGOZI WOTE WALIOFANIKISHA KUPATIKANA KWA KATIBA INAYOPENDEKEZWA.


Ndugu viongozi wote wa serikali ya Chama Cha Mapinduzi diaspora, wawakilishi wa serikali ya Tanzania ndani na nje ya nchi, taasisi za kitaifa na kimataifa, mashirika ya kijamii, mashirika binafsi, viongozi mbalimbali; itifaki imezingatiwa.
Awali ya yote napenda kumshukuru M/Mungu kwa kutupa uzima na afya njema kuweza kutekeleza majukumu yetu ya kila siku ikiwemo kusimamia sera na utendaji wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi huku diaspora. Pia napenda...

 

1 year ago

CCM Blog

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DKT. ALI MOHAMED SHEIN, AONDOKA NCHINI ZANZIBAR KUELEKEA NCHINI ZA FALME ZA KIARABU (UEA)KUAZA ZIARA YAKE YA KISERIKALI LEO.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi katika ukumbi wa VIP katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, kabla ya kuaza ziara yake ya Wiki Moja katika Nchi za Falme za Kiarabu.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...

 

3 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DKT. ALI MOHAMED SHEIN AAPISHWA KUWA MJUMBE WA BARAZA LA MAWAZIRI

Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman akimuapisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri ili aweze kushiriki na kutekeleza majukumu yake kwenye Baraza hilo huku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia tukio hilo katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein amekiongoza kikao cha kamati Maalum CCM Leo

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein, leo (jana) amekiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa..

Kwa mujibu wa  taarifa kwa vyombo vya Habari iliyotolewa na Katibu wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM wa Idara ya Itikadi na Uenezi Bi. Waride Bakari Jabu, amesema kikao hicho cha siku moja kilifanyika Afisi Kuu ya CCM, Mjini Unguja.

Ameeleza kwamba pamoja na mambo mengine, kikao...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani