Prezzo amvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Michelle Oyola

Rapper kutoka Kenya Prezzo hatimaye amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Michelle Oyola ambaye amekuwa naye karibu sana siku za hivi karibuni.

Pezzo2

Prezzo ambaye pia kipindi cha nyuma aliwahi kuwavisha pete wanawake wawili wa kwanza akiwa ni mama mtoto wake Daisy na marehemu Goldie. Taarifa hii imekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii nchini Kenya ambapo wengi wanaamini kuwa huyu ndiye atakuwa mke wa Prezzo.

Kupitia mtandao wa Instagram Prezzo aliweka picha iliyoambatana na ujumbe: That rock...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

GPL

BALOTELLI AMVALISHA PETE MPENZI WAKE

Mshambuliaji  wa Italia na AC Milan, Mario Balotelli akiwa na mpenzi wake, Fanny Neguesha  aliyemvisha pete. Mpenzi wa Mario Balotelli, Fanny Neguesha. MSHAMBULIAJI wa Italia na AC Milan , Mario Balotelli ametangaza kumchumbia mpenzi wake, Fanny Neguesha kuelekea mchezo wao wa ufunguzi wa Kombe la Dunia dhidi ya England mjini Manaus. Mchezaji huyo… ...

 

3 years ago

Global Publishers

Tyga amvalisha pete ya uchumba Kylie!

kylie-jenner-18-birthday-party-21-tyga-ffnTyga akiwa na mpenzi wake Kylie Jenner.

HUENDA sikukuu ya Krismasi ilikuwa poa kwa staa wa Hip Hop, Tyga kwa kumvalisha pete mdogo wa mwanamitindo, Kim Kardashian, Kylie Jenner.

RING

Kylie Jenner akiwa amevaa pete hiyo.

Uthibitisho huo umejidhihirisha juzi kati baada ya mashabiki kubaki mdomo wazi kutokana na picha aliyoposti Kylie kwenye ukurasa wake wa Instagram pamoja na ‘Applikesheni’ yake inaoonesha pete ya uchumba.

Katika kurasa zake hizo, Kylie aliandika;

“Kila mwaka katika msimu huu wa...

 

3 years ago

Global Publishers

Drake amvalisha Rihanna pete ya uchumba

rihanna-drakeDrake na Rihanna

Mwanamuziki Robin Rihanna Fenty na rapa Aubrey Drake Graham ‘Drake’ wameingia kwenye vichwa vya habari mitandaoni baada ya Drake kumvalisha Rihanna pete ya uchumba ya almasi yenye thamani ya Dola Milioni 1.

Pete hiyo yenye uzito wa gramu 16 ilivaliwa na Rihanna kwenye Tuzo za Billboard, mazingira yaliyoonesha kuwa wawili hao siyo kwamba ‘wanadate’ tu bali ni wachumba.

Rihanna na Drake waliwahi kuwa wapenzi mwaka 2014 ambapo Drake alimfuata mdada huyo jijini London, nchini...

 

3 years ago

Bongo Movies

Masanja Mkandamizaji Amvalisha Pete ya Uchumba Monica

Mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedi Masanja Mkandamizaji Jumapili hii amemvalisha pete mpenzi wake aitwae Monica akijiandaa safari ya kufunga pingu ya maisha.

MASANJA3444

Muigizaji huyo ambaye pia ni mchungaji, Jumapili hii akiongezana na ndugu zake wa karibu pamoja na wasanii wenzake katika kanisa la Mito ya Baraka, aliweza kumvalisha pete mchumba wake Monica.

 

4 years ago

Bongo Movies

JOTI Amwisha Pete Ya Uchumba Mpenzi Wake Wa Siku Nyingi!!!

Kwa mujibuwa mtandao wa  JF, Mwigizaji  wa vichekesho Lucas Mhuvile, almaarufu kama Joti, anayepiga kazi kwenye kampuni ya Orijino Komedi, amemvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi, ikiwa ni ishara na dalili njema kwamba safari ya kuelekea kwenye taasisi muhimu zaidi duniani ya NDOA imewadia..

Akiwa na swahiba wake wa siku nyingi, Mr. Mjuni Sylvatory a.k.a Mpoki, Joti alionekana mwenye furaha muda wote kwa kutimiza tendo hilo huku akiwa amealika watu wachache sana kuhudhuria tukio...

 

3 years ago

Bongo5

Video: Masanja Mkandamizaji amvalisha pete mchumba wake huyu

Mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedi Masanja Mkandamizaji Jumapili hii amemvalisha pete mpenzi wake mpya akijiandaa safari ya kufunga pingu ya maisha.
Masanja akiwa na mchumba wake aitwae Monica
Masanja akiwa na mchumba wake aitwae Monica

Muigizaji huyo ambaye pia ni mchungaji, Jumapili hii akiongezana na ndugu zake wa karibu pamoja na wasanii wenzake katika kanisa moja, aliweza kumvalisha pete mchumba wake huyo aitwae Monica.Source: MC PilipiliTV

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na...

 

4 months ago

Zanzibar 24

Fid Q amvisha pete ya uchumba mpezi wake

 Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Fid Q amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake.

Fid Q huyo ame-share picha kadhaa kwenye ukurasa wake wa Instagram zikionyesha hatua hiyo muhimu kuelekea kwenye maisha mapya ya ndoa.


Fid Q akiwa na mchumba wake

Itakumbukwa December 08 mwaka huu rapper kutoka kundi la Weusi, Nikki wa Pili naye pia alimvisha pete ya uchumba mpenzi wake.

The post Fid Q amvisha pete ya uchumba mpezi wake appeared first on Zanzibar24.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Ndoa nyingine 2016? Prezzo katuonyesha Girlfriend wake mpya aliyemvalisha pete

IMG_20160526_120320

May 26 Msanii toka 254 Kenya Prezzo amekutana na Ayo TV pamoja na millardayo.com  na ametuonesha Girlfiend wake mpya ambaye hivi karibuni amemvalisha pete ya uchumba na wako katika harakati za kufunga ndoa hivi karibuni. ‘Unajua mimi sitaki kuwa kama wasichana wengine ambao wanaweza kuchumbiwa au kuvalishwa pete na kusubiria ndoa hata miaka mitano, kama kila […]

The post VIDEO: Ndoa nyingine 2016? Prezzo katuonyesha Girlfriend wake mpya aliyemvalisha pete appeared first on...

 

3 years ago

MillardAyo

Ujumbe wa Nick Cannon baada ya aliyekuwa mke wake Mariah Carey kuvalishwa pete ya uchumba..

Mume wa zamani wa mwanamuziki maarufu Marekani Mariah Carey, rapper na mchekeshaji Nick Cannon ameamua kutoa ya moyoni baada ya mkewe kuvishwa pete ya uchumba na mwanaume mwingine bilionea James Packer. Cannon na Mariah Carey ambao walifanikiwa kupata watoto wawili mapacha waliachana mwaka 2015 baada ya kutofautiana na kila mmoja kuendelea na mambo yake. Mariah […]

The post Ujumbe wa Nick Cannon baada ya aliyekuwa mke wake Mariah Carey kuvalishwa pete ya uchumba.. appeared first on...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani