PROF. KAMUZORA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA

 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora anayeshughulikia (Sera na Uratibu) akimkaribisha Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania Wang Ke alipowasili  katika Ofisi yake Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Juni,2018. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora (Sera na Uratibu) akifafanua jambo katika kikao na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Tanzania Wang Ke kilichofanyika katika Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Juni, 2018. Katibu Mkuu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MPYA WA CHINA NCHINI TANZANIA

  Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Balozi mpya wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Balozi Wang ke (kulia) alipotembelea leo ofisini kwake Mjini Dodoma.Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (katikati) akizungumza na Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto), Balozi mpya wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Balozi Wang ke (wa pili kushoto), pamoja na ugeni kutoka ubalozi wa China nchini Tanzania, katika kikao kilichofanyika leo katika Ofisi ya Spika...

 

2 years ago

CCM Blog

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MPYA WA CHINA HAPA NCHINI TANZANIA

 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akisalimiana na Balozi mpya wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Balozi Wang ke alipotembelea leo ofisini kwake Mjini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi mpya wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Balozi Wang ke (kulia) alipotembelea leo ofisini kwake Mjini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi mpya wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Balozi Wang ke (wa pili kushoto), Naibu...

 

1 year ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA HAPA NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa China hapa nchini Wang Ke aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo. Wa kwanza kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje Balozi Dkt. Augustine MahigaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa China hapa nchini Wang Ke aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam kabla ya mazungumzo.
PICHA NA IKULU 

 

1 year ago

Michuzi

BALOZI SEIF AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA, PIA AKUTANA NA MABALOZI WA TANZANIA KATIKA NCHI ZA MISRI NA ZAMBIA

Balozi wa China Nchini Tanzania Bibi Wang Ke alisema kukamilika kwa utanuzi wa ujenzi wa Eneo la Maegesho ya Ndege kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume Zanzibar utatoa fursa ya kuongezeka kwa huduma za usafiri wa anga baina ya Zanzibar na Mataifa mengine Duniani.

Alisema matayarisho ya ujenzi huo katika hatua za awali za Awamu ya Pili aliyoyashuhudia baada ya kushuka kwenye Uwanja huo wa Ndege wa Zanzibar yamempa faraja yeye pamoja na Uongozi mzima wa Benki ya...

 

4 years ago

Vijimambo

PINDA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI MALAWI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Victoria Mwakasege, ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 23, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Victoria Mwakasege kabla ya mazunguzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba 23, 2015

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba (kulia) hii leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Norway nchini  Tanzania Hanne-Marie Kaarstad (katikati) Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam. Pamoja na mambo mengine wamejadili namna ya kuendelea kushirikiana katika sekta ya Hifadhi na Usimamizi endelevu wa mazingira nchini. Sehemu ya wajumbe kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais na wale wa Ubalozi wa Norway wakifuatilia majadiliano hayo baina ya Balozi...

 

1 year ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Sarah Cooke, ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Aprili 18, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Sarah Cooke, ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Aprili 18, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

1 year ago

Michuzi

Balozi Seif akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Kampuni ya Kimataifa ya Ujenzi ya CCECC ya China

Rais wa Kampuni ya Kimataifa ya Uhandisi wa Ujenzi ya Nchini China ya Civil Engineering Construction Corporation 'CCECC' Bw. Zhuang  Shangbiao alisema hatua iliyochukua  Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar  'SMZ' ya kuipa kazi ya ujenzi wa barabara Nchini imeleta heshima kubwa na ya kipekee kwa Kampuni hiyo.
Alisema kazi iliyo mbele kwa uongozi na wahandisi wa kampuni hiyo hivi sasa ni kujipanga vyema katika kuhakikisha heshima waliyopewa na SMZ wanailinda katika kuwajibika ipasavyo  wakati wa...

 

3 years ago

Michuzi

BALOZI WA TANZANIA NCHINI KOMORO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA KOMORO,

Balozi Chabaka Kilumanga akipokea zawadi kutoka kwa Rais. Azzali OusmanKutoka Kushoto Rais Azali Ousman, Balozi wat Tanzania nchini Komoro Mhe. Chabaka Kilimunga, Bw. Mudrick Soragha Mkuu wa Afisa Ubalozi na Bi. Sheehat Kassim Mkalimani .Mhe. Chabaka Kilumanga Balozi wa Tanzania ndani ya Muungano wa Visiwa vya Komoro leo tarehe 17 Oktoba, 2016 alikutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Col. Azzali Ousmani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Visiwa vya Komoro katika Ikulu ya Bait Salam. Hii ni mara...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani