PROF. MBARAWA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA USIKU KAMBI YA SOGA YA UJENZI WA RELI YA MWENDOKASI ‘SGR’…ATOA MAAGIZI MAZITO

Waziri wa Ujenzi ,Uchukuzi na Mawasiliano , Profesa Makame Mbarawa ( kulia) akipatiwa maelezo ya maendeleo ya mradi wa Ujenzi wa reli ya kisasa (standard gauge)’SGR’ Juni 5, 2018, usiku eneo la kambi ya Soga ,iliyopo wilaya ya Kibaha , mkoani Pwani kutoka kwa Meneja mradi wa Kampuni ya Yapi Merkezi , Kemal Artuz.
Na John Nditi, Kibaha
WAZIRI wa Ujenzi ,Uchukuzi na Mawasiliano , Profesa Makame Mbarawa ameitaka  Kampuni ya Yapi Merkezi  ya nchini Uturuki inayojenga  reli ya kisasa (Standard...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

Prof. Mbarawa afanya ziara kushtukiza KOJ Kurasini

 Na Eleuteri Mangi-MAELEZO
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa amemuagiza Kaimu Meneja Msaidizi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Nelson Mlali kufanya uhakiki wa kampuni zinazotoa huduma mbalimbali bandarini ili kuboresha utendaji kazi na kuepuka mgongano wa maslahi binafsi minongoni wa watumishi wa bandari.
Profesa Mbarawa alitoa kauli hiyo baada ya kufanya ziara ya kushtukiza jana jioni(29/03/2016) kwenye ofisi za Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) eneo la...

 

2 years ago

Michuzi

KAIMU MKURUGENZI RAHCO AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA USIKU KATIKA MRADI WA RELI YA KISASA

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli (RAHCO), Masanja Kadogosa (wa pili kulia) akiongozwa na  Meneja Mradi wa reli ya Kisasa ya Standard gauge kutoka RAHCO, Maizo Mgedzi (kushoto) pamoja na Meneja mradi huo kutoka kampuni inayotekeleza mradi huo ya YAPI Merkezi kutoka Uturuki, Abdullah Milk mara baada ya kufika eneo la Soga - Kibaha jumamosi usiku kuona endapo wakandarasi wa mradi huo wanafanya kazi usiku na mchana kama walivyosema katika mkataba wao na serikali.

 

1 year ago

Michuzi

PROF. MBARAWA ATAKA UJENZI RELI YA KISASA KUHARAKISHWA

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa ametoa wito kwa mkandarasi Yapi Merkezi na Motaengil Africa wanaojenga reli ya kisasa (Standard Gauge Railway), kufanya kazi kwa uadilifu, kulingana na vipimo vilivyo kwenye mkataba ili kuwezesha mradi huo kukamilika kwa wakati.
Aidha, ameitaka Kampuni Hodhi ya Rasilimali za reli (RAHCO), kuhakikisha kuwa inafuatilia kwa karibu utekelezaji wa mradi huo kwani wananchi wamekuwa wakisubiri kukamilika kwake na kuanza kupata...

 

1 year ago

Michuzi

WAZIRI MBARAWA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) KUKAGUA UTENDAJI

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mh. Profesa Makame Mbarawa (MB) leo tarehe 17 Aprili, 2018 amefanya ziara ya kushtukiza Makao Makuu ya Shirika la Posta Tanzania.

Mhe. Profesa Mbarawa ametembelea Makao Makuu ya Shirika la Posta Tanzania kwa lengo la kukagua utendaji na uendeshaji wa shughuli mbalimbali za Posta, katika ziara hiyo Mhe. Waziri aliongozana na Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Shirika la Posta Luteni Kanali mstaafu Dr. Haruni Kondo.

Katika ziara hiyo Mhe....

 

3 years ago

Global Publishers

Waziri Nchemba Afanya Ziara Ya Kushtukiza Usiku Machinjioni Dar

Mwigulu (1)Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mwigulu Nchemba akizungumza na viongozi wa machinjio ya Vingunguti – Dar mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza usiku wa kuamkia leo.Mwigulu (2)…akipewa maelekezo
Mwigulu (3)…akikagua machinjio hayoMwigulu (4) Mwigulu (5) WAZIRI wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mwigulu Nchemba usiku wa kuamkia leo amefanya ziara ya ghafla na ya kushtukiza katika machinjio ya nyama Vingunguti jijini Dar es Salaam. Katika ukurasa wake rasmi wa twitter, Mwigulu amesema kuwa lengo la ziara yake hiyo lilikuwa ni...

 

2 years ago

Channelten

Ukarabati daraja la reli la Ruvu, Prof. Mbarawa atoa siku 7 kwa TRL kukamilisha

Kampuni ya Reli Tanzania imetangaza kusimamisha huduma ya treni za abiria kwenda bara jana, baada ya eneo hili lililopo Ruvu, mkoani Pwani kupata itilafu kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Picha na Mtandao

Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Professa Makame Mbarawa ametoa siku saba kwa Kampuni ya Reli Tanzania TRL, kukamilisha ukarabati wa daraja la Reli la Ruvu lililoharibiwa na kukatika hivi karibuni kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha nchini na kusababisha huduma za usafirishaji abiria na mizigo kusimama.

Waziri Mbarawa amesema hayo jana alipotembelea daraja hilo kwa lengo la kukagua na kuona maendeleo ya Ujenzi wa daraja la Ruvu ambao umekwisha anza na kusisitiza kuharakishwa...

 

3 years ago

Bongo5

Naibu Waziri Mavunde afanya ziara ya kushtukiza katika kambi ya upasuaji wa vichwa vikubwa

Mbunge wa Dodoma Mjini na Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Antony Mavunde Jumanne hii alifanya ziara ya kushtukiza katika kambi tiba ya upasuaji wa vichwa vikubwa na mgongo wazi inayoendeshwa kikosi cha Madaktari bingwa kutoka hospitali ya MOI pamoja GSM Foundation.
IMG_8891
Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Antony Mavunde(Wa kwanza kushoto) akikaribishwa eneo la Hospitali na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bw Jordan Rugimana(Wa tatu kutoka kushoto) na Naibu Mkurugenzi wa MOI...

 

1 year ago

Michuzi

VIJANA WA MOROGORO WANUFAIKA NA AJIRA UJENZI RELI MWENDO KASI ‘SGR’

Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Dk Kebwe Stephen Kebwe ( wa kwanza kulia) asikiliza maelezo ya mtaalamu wa Kampuni ya Uhandisi ya MotaEngil Afrika - Tanzania ya ujenzi wa reli ya kisasa (standard gauge) eneo la Ngerengere kutoka kwa Mpima ardhi wa Kampuni hiyo , Juma Sospeter , wakati wa ziara yake na wajumbe wa kamati ya ulinzi na salama ya mkoa na wilaya ya Morogoro alipotembelea eneo la ujenzi wa kambi ya kampuni hiyo na njia ya reli ya kisasa ya “SGR “ katika kata ya Ngerengere ,...

 

2 years ago

Michuzi

PROF. MBARAWA AFANYA ZIARA OFISI ZA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA, JIJINI DARA

Waziri Profesa Mbarwa (kushoto), akimweleza jambo Meneja wa Posta Mkoa wa Dar es Salaam, Margret Mlyomi (katikati), wakati akitembelea Posta Kuu, maeneo ya Posta Mpya jijini Dar es Salaam leo, wakati wa ziara hiyo. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Usalama cha Shirika la Posta Tanzania, George Mwamgabe.Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,Profesa Makame Mbarawa akiwasili Ofisi za Posta Kuu ya Shirika la Posta maeneo ya Posta Mpya wakati alipofanya ziara ya kushtukiza Dar es Salaam leo. Kulia...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani