Profesa Muhongo akabidhi gari Nne za Wagonjwa wilayani Musoma, Jimbo la Musoma Vijijini

Waziri wa Nishati na Madini na Mbunge wa Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) akikabidhi leseni na funguo ya gari ya wagonjwa (ambulance) kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Musoma, Flora Yongolo (katikati) na anayeshuhudia ni Mkuu wa wilaya ya Musoma, Dkt. Vicent Naane (kulia). Gari hizo Nne aina ya Suzuki Maruti alizikabidhi katika  vijiji vya Masinono, Kurugee, Mugango na Nyakatende na kufikisha idadi ya gari Tano za wagonjwa alizozitoa katika Jimbo hilo.Waziri wa Nishati na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

12 months ago

CCM Blog

JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI - WATANZANIA WENYE CHIMBUKO (ROOTS) LA MUSOMA VIJIJINI WAAMUA KUSHIRIKIANA NA NDUGU ZAO WA VIJIJINI KUTOKOMEZA UMASKINI WAO

Leo, Jumatano, 2.5.2018, Wafanyabiashara, Wafanyakazi, Wasomi na Wataalamu waliozaliwa au wazazi waliozaliwa Kijiji cha Mkirira, Kata ya Nyegina, Jimbo la Musoma Vijijini wameshirikiana na Mbunge wa Jimbo (Prof Sospeter Muhongo), Diwani wa Kata (Mhe Majira) na Wanakijiji wa Kijiji cha Mkirira kuchanga jumla ya Tshs 1.6 Milioni na Mifuko ya Saruji 238 kwa ajili ya UJENZI WA ZAHANATI YA KIJIJI CHA MKIRIRA. Michango inaendelea.

Lengo ni kukamilisha Jengo  hilo kabla ya Desemba 2018.
Jimbo...

 

3 years ago

Michuzi

Profesa Muhongo azindua Tovuti na Mpango wa Ugawaji Madawati, Musoma Vijijini.


Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini ambaye pia ni Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ( wa kwanza Kulia) akielekea kupanda Boti ya kumpeleka Musoma Mjini mara baada ya kuzindua Mpango wa ugawaji madawati katika Jimbo hilo uliofanyika katika shule ya Rukuba iliyopo katika kisiwa cha Rukuba ambayo ilipata madawati 100 huku zoezi hilo likiwa ni endelevu. Wa Pili kutoka kulia ni Mhandisi Joseph Kumburu.Wanafunzi wa Shule ya Msingi Rukuba katika Jimbo la Musoma Vijijini wakiwa...

 

2 years ago

Michuzi

Profesa Muhongo asheherekea Krismasi kwa kufanya makubwa Musoma Vijijini

Mbunge wa Musoma Vijijini na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ametoa mifuko 300 ya saruji kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa Zahanati ya Kigeraetuma iliyopo Kijiji cha Kamuguruki, Musoma Vijijini ikiwa ni zawadi ya sikukuu ya Krismasi.
Zawadi hiyo imetolewa leo kijijini humo katika hafla ya chakula aliyoiandaa kwa ajili ya wananchi wa Kijiji hicho pamoja na vijiji vingine mara baada ya ibada iliyofanyika katika kanisa la Menonite lililopo kijiji cha Nyakatende, Musoma...

 

2 years ago

Channelten

Prof Muhongo aendesha zoezi la matibabu bure kwa wananchi wa jimbo la Musoma Vijijini

prof

Waziri wa nishati na madini ambaye pia ni mbunge wa jimbo la musoma vijijini Prof. SOSPETER MUHONGO ameendesha zoezi la matibabu bure kwa wananchi zaidi ya mia moja hamsini kutoka vijiji vya Nyambono na Kwikuba vilivyopo Musoma vijijini mkoani Mara ambapo madaktrari bingwa watano kutoka nchini china wapo jimboni humo kwaajili ya kutoa matibabu bure kwa wananchi.

Akizungumza wakati wa zoezi la utoaji wa huduma hiyo linalofanyika kwa mara ya nne jimboni humo Prof. Muhongo amewataka wananchi...

 

3 years ago

Mtanzania

Muhongo azindua tovuti Musoma Vijijini

muhongoNA MWANDISHI WETU, MUSOMA

MBUNGE wa Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo (CCM), amezindua tovuti ya Jimbo la Musoma Vijijini ili wadau mbalimbali wa ndani na nje ya nchi wapate taarifa mbalimbali kuhusu jimbo hilo.

Uzinduzi wa tovuti hiyo ulifanyika katika Kijiji cha Saragana, wilayani Musoma ambapo wananchi na viongozi mbalimbali wa Halmashauri ya Musoma Vijijini walihudhuria.

“Badala ya kusubiri kuangalia runinga au magazeti, tovuti hii itasaidia shughuli mbalimbali za jimbo ikiwamo...

 

4 years ago

Michuzi

Profesa Muhongo atangaza nia leo mjini Musoma

WAZIRI wa zamani wa Nishati na Madini Sospeter Muhongo, ametangaza nia rasmi ya kuwaomba Wana CCM kumteua kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwezi Oktoba, huku akisema ni yeye pekee mwenye uwezo wa kuikwamua nchi katika hali mbaya ya umasikini na ukosefu wa wataalamu, hali inayoifanya nchi ishindwe kupiga hatua.
Pamoja na mambo mengine, Muhongo alitumia muda mwingi kutoa takwimu hali ya umasikini na utajiri kwa wananchi wa Tanzania, bila kusahau baadhi ya nchi ambazo zimeweza...

 

2 years ago

Michuzi

MUSOMA VIJIJINI WAJISIFU WALICHAGUA JEMBE,WAMMWAGIA SIFA PROF. MUHONGO

Wananchi wa Jimbo la Musoma Vijijini wamempongeza Mbunge wao na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kwa kufanya mambo makubwa ya kimaendeleo ndani ya mwaka mmoja.

Pongezi hizo zimetolewa na wananchi wa jimbo hilo wakati wa mkutano wa Tathmini ya Maendeleo na Uchumi ya jimbo uliofanyika hivi karibuni katika Kijiji cha Murangi, Musoma Vijijini na kushirikisha wananchi wa jimboni humo, madiwani, wadau wa maendeleo na watendaji wa Halmashauri husika.

Awali akifungua...

 

2 years ago

Michuzi

MUSOMA VIJIJINI WAWEKA WAZI MATUMIZI MFUKO WA JIMBO

Wajumbe wa Kamati ya Mfuko wa Jimbo la Musoma Vijijini wameagizwa kuhakikisha wanakagua utekelezaji wa miradi ya kilimo ya vikundi vilivyokabidhiwa vifaa kutoka kwenye mfuko huo ili kujiridhisha.
Agizo hilo limetolewa hivi karibuni na Mbunge wa Jimbo hilo, Profesa Sospeter Muhongo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati husika wakati wa mkutano wa hadhara wa kuainisha matumizi ya fedha za Mfuko wa Jimbo kwa Awamu ya Pili uliofanyika katika kijiji cha Tegeruka, Musoma Vijijini.
Ilielezwa kwamba...

 

3 years ago

Michuzi

PROF MUHONGO AANDAA MASHINDANO YA NYIMBO ZA KWAYA JIMBO LA MUSOMA


Vikombe Vya washindi wa Nyimbo na Kwaya katika Jimbo la Musoma Vijijini. Mashindano hayo yameandaliwa na Waziri wa Nishati na Madini Prof Muhongo Kwa ajili ya kusheherekea sherehe za NANE NANE katika Jimbo hilo. Mashindano hayo yanezinduliwa Leo Tarehe 7/8 kwa Nyimbo za Kwaya na Kumalizika Kesho Kwa Ngoma za utamaduni. Washindi wa kwanza hadi 3 watapewa Kombe na Fedha Taslimu (Mshindi wa kwanza 1,000,000, wa Pili 600,000 na wa tatu 400,000).

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani