Professor Jay aongea hiki baada ya mbunge wa Kilombero kuhukumiwa kwenda jela miezi 6

Baada ya mbunge wa Jimbo la Kilombero, Peter Lijualikali na Dereva wake, John Kibasa kuhukumiwa kwenda jela miezi sita bila faini kwa kosa la kufanya vurugu kipindi cha uchaguzi mwaka 2015, Professor Jay ambaye ni mbunge wa jimbo la Mikumi ameumizwa na kitendo hicho.

Kupitia ukurasa wa facebook wa Professor ameandika:

Wanadhani wanatutisha ili tuogope Na kurudi nyuma, Hawajui kuwa WANATUKOMAZA Na kutuongezea Ujasiri zaidi wa Kuendeleza Mapambano. Ipo Siku TUTAELEWANA TU na Jela tutaona kama...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

MillardAyo

Baada ya Mbunge wa Kilombero kuhukumiwa miezi 6 jela, sheria inasemaje kuhusu Ubunge wake?

screen-shot-2017-01-11-at-3-24-38-pm

Mbunge wa kilombero Peter Lijualikani January 11 2017 amehukumiwa kwenda jela miezi sita kwa kukutwa na hatia ya kufanya fujo wakati wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya kilombero mwaka 2015. AyoTV imemtafuta wakili wa kujitegemea Jebra Kambole kutueleza sheria inasemaje pale ambapo Mbunge anahukumiwa kwenda jela, Ubunge wake unakua kwenye nafasi gani?  […]

The post Baada ya Mbunge wa Kilombero kuhukumiwa miezi 6 jela, sheria inasemaje kuhusu Ubunge wake? appeared first on...

 

1 year ago

Michuzi

Mbunge Wa jimbo la Kilombero Mhe. Peter Lijualikali kuendelea kuwa mbunge licha ya kuhukumiwa kifungo cha miezi sita jela - Kailima


Mjadala umeshika kasi mitaani, mitandaoni na kila mahali baada ya Mahakama ya wilaya ya Kilombero kumhukumu kutumikia kifungo cha miezi sita jela bila faini Mbunge Wa jimbo la Kilombero Mhe. Peter Lijualikali (30) kwa kosa la kufanya fujo na kusababisha taharuki katika maeneo ya ukumbi Wa halmashauri ya Wilaya ya Kilombero.
Mbunge huyo, akiwa mshtakiwa namba moja pamoja na mwenzie Stephano Mgata (35) walitenda kosa hilo Machi 1, 2016 saa 4 asubuhi Kwenye kikao cha Baraza la Madiwani katika...

 

1 year ago

Habarileo

Mbunge wa Kilombero atupwa jela miezi sita

MBUNGE wa Kilombero kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Peter Lijualikali (30) amehukumiwa kwenda jela miezi sita bila faini na Mahakama ya Wilaya ya Kilombero, kwa kosa la kufanya fujo na kusababisha taharuki na uvunjifu wa amani.

 

1 year ago

MillardAyo

BREAKING: Mbunge wa Kilombero Morogoro ahukumiwa miezi 6 jela

screen-shot-2017-01-11-at-1-53-27-pm

Mbunge wa Kilombero kwa ticket ya CHADEMA Peter Lijualikali leo January 11 2017 amehukumiwa jela miezi 6 baada ya kupatikana na hatia katika kesi ya kufanya vurugu kipindi cha uchaguzi wa Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kilombero.  Mbunge Lijualikali alishtakiwa kwa kuwashambulia polisi kwenye sikiu hiyo ya uchaguzi. Mbunge jimbo la Kilombero Lijualikali amehukumiwa […]

The post BREAKING: Mbunge wa Kilombero Morogoro ahukumiwa miezi 6 jela appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

StarTV

MBUNGE WA JIMBO LA KILOMBERO AHUKUMIWA MIEZI SITA JELA

Na, Jackson Monela – Star TV

Mahakama ya Wilaya ya Kilombero imemuhukumu kifungo cha miezi Sita mbunge wa Jimbo Kilombero mkoani Morogoro Peter Lijualikali (30) mara baada ya kumkuta na hatia ya kufanya fujo na kusababisha taharuki katika uchaguzi wa kumtafuta mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Machi Mosi mwaka 2016.

Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo Timothy Lyon na imemuhusisha mbunge wa Jimbo hilo Peter Lijualikali pamoja na mwenzake Stephano Mgata (35) ambaye  yeye...

 

1 year ago

CHADEMA Blog

Mbunge wa Kilombero(CHADEMA) Mh. Lijualikali, afungwa jela miezi sita

Mahakama ya wilaya ya Kilombero imemuhukumu kifungo cha miezi sita jela Mbunge Wa jimbo la Kilombero Peter Lijualikali (30) kwa kosa la kufanya fujo na kusababisha taharuki katika maeneo ya ukumbi Wa halmashauri ya Wilaya ya KilomberoMwendesha mashtaka inspekta Wa Polisi Dotto Ngimbwa aliiambia mahakama kuwa mshtakiwa, akiwa mshtakiwa namba moja pamoja na mwenzie Stephano Mgata (35)

 

4 years ago

Michuzi

MKE AZIRAI BAADA YA KUHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA MITANO YEYE NA MUMEWE

Asia Hamisi akiwa amezirai mahakamani
baada ya kuhukumiwa miaka mitano jela
Watu wawili wa familia moja Frank Charles na mkewe Asia Khamis wamehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela au kulipa faini ya shilingi milioni moja kila mmoja kwa kosa la kukutwa na madawa ya kulevya aina ya bangi. Hakimu wa mahakama ya wilaya ya Mbeya Maria Batulaine amewatia hatiani wanandoa hao baada ya  kuridhishwa na ushahidi usio shaka wa mashahidi wanne wa upande wa mashitaka. Imedaiwa na Mwendesha mashitaka...

 

2 years ago

Bongo5

Baada ya Afande kumuondoa Professor J kweli list ya wasanii wa hip hop kisa Singeli, Professor J aongea la moyoni

Baada ya msanii mkongwe wa muziki kutoka Morogoro, Afande Sele kumuondoa Professor J katika list ya wasanii wa muziki wa hip hop baada ya kushirikiana na msanii wa Singeli kwenye wimbo ‘Kazi Kazi’, Professor ameamua kufafanua kwanini aliamua mshirikisha msanii wa kisingeli kwenye wimbo hiyo.
Professor-Jay

Hatua hiyo imekuja baada ya Jumatatu hii, Afande Sele kupitia kipindi cha XXL cha Clouds FM, kudai amekubali alichofanya Professor J kwenye wimbo ‘Kazi Kazi’ lakini amemuondoa msanii huyo katika list ya...

 

2 years ago

Bongo5

Baada ya Afande kumuondoa Professor J kwenye list ya wasanii wa hip hop kisa Singeli, Professor J aongea la moyoni

Baada ya msanii mkongwe wa muziki kutoka Morogoro, Afande Sele kumuondoa Professor J katika list ya wasanii wa muziki wa hip hop baada ya kushirikiana na msanii wa Singeli kwenye wimbo ‘Kazi Kazi’, Professor ameamua kufafanua kwanini aliamua mshirikisha msanii wa kisingeli kwenye wimbo hiyo.
Professor-Jay

Hatua hiyo imekuja baada ya Jumatatu hii, Afande Sele kupitia kipindi cha XXL cha Clouds FM, kudai amekubali alichofanya Professor J kwenye wimbo ‘Kazi Kazi’ lakini amemuondoa msanii huyo katika list ya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani