PROF.NDALICHAKO :SERIKALI INATARAJIA KUAJIRI WALIMU WA MASOMO YA SAYANSI ZAIDI YA 4,000

 Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Ufundi,Profesa Joyce Ndalichako akizungumza na wananchi wa Jimbo la Rifiji Mkoani Pwani.
 Mbunge wa Jimbo la Rufiji,Mohamed Mchengerwa (CCM)  akizungumza na wananchi wa eneo hilo.
Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Ufundi,Profesa Joyce Ndalichako akiwa na Mbunge wa Jimbo la Rufiji,Mohamed Mchengerwa (CCM) wakiongozama na wanafunzi wa sekondari ya Utete.Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Ufundi,Profesa Joyce Ndalichako,amesema serikali inatarajia...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Ippmedia

Waziri Prof. Ndalichako apiga marufuku tabia ya walimu kuwaachia walimu wanafunzi masomo yao.

Waziri wa elimu sayansi teknolojia na ufundi Professa Joyce Ndalichako amepiga marufuku tabia ya baadhi ya walimu nchini kuwaachia walimu wanafunzi wanaofanya mafunzo kwa vitendo mashuleni kuwafundishia masomo yao na wao kujipa likizo.

Day n Time: Alhamisi Saa 2:00 UsikuStation: ITV

 

2 years ago

Habarileo

Serikali kuajiri walimu wa sayansi, hisabati

SERIKALI imetangaza kuajiri walimu wa masomo ya sayansi na hisabati katika shule za sekondari ambao wametakiwa kupeleka nakala za vyeti vyao vya elimu ya sekondari, vya taaluma ya ualimu (stashahada na shahada) kwa ajili ya uhakiki.

 

4 years ago

Mwananchi

Serikali kuajiri walimu 35,000 sekondari

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema Serikali imepanga kuajiri walimu zaidi ya 35,000 kwa ajili ya shule za sekondari ili kukabiliana na tatizo la uhaba wa walimu nchini.

 

4 years ago

Michuzi

SERIKALI KUAJIRI WALIMU 35,000 - WAZIRI MKUU

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali imepanga kuajiri walimu zaidi ya 35,000 kwa ajili ya shule za sekondari ili kukabiliana na tatizo la uhaba wa walimu nchini.
Ametoa kauli hiyo jana jioni (Alhamisi, Februari 19, 2015) wakati akizungumza na mamia ya wakazi wa kata ya Kiwere, mara baada ya kukagua ujenzi wa maabara na kuzindua nyumba nne za walimu kwenye shule ya sekondari ya Kiwere, tarafa ya Kalenga, wilayani Iringa.
Waziri Mkuu alisema walimu hao watagawanywa kwenye shule kulingana...

 

2 years ago

Dewji Blog

Serikali kuajiri walimu 35,000 mwaka wa fedha 2016/2017

Baada ya serikali kusitisha utoaji wa ajira mpya ili kupisha zoezi la uhakiki wa watumishi wa umma nchi nzima.Imepanga kutoa ajira mpya kwa waalimu 35,000 katika mwaka wa fedha wa 2016/2017.

Hayo yamesemwa Disemba 2, 2016 na Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Suleiman Jaffo katika kikao cha maelekezo ya utendaji kazi kwa watendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam.

Jaffo amesema watakao ajiriwa ni wale...

 

2 years ago

Dewji Blog

Serikali kuajiri wataalamu wa maendeleo ya jamii zaidi ya 5,000

Serikali inajipanga kuajiri wataalamu wa maendeleo ya jamii 5,554 kwa kipindi cha miaka mitano ili waweze kutoa huduma za maendeleo ya jamii kuanzia  ngazi ya Serikali kuu hadi kijiji kama ilivyokuwa kwa utawala wa amu ya kwanza nchini.

Akihutubia wakati wa Mahafari ya sita ya Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tenguru nje kidogo ya jiji  la Arusha Naibu Waziri Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dk. Hamis Kigwangalla amesema serikali ya awamu ya kwanza ilikuwa na idadi...

 

2 years ago

Bongo5

Walimu wa masomo ya Sayansi wapewa mtego

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako amesema walimu wa Sayansi watakaoajiriwa na serikali, watalazimika kutuma vyeti vyao kabla ya kupangiwa kituo cha kazi.

Kauli hiyo imetolewa na Profesa Ndalichako, wakati akifungua mkutano mkuu wa mwaka wa wakuu wa shule za sekondari Tanzania (Tahossa). Pamoja na kuzungumzia mabadiliko hayo katika mfumo wa ajira, alisema nia ya serikali kuimarisha elimu ya sekondari, ikiwa ni pamoja na kuimarisha ufundishaji wa masomo...

 

2 years ago

Bongo5

Ubalozi wa Marekani kuleta walimu 51 wa masomo ya sayansi

Serikali ya Marekani imejitolea kuleta walimu 51 kufundisha masomo ya sayansi nchini kwa kipindi cha miaka miwili bure.

dsc_4732

Balozi wa Marekani nchini, Bi Virginia Blaser, amesema hayo jijini Dar es Salaam na kuwa walimu hao watajitolea kufundisha. “Matumaini yangu watakuja kufundisha na kutoa huduma bora na yenye tija kwa taifa la Tanzania,” alisema.

Kwa upande wake mkurugenzi wa shirika la huduma za kujitolea la watu wa Marekani, amesema mpango huo umekuwa na tija na umeongeza mahusiano...

 

2 years ago

Channelten

Serikali Mwanza inatarajia kuendesha Oparesheni ya kuwabaini watoto waliokatishwa Masomo ikiwemo kuozeshwa

screen-shot-2017-01-09-at-4-10-04-pm

Serikali mkoani Mwanza, inatarajia kuendesha Oparesheni ya kuwabaini watoto waliokatishwa Masomo kutokana na sababu mbalimbali, zikiwemo za Kilimo, kuozeshwa kwa lazima pamoja na kupewa ujauzito, ili kuwachukulia hatua kali za kisheria watu waliohusika na vitendo hivyo.

Akiwa ziarani wilayani Kwimba mkoani Mwanza mkuu wa mkoa huo John Mongela, amesema Shule zitakazohusishwa na Oparesheni hiyo ni Msingi na Sekondari, baada ya kuthibitika kuwa na idadi ndogo ya wanafunzi waliojiunga na...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani