PS 3 YABORESHA WATENDAJI WA UMMA NCHINI

Mwezeshaji wa mafunzo ya WISN PLUS POA ,Joram Kiungo toka Tamisemi akitoa somo kwa washiriki wa mkoa wa Dar jinsi ya utoaji wa taarifa za kimfumo katika upangaji wa watumishi katika halmashauri zao Mafunzo ya siku mbili yaliyoanza leo mkoani mtwara na kufanyika katika kanda 6 Nchini na kusimamiwa na tamisemi kupitia mradi wa uboreshaji wa mifumo ps 3 chini ya ufadhili wa USAID. 
Na Abdulaziz Ahmeid, MtwaraWAKATI Serikali inatarajia kuajiri katika sekta ya afya watumishi wapya 7680...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Dewji Blog

Moovn Tanzania Limited yaboresha huduma za usafiri nchini

Kampuni ya Moovn Tanzania Limited imeboresha huduma za usafiri na kuongeza usalama wa wateja kwa kuanzisha huduma za usafiri zinazopatikana kwa njia ya mtandao.

Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo,Bw.Godwin Ndugulile alipokua akiwaelekeza waandishi wa habari jinsi ya kujiunga na huduma za usafiri kwa njia ya mtandao.

“Huduma zetu za usafiri zinapatikana kwa njia ya simu na tovuti kupitia program za aina tatu ambazo ni programu inayomuhusu mteja,(Moovn...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Makonda aendelea kuwatumbua watendaji wa umma

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameendelea na ziara zake za kutatua kero za Wananchi ambapo anaendelea wilaya ya Kinondoni.

Akizungumza na Watumishi wa Umma wa Wilaya hiyo, Makonda alisema kuwa wapo wanaoshinda kwa waganga na wanaotumia hirizi ili kujikinga wasitumbuliwe.

Kwa upande wa Mkuu wa Wilaya hiyo DC Ally Hapi amesema kuwa atahakikisha anawashughulikia watendaji ambao bado hawawajibiki ipasavyo katika nafasi zao.

The post Makonda aendelea kuwatumbua watendaji wa umma...

 

3 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Afya yaboresha Kituo cha Kuratibu Matukio ya Sumu nchini

1 (14)

Mratibu wa Kituo cha kuratibu matukio ya sumu nchini toka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Bw. Yohana Goshashy akiwaeleza waandishi wa habari  leoJijini Dar es salaam kuhusu umuhimu wa kituo hicho hapa nchini ikiwemo kuwakinga na madhara ya sumu kwa kutoa elimu juu ya matumizi sahihi ya kemikali mbalimbali. Kushoto ni Afisa Habari wa Idara ya Habari Maelezo Bw. Frank Mvungi.

2 (3)

Baadhi ya waandishi wa Habari wakifuatilia mkutano wa Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali na Vyombo vya Habari...

 

1 year ago

Michuzi

CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA (TPSC) KUWAJENGEA UWEZO WATUMISHI WA UMMA JIMBO LA PUNTLAND NCHINI SOMALIA

Wataalamu waandamizi kutoka Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), wapo nchini Somalia kwa ajili ya kazi ya kuandaa mafunzo ya kuboresha utumishi wa umma katika Jimbo la Puntland nchini Somalia. 
Kazi hiyo inafanyika kwa ushirikiano kati ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania na Chuo Kikuu cha Taifa cha Puntland kilichopo Jimbo la Puntland nchini Somalia. Mkuu wa Chuo Dkt Henry Mambo alisema kwamba watumishi hao waliondoka nchini tarehe 3 mwezi Machi mwaka huu na wanatarajia kurejea...

 

2 years ago

Ippmedia

Serikali haitawavumilia watendaji wa umma ambao wanakwamisha jitihada za wawekezaji

Waziri mkuu Mh. Kassimu Majaliwa amesema serikali haitawavumilia watendaji wa umma ambao wamekuwa wakisababisha urasimu na kukwamisha jitihada za wawekezaji wanaohitaji huduma zao kufanikisha uanzishaji wa viwanda na miradi mingine hapa nchini.

Day n Time: Jumamosi saa 2:00 UsikuStation: ITV

 

2 years ago

Dewji Blog

Majaliwa afungua mkutano wa watendaji Wakuu wa Mashirika ya umma,Ikulu

Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa  mapema leo 28 Februari 2017, ameongoza mkutano wa siku moja wa watendaji wakuu na wenyeviti wa bodi za mashirika ya umma, unaojadili nafasi za mashirika ya Umma katika utekelezaji wa Mpango wa Pili ya Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano (2016/17-2020/21), Unaofanyika Ikulu Jijini Dar e Salaam.

Mkutano huo ulioandaliwa na Taasisi ya Uongozi kwa kushirikiana na Ofisi ya Msajili wa Hazina,Waziri Majaliwa amewapongeza wakuu hao ambapo amewataka kuhakikisha...

 

4 years ago

Dewji Blog

Watendaji, watumishi wa umma watakiwa kujikita kwenye kilimo cha biashara

DSC03705

Kaimu mkurugenzi mtendaji halmashauri ya Singida, Joseph Sabore, akitoa ufafanuzi wa ajenda zilizokuwa zikiwasilishwa mbele ya kikao cha kawaida cha baraza la madiwani.Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa halmashauri ya Singida, Elia Didha na wa pili kulia ni Mkuu wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi na wa kwanza kulia ni katibu CCM wilaya ya Singida.

Na Nathaniel Limu, Singida

KAIMU mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya Singida, Elia Digha, amewahimiza watendaji kujenga utamaduni wa kujishughulisha...

 

4 years ago

Michuzi

MEYA MANISPAA YA MOSHI AWASEMEA WATENDAJI WANAO HUJUMU MALI ZA UMMA KWA WANANCHI

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi na Mwenyekiti wa Chadema Manispaa ya Moshi Jafary Michael akiwahutubia wakazi wa mji wa Moshi wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Manyema mjini Moshi.
Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi wakiwa katika mkutano wa hadhara wa Meya wa Manispaa ya Moshi ,Jafary Michael katika viwanja vya Manyema ,Meya Jafary alikuwa akizungumzia vitendo vya Uporaji wa Viwanja vya Umma pamoja na tatizo la wafanya biashara ndogo ndogo  maarufu kama...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Balozi Seif:Nidhamu ya kuingia na kutoka kazini watendaji wa Umma Pemba sio nzuri

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif  Ali Iddi amewakumbusha Maafisa Wadhamini pamoja na Viongozi wengine wenye dhamana ya kusimamia wafanyakazi wa Taasisi za Umma kuhakikisha kwamba nidhamu katika utekelezaji wa majukumu ya Utumishi wa Umma inafuatwa kikamilifu.

Alisema Serikali isingependa kuona Watumishi wake wanashindwa kuzingatia sheria na Kanuni zilizowekwa katika Utumishi wa Umma na kuamua kufanya watakavyo.

Akizungumza na Viongozi wa Serikali wa Mikoa Miwili ya Pemba hapo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani