PUMA ENERGY TANZANIA YAZINDUA MAFUNZO MAALUM YA USALAMA BARABARANI KWA WANAFUNZI SHULE ZA MSINGI

Na Ripota Wetu, Globu ya jamii
KAMPUNI ya Puma Energy Tanzania imezindua kampeni maalumu ya mafunzo ya usalama barabarani kwa wanafunzi wa shule za msingi kwa lengo la kueneza elimu hiyo kuanzia ngazi ya chini. 

Kampeni hiyo inayokwenda sambamba na mashindano ya uchoraji michoro ya usalama barabarani imezinduliwa Dar es Salaam jana na ofisa wa Polisi, ASP Mbuya Matibu, kutoka Makao Makuu ya Kikosi cha Usala,ma Barabarani.

AKizungumza kwenye uzinduzi wa kampeni hiyo, ASP Matibu,  alisema Puma...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 months ago

Michuzi

PUMA ENERGY YAENDELEZA UFADHILI WAKE MPANGO WA USALAMA BARABARANI KWA WANAFUNZI SHULE ZA MSINGI

 Waziri wa Kazi, Ajira, Sera, Bunge, Vijana na wenye ulemavu, Jenista Mhagama akikata utepe kuashiria uzinduzi wa miundombinu ya usalama barabarani katika shule za Msingi Mikumi na Mzimuni ikiwa ni mwendelezo wa mpango wa uboreshaji wa usalama barababarani kwa wanafunzi wa shule za msingi jijini Dar es Salaam ambao unaratibiwa na shirika la Amend kwa ufadhili wa Mfuko wakampuni ya Puma Energy na Mfuko wa FIA. Wanaoshuhudia ni pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Puma Energy...

 

9 months ago

Malunde

PUMA YAZINDUA MPANGO WA MAFUNZO YA USALAMA BARABARANI KWA WANAFUNZI

Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Mbande, Dar es Salaam, Nasri Mustafa akumuonesha Meneja Mkuu wa Puma Energy Tanzania, Philippe Corsaletti (kulia) picha aliyoichora na kushinda tuzo ya usalama barabarani 2017, wakati wa uzinduzi wa mpango wa Puma wa mafunzo ya ya usalama barabarani kwa wanafunzi, jana katika Makao Makuu ya Puma, Dar es Salaam. Wa pili kulia ni Matibu Mbunja aliyemwakilisha Kamanda wa Kikosi cha Poilisi cha Usalama Barabarani Tanzania.Wa pili kushoto ni SajentiHussein...

 

3 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA PUMA ENERGY YATANGAZA WASHINDI WA SHINDANO LA KAMPENI YA USALAMA BARABARANI KWA SHULE ZA MSINGI JIJINI DAR.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya Puma Energy Tanzania, Philippe Corsalrtti akizungumza katika hafla ya kuwatangaza washindi wa kampeni ya Uasalama barabarani kwa wanafunzi wa shule za msingi zilizopo jijini Dar es Salaam. Shindano hilo lililoshirikisha shule sita za jijini Dar es Salaam kama, Shule ya Msingi Maweni, Kimara Baruti, Oysterbay, Gongolamboto Jeshini na Mji Mwema. Katika shindano hilo shule ya Msingi Gongolamboto Jeshini iliyopo manispaa ya Ilala iliibuka mshindi kwa kuwa na...

 

2 years ago

Mwananchi

Puma Energy yazindua kampeni usalama barabarani

Kampuni ya Puma Energy Tanzania leo (Alhamisi)  imezindua kampeni maalumu ya usalama barabarani kwa wanafunzi wa shule za msingi, ikiwa ni mkakati wa kampuni hiyo kueneza elimu hiyo muhimu kuanzia ngazi ya chini.

 

2 years ago

Michuzi

Puma Energy yazindua kampeni ya Usalama barabarani.


KAMPUNI ya Puma Energy Tanzania leo wamezindua kampeni maalumu ya Usalama barabarani kwa wanafunzi wa shule za msingi, ikiwa ni mkakati wa kampuni hiyo kueneza elimu hiyo muhimu kuanzia ngazi ya chini.

Ikiwa ni muendelezo tu tangu ianzishwe rasmi mwaka 2013, hafla ya uzinduzi wa kampeni hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam na kuhudhuliwa na Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu Kamishna wa Polisi Mohamed Mpinga, maofisa wa serikali pamoja na walimu.

Utolewaji wa elimu kwa...

 

2 years ago

Michuzi

PUMA ENERGY YAGAWA FULANA MAALUM KWA BODABODA ZINAZOAKISI MWANGA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI

 Mratibu  wa Masuala ya Usalama wa Afya, Mazingira na  Udhibiti wa Ubora kutoka Kampuni ya Puma Energy, Rehema Madoffe akimvisha Abubakar Selemani mwanafunzi wa darasa la saba katika Shule ya Msingi Ungindoni iliyopo Kigamboni Dar es Salaam moja ya fulana inayoakisi mwanga ikiwa ni sehemu ya shehena iliyotolewa kwa shule hiyo kwa  ushirikiano na Taasisi ya Amend Tanzania kusaidia kampeni ya kupunguza ajali za barabarani hususani kutetea maisha ya watoto wa shule jana  ikiwa ni sehemu ya...

 

3 years ago

Michuzi

TOTAL TANZANIA YADHAMINI MAFUNZO YA USALAMA BARABARANI KWA SHULE 10 ZA MSINGI JIJINI DAR


 Askali wa usalama barabarani akitoa mafunzo kwa wanafunzi wa shule ya za msingi jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wanafunzi wakiwa navyeti walivyo tunukiwa mara baada ya kupata mafunzo ya usalama barabarani jijini Dar es Salaam. 
Na Tom Bishop. KAMPUNI  ya Mafuta ya Tatal  Tanzania imedhamini mafunzo ya usalama barabarani kwa shule za msingi 10 jijini Dar es Salaam. Udhamini wa mafunzo hayo yamegharimu kiasi cha Dola za Kimarekani 20,000 kupeleka kwenye mradi wake wa elimu ya usalama...

 

1 year ago

Michuzi

Puma yatoa zawadi ya milioni 2/- kwa mshindi wa mashindano ya uchoraji picha za usalama barabarani kwa shule za Msingi kwa mwaka 2017

KAMPUNI ya Puma Enegy Tanzania, imehitimiza mashindano ya uchoraji picha za usalama barabarani kwa shule za Msingi kwa mwaka 2017 kwa kutoa kutoa zawadi ya Sh milioni 2 kwa mshindi wa kwanza.

Akizungumza jijini Dar e Salaam jana Mkurugenzi Mkuu wa Puma Enegy Tanzania Ltd, Philippe Corsaletti, alisema kuwa mashindano ya mwaka huu yalihusisha jumla ya shule 14 za mikoa ya Dar es Salaam na Kilimanjaro ambapo washindi hao walipatikana jana.

Katika mashindano hayo mshindi wa kwanza ...

 

2 years ago

Michuzi

Shirika la Amend na Taasisi za Puma na Fia zapania kuondoa ajali za barabarani kwa wanafunzi wa shule za msingi

Tanzania ni miongoni mwa nchi 10 zitakazofaidika na mpango wa kuwakinga wanafunzi wa shule za msingi kupata ajali za barabarani ulioanzishwa na shirika la kimataifa la Amend kwa msaada mkubwa wa taasisi ya FIA Foundation na Puma Energy Foundation. 

Mpango huo ulizinduliwa juzi kwenye shule ya msingi mpakani iliyopo Manzese Tip Top ambao lengo kubwa ni kujenga miundombinu itakyosaidia wanafunzi kuepuka ajali za barabarani waendapo, wakati wa kuvuka na kurejea kutoka shuleni.

Nchi nyingine ni...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani