Queen Darleen Amfungukia Ali Kiba

Abdul ‘Queen Darleen’

Na ALLY KATALAMBULA| GAZETI LA AMANI| SHOW BIZ- XTRA

FIRST Lady wa Wasafi Classic Baby (WCB), Mwanaisha Abdul ‘Queen Darleen’ amefunguka kuwa hajawahi kumkosa (kummisi) staa mwenzake wa Bongo Fleva, Ali Kiba ambaye kitambo alikuwa mshkaji wake wa karibu.

Ali KIba na Abdul Kiba

Akipiga stori na Show Biz Xtra,Queen Darleen alisema kuwa, mara ya mwisho kuwasiliana na Kiba ni miaka mingi iliyopita na wala hashangazwi na kushtushwa na ukimya huo kwa kuwa huwa anamuona...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Ali Kiba aeleza jinsi ‘alivyommiss’ dada yake Diamond, Queen Darleen

Msanii wa muziki Alikiba amefunguka kwa kusema kuwa kuna wakati huwa anamkumbuka sana msanii wa kike ambaye ni dada wa msanii Diamond Platnumz, Queen Darleen.
Diamond, Ali Kiba na Queen Da

Ali Kiba na Darleen walikuwa washkaji zamani, ambapo Queen Darleen aliwahi mshirikisha Ali Kiba katika wimbo wake, ‘Wajua’ ambao ulifanya vizuri sana.

Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio Jumatatu hii, Ali Kiba alifunguka kwa kusema yeye mwenyewe anamkumbuka Queen Darleen sababu kuna vitu walikuwa...

 

2 weeks ago

Michuzi

QUEEN DARLIN BADO AMKUMBUKA ALI KIBA,AKIRI DIAMOND ATAFIKA MBALI KISA TANASHA

     Na.Khadija seif,Globu ya jamii
MALKIA wa muziki wa Afro Pop nchini Mwanahawa Abdul  a.k.a Queen Darlin  ameiona nyota ya jaha kupitia muziki wa Diamond kufika mbali kisa  Mwanadada Tanasha.
Darlin amesema Tanasha anafanya muziki, na soko lake amelenga mbali sio Afrika Mashariki tu kutokana na kujuana na watu mbalimbali ambao alikuwa akifanya nao kazi kama video vixen .
"Kuwepo lebo ya wasafi classic baby (WCB) ambayo anasimamia kaka yangu diamond hamaanishi kuwa natoa ngoma...

 

4 years ago

GPL

QUEEN DARLEEN AKOSWAKOSWA NA AJALI

Stori: Hamida Hassan
Msanii wa muziki ambaye ni dada wa Nasibu Abdul ‘Diamond’ Mwajuma Abdul ’Queen Darleen’ juzi alikoswakoswa na ajali alipokuwa kwenye msafara wa kumpokea kaka yake aliyekuwa akitoa nchini Afrika Kusini alikozoa tuzo tatu za Channel O Music Video Awards (CHOMVA). Msanii wa muziki ambaye ni dada wa Nasibu Abdul ‘Diamond’ Mwajuma Abdul ’Queen Darleen’. Akiwa kwenye msafara huo ulioanzia...

 

2 years ago

Global Publishers

Queen Darleen Amshangaa Hamorapa…

Queen Darleen

Na ALLY KATAMBULA| GAZETI LA UWAZI| SHOWBIZ

MWANAMUZIKI anayefanya vizuri kwenye tasnia ya Muziki wa Bongo Fleva akiwa chini ya Lebo ya WCB,  ‘Queen Darleen’  hivi karibuni ameonyesha kushangazwa na kitendo cha mwanamuziki chipukizi Hamorapa kujifananisha na Hermonize.

Hamorapa

Akipiga stori na Uwazi Showbiz, hivi karibuni na kutakiwa kuzungumzia kauli aliyoitoa Dancer Mose Iyobo ambaye yupo kwenye Lebo ya WCB kuwa Hamorapa anafanana na sokwe alisema hamjui msanii huyo kivile...

 

4 years ago

Bongo5

Queen Darleen apata management mpya

Queen Darlin amesema amepata kampuni ya muziki itakayosimamia muziki wake na kuhakikisha anafika sehemu nyingine. Darleen ameiambia Bongo5 kuwa sasa hivi kila kitu kitakuwa kinafanywa na kampuni hiyo. “Sasa rasmi Queen Darleen nakuja kivingine kabisa, kuna management ipo tayari kusimamia muziki wangu, kwahiyo sasa hivi mashabiki wasubirie vitu vizuri kutoka kwangu,” alisema. Jiunge na Bongo5.com […]

 

4 years ago

GPL

DIAMOND AMZAWADIA GARI QUEEN DARLEEN

Diamond (wa tatu kutoka kushoto), akiwaongoza wenzake kwa kumuimbia wimbo wa birthday dada yake. Queen Darleen akimshukuru kwa zawadi ya gari Diamond. Queen Darleen akimlisha keki Diamond.…

 

2 years ago

Bongo5

Music: Queen Darleen Ft Rayvanny – Kijuso

Wasafi Classic leo wametambulisha wimbo mpya wa msanii wao wakike Queen Darleen unaitwa “Kijuso”, amemshirikisha Rayvanny, Producer Lizer Classic, sikiliza hapa chini.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

 

2 years ago

Bongo5

New Video: Queen Darleen f/ Rayvanny – Kijuso

Video ya wimbo wa Queen Darleen ‘Kijuso’ aliomshirikisha Rayvanny imetoka. Imeongozwa na Hanscana.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

 

2 years ago

Bongo Movies

Queen Darleen Afichua Kinachoibeba WCB

MWANADADA pekee kutoka kundi la WCB, Mwajuma Abdul ‘Queen Darling’, amesema kundi hilo limekuwa likifanya vizuri kutokana na umoja na nidhamu waliyojiwekea.

Akizungumza na MTANZANIA, Queen Darling ambaye ni dada wa kiongozi wa lebo hiyo ya Diamond Plutnumz, amesema wasanii wa kundi hilo kila mtu anaelewa dhumuni la kuwepo hapo na ndio maana hawajawahi kutetereka tangu kundi lianzishwe.

“Ni sheria ambazo wenyewe tunajiwekea hasa malengo yetu ya kuhakikisha tunatimiza kile tulichokusudia,...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani