QUEEN DARLIN BADO AMKUMBUKA ALI KIBA,AKIRI DIAMOND ATAFIKA MBALI KISA TANASHA

     Na.Khadija seif,Globu ya jamii
MALKIA wa muziki wa Afro Pop nchini Mwanahawa Abdul  a.k.a Queen Darlin  ameiona nyota ya jaha kupitia muziki wa Diamond kufika mbali kisa  Mwanadada Tanasha.
Darlin amesema Tanasha anafanya muziki, na soko lake amelenga mbali sio Afrika Mashariki tu kutokana na kujuana na watu mbalimbali ambao alikuwa akifanya nao kazi kama video vixen .
"Kuwepo lebo ya wasafi classic baby (WCB) ambayo anasimamia kaka yangu diamond hamaanishi kuwa natoa ngoma...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Ali Kiba aeleza jinsi ‘alivyommiss’ dada yake Diamond, Queen Darleen

Msanii wa muziki Alikiba amefunguka kwa kusema kuwa kuna wakati huwa anamkumbuka sana msanii wa kike ambaye ni dada wa msanii Diamond Platnumz, Queen Darleen.
Diamond, Ali Kiba na Queen Da

Ali Kiba na Darleen walikuwa washkaji zamani, ambapo Queen Darleen aliwahi mshirikisha Ali Kiba katika wimbo wake, ‘Wajua’ ambao ulifanya vizuri sana.

Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio Jumatatu hii, Ali Kiba alifunguka kwa kusema yeye mwenyewe anamkumbuka Queen Darleen sababu kuna vitu walikuwa...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Queen Darlin: Simtafutii mademu Diamond

MSANII wa muziki wa bongo fleva ambaye pia ni dada wa msanii anayetamba kwa sasa Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’, Mwajuma Abdul ‘Queen Darlin’ amekanusha tuhuma za kuwa ana mtindo wa...

 

2 weeks ago

Malunde

Tanasha akiri kuchanganywa na penzi la Diamond Platnumz

Mpenzi  wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch amesema kuwa, ilibaki kidogo apate uchizi baada ya kutoka na msanii huyo.
Akizungumza na Citizen TV katika Kipindi cha 10 Over 10, Tanasha ambaye pia ni msanii wa muziki na Mtangazaji wa Radio NRG ya nchini humo alisema kuwa alipoanza kuwa na uhusiano na Diamond  yalizuka maneno mabaya kwake ambayo yalitaka kumpa uchizi.
“Mwanzoni maneno hayo nilichukulia kawaida tu. Yakaanza kunifanya kupata msongo wa...

 

2 years ago

Global Publishers

Queen Darleen Amfungukia Ali Kiba

Abdul ‘Queen Darleen’

Na ALLY KATALAMBULA| GAZETI LA AMANI| SHOW BIZ- XTRA

FIRST Lady wa Wasafi Classic Baby (WCB), Mwanaisha Abdul ‘Queen Darleen’ amefunguka kuwa hajawahi kumkosa (kummisi) staa mwenzake wa Bongo Fleva, Ali Kiba ambaye kitambo alikuwa mshkaji wake wa karibu.

Ali KIba na Abdul Kiba

Akipiga stori na Show Biz Xtra,Queen Darleen alisema kuwa, mara ya mwisho kuwasiliana na Kiba ni miaka mingi iliyopita na wala hashangazwi na kushtushwa na ukimya huo kwa kuwa huwa anamuona...

 

3 years ago

Bongo Movies

Ali Kiba, Sallam Wametoka Mbali

Wiki mbili zilizopita, Ali Kiba alikuwa mmoja kati ya mastaa wa muziki waliopafomu kwenye Tamasha la Rock lililofanyika Viwanja vya Golf, Mombasa.

saLLAM NA KIBA
Katika tamasha hilo lililokuwa na staa kutoka Marekani, Christopher Maurice ‘Chris Brown’ na Ayodeji Balogun ‘Wizkid’ kutoka Nigeria liligeuka kuwa na sintofahamu baada ya Ali Kiba kupanda na kupafomu nyimbo mbili tu, ikiwemo Mac Muga kisha kuzimiwa kipaza sauti.
Malalamiko ya Ali Kiba (pichani juu) juu ya tukio hilo aliyaelekeza moja kwa moja...

 

4 years ago

GPL

WEMA AZUA TIMBWILI KISA ALI KIBA

Na Musa Mateja/Risasi Mchanganyiko
BOSS Lady wa Kampuni ya Endless Fame, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amesababisha timbwili la aina yake hivi karibuni, akidaiwa kuwa kwenye harakati za kutaka kukaa karibu na staa wa Bongo Fleva anayesumbua na wimbo wa Chekecha Cheketua, Ali Saleh ‘Kiba’, Risasi Mchanganyiko limesheheni mchapo kamili. Boss Lady wa Kampuni ya Endless Fame, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’. NI ARUSHA
Tukio...

 

5 years ago

GPL

MISS TANGA ATAKA KUZICHAPA KISA ALI KIBA

Stori: Jamila Said
MISS Tanga 2011, Zubeida Seif ametaka kuzichapa kavukavu na mwenzake aliyefahamika kwa jina moja la Kelly kisa kikiwa ni mkali wa wimbo wa Mwana, Ali Saleh Kiba. Miss Tanga 2011, Zubeida Seif. Tukio hilo lililoacha watu midomo wazi lilitokea juzikati katika baa moja iliyopo maeneo ya Mwenge, Dar ambapo ubishi ulianza baada ya Zubeydah  kutetea kuwa Ali Kiba anajua kuimba kuliko Nasibu Abdul ‘Diamond’...

 

2 years ago

Bongo Movies

Ali Kiba Atupa Jiwe Gizani Kisa Watoto Wake

STAA anayekimbiza na Wimbo wa Seduce Me, Ali Kiba Saleh ‘King Kiba’ ametupa jiwe gizani kwa kusema, hana tabia ya kutelekeza watoto kama mmoja wa wasanii wa Bongo Fleva anavyofanya. Kiba ambaye wiki iliyopita alikuwa nchini Marekani kikazi, alifungukahayo alipokuwa akipiga stori mbili tatu na Ijumaa Wikienda kuhusiana na maisha yake ya kimuziki.

Kiba alisema kuwa, katika maisha yake, japo Mungu hajamjalia kufunga ndoa, lakini kwa watoto watatu ambao tayari amewapata, anahakikisha anawalea...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani