Queen Darlin: Simtafutii ‘mademu’ Diamond

MSANII wa muziki wa bongo fleva ambaye pia ni dada wa msanii anayetamba kwa sasa Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’, Mwajuma Abdul ‘Queen Darlin’ amekanusha tuhuma za kuwa ana mtindo wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

2 weeks ago

Michuzi

QUEEN DARLIN BADO AMKUMBUKA ALI KIBA,AKIRI DIAMOND ATAFIKA MBALI KISA TANASHA

     Na.Khadija seif,Globu ya jamii
MALKIA wa muziki wa Afro Pop nchini Mwanahawa Abdul  a.k.a Queen Darlin  ameiona nyota ya jaha kupitia muziki wa Diamond kufika mbali kisa  Mwanadada Tanasha.
Darlin amesema Tanasha anafanya muziki, na soko lake amelenga mbali sio Afrika Mashariki tu kutokana na kujuana na watu mbalimbali ambao alikuwa akifanya nao kazi kama video vixen .
"Kuwepo lebo ya wasafi classic baby (WCB) ambayo anasimamia kaka yangu diamond hamaanishi kuwa natoa ngoma...

 

3 years ago

Africanjam.Com

NEW MUSIC: MWASITI & QUEEN DARLIN - SEMA NAE (Download)




Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

2 years ago

MillardAyo

VideoMPYA: Queen Darlin na Rayvanny wametuonyesha video yao mpya ya ‘kijuso’

Kama uliisubiria kwa muda video mpya ya Queen Darlin na Rayvanny ‘kijuso‘ ni haki yako kujiachia kwenye hii post na kutazama video yao mpya, ukishaitazama usisahau kuacha comment yako hapa ili wakipita wajue watu wao wameipokeaje. VIDEO: Irene Uwoya anasemaje kuhusu Mwanamke ataemchukulia Mwanaume? Wanaume wanaokwenda Saluni je? ukimpenda hautakiwi kufanya nini unapojipanga kumwambia? yote […]

The post VideoMPYA: Queen Darlin na Rayvanny wametuonyesha video yao mpya ya ‘kijuso’ appeared...

 

4 years ago

GPL

BIRTHDAY YA DIAMOND POMBE, MADEMU USIPIME!

Musa mateja Usipime! Ndugu, jamaa na marafiki wa staa bab’kubwa Afrika Mashariki na Kati, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, wikiendi iliyopita wamekula bata la hatari katika sherehe ya kuzaliwa kwa msanii huyo, Ijumaa Wikienda linaripoti.
Burudani na raha hizo zilifanyika nyumbani kwa Diamond, Madale- Tegeta jijini Dar, usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita na kuhudhuriwa na mastaa kibao. ‘Diamond Platnumz’, akimwagiwa...

 

5 years ago

GPL

DIAMOND AKAMILISHA ‘TAKEU’ KWA MADEMU

Stori: Hamida Hassan
Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ amekamilisha ‘TAKEU’ kwa mademu baada ya kufanikiwa kutembea na mademu wanaosifika kwa uzuri kutoka Tanzania, Kenya na Uganda. Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’. Historia inaonesha dogo huyo kutoka Tandale aliwahi kufanya kazi na msanii mrembo kutoka nchini Kenya, Avril na ikadaiwa licha ya kukutana kikazi jamaa alimsaliti mpenzi wake wa enzi hizo, Penniel...

 

4 years ago

GPL

DIAMOND AMZAWADIA GARI QUEEN DARLEEN

Diamond (wa tatu kutoka kushoto), akiwaongoza wenzake kwa kumuimbia wimbo wa birthday dada yake. Queen Darleen akimshukuru kwa zawadi ya gari Diamond. Queen Darleen akimlisha keki Diamond.…

 

4 years ago

GPL

BABA DIAMOND: QUEEN DARLEEN NAYE KANISUSA

Baba wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Abdul Juma. MAYASA MARIWATA NA GLADNES MALLYA BABA wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Abdul Juma amesema kuwa, anaumia kuona hata binti yake Mwajuma Abdul ‘Queen Darleen’ sasa kamsusa kama ilivyo kwa kaka yake (Diamond).  Queen Darleen. Akizungumza na paparazi wetu, Mzee Abdul alisema: “Nashindwa kuelewa nini kimemsibu binti yangu huyu maana kipindi cha nyuma alikuwa anakuja...

 

3 years ago

Bongo5

Ali Kiba aeleza jinsi ‘alivyommiss’ dada yake Diamond, Queen Darleen

Msanii wa muziki Alikiba amefunguka kwa kusema kuwa kuna wakati huwa anamkumbuka sana msanii wa kike ambaye ni dada wa msanii Diamond Platnumz, Queen Darleen.
Diamond, Ali Kiba na Queen Da

Ali Kiba na Darleen walikuwa washkaji zamani, ambapo Queen Darleen aliwahi mshirikisha Ali Kiba katika wimbo wake, ‘Wajua’ ambao ulifanya vizuri sana.

Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio Jumatatu hii, Ali Kiba alifunguka kwa kusema yeye mwenyewe anamkumbuka Queen Darleen sababu kuna vitu walikuwa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani