RAFIKI SDO NA SAVE THE CHILDREN WAZINDUA MRADI WA ULINZI WA MTOTO,HAKI ZA MTOTO NA UTAWALA

Shirika la Rafiki Social Development Organization – SDO la mkoani Shinyanga leo Jumanne Agosti 15,2017 limezindua Mradi wa ulinzi wa mtoto, haki za watoto na utawala utakaotekelezwa kwa kipindi cha miaka miwili katika kata 30 kwenye halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga,Shinyanga Vijijini na Kahama Mji.
Uzinduzi wa mradi huo umefanyika katika ukumbi wa Ibanza Hotel Mjini Shinyanga ambapo mgeni rasmi alikuwa mkuu wa wilaya ya Shinyanga,Josephine Matiro. 
Akizungumza wakati wa kuzindua mradi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Malunde

Picha: SHIRIKA LA RAFIKI SDO NA SAVE THE CHILDREN WAZINDUA MRADI WA ULINZI WA MTOTO,HAKI ZA MTOTO NA UTAWALA...DC AFUNGUKA WATOTO KULAWITIWA SHINYANGA

Shirika la Rafiki Social Development Organization – SDO la mkoani Shinyanga leo Jumanne Agosti 15,2017 limezindua Mradi wa ulinzi wa mtoto, haki za watoto na utawala utakaotekelezwa kwa kipindi cha miaka miwili katika kata 30 kwenye halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga,Shinyanga Vijijini na Kahama Mji.
Uzinduzi wa mradi huo umefanyika katika ukumbi wa Ibanza Hotel Mjini Shinyanga ambapo mgeni rasmi alikuwa mkuu wa wilaya ya Shinyanga,Josephine Matiro.
Akizungumza wakati wa kuzindua mradi...

 

1 year ago

Malunde

Picha : SAVE THE CHILDREN,RAFIKI SDO WAFANYA MKUTANO WA 'KLABU ZA TUSEME' SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI SHINYANGA

Shirika la Kimataifa la Save the Children kwa kushirikiana na shirika la Rafiki SDO la mjini Shinyanga wamefanya mkutano wa ‘Klabu za Tuseme’ kutoka shule 8 za msingi na sekondari katika manispaa ya Shinyanga na halmashauri ya Shinyanga (Vijijini) kwa ajili ya kufanya tathmini juu ya klabu hizo katika kupiga vita ukatili dhidi ya watoto.
Mkutano huo umefanyika leo Jumatano Disemba 6,2017 katika ukumbi wa Empire Hotel Mjini Shinyanga na kukutanisha wanafunzi kutoka za shule za Ushirika,...

 

5 years ago

Michuzi

Tume ya Haki za Binadamu na utawala Bora yaagana na Mtaalamu wa masuala ya ulinzi wa mtoto kutoka UNICEF

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora leo yafanya hafla fupi ya kuagana na mtaalamu wa masuala ya ulinzi na haki za watoto wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) ofisi ya Tanzania Bi Rachel Harvey ambaye anahamia nchini Nigeria anakokwenda kuwa mkuu wa Kitengo cha kutetea na ulinzi wa haki za watoto.
Bi Rachel amekuwa akifanya kazi karibu na Tume katika kipindi chote cha miaka mine (4) aliyokuwa nchini, baadhi ya kazi alizofanya akiwa na Tume ni pamoja na kuratibu kazi...

 

3 years ago

Michuzi

TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA YAELEZA HALI YA ULINZI NA USALAMA KWA MTOTO WA TANZANIAMkurugenzi wa Haki za Binadamu kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw. Francis Nzuki akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu Mapendekezo ya Tume hiyo kwa Serikali na Jamii katika kuhakikisha Ulinzi na Usalama kwa Mtoto unaimarika. Katikati ni Kamishna wa Tume hiyo Bi. Salma Ali Hassan.

Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bi. Salma Ali Hassan akiongea na waandishi wa Habari(hawapo pichani) kuhusu hali ya mtoto wa Tanzania na mazingira...

 

1 year ago

Michuzi

Wafanyakazi wa Taasisi ya Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child’s Heart-SACH) ya nchini Israel wamtembelea mtoto Julius Kaijage

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Taasisi ya Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child’s Heart-SACH) ya nchini Israel ambao walifika katika mkoa huo kwa ajili ya kumjulia hali na kufuatilia maendeleo ya elimu ya mtoto Julius Kaijage ambaye mwaka 2013 alifanyiwa upasuaji wa Moyo nchini humo.Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu akiwa katika kikao na wafanyakazi wa Taasisi ya Okoa Moyo wa Mtoto (Save a...

 

3 years ago

Michuzi

HAKI ZA MTOTO TUNAPOELEKEA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA 16 Juni 2016

Siku ya mtoto wa Afrika huadhimishwa kimataifa kote duniani kwa lengo la kutambua thamani, utu , na umuhimu wa mtoto duniani. Mwaka 1990, uliokuwa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU) ulipitisha Azimio la kuwakumbuka watoto wa kitongoji cha Soweto kilichopo Afrika Kusini waliouawa kinyama na iliyokuwa Serikali ya Makaburu ya nchi hiyo tarehe 16 Juni, 1976.
Watoto hao walikuwa wakidai haki ya kutobaguliwa na haki nyingine za kibinadamu. Kwa kutambua umuhimu wa mtoto, Chama Cha Wanahabari...

 

12 months ago

Malunde

Picha : RAFIKI SDO YAFANYA HAFLA KUWAAGA WAFANYAKAZI WAKE...SHUHUDIA HAPA


Jumatatu Aprili 30,2018 Shirika la Rafiki Social Development Organization – SDO la mkoani Shinyanga limefanya hafla ya kuwaaga wafanyakazi wake Shangwe Kimath na Kessy Sabato ambao wamepata kazii sehemu nyingine.

Shangwe Kimath alikuwa Afisa wa masuala ya Jinsia na mabadiliko tabia kupitia mradi wa SAUTI na sasa anakwenda katika shirika la kimataifa la Engenderhealth kutumikia nafasi hiyo kupitia mradi huo wa SAUTI unaotekelezwa katika mkoa wa Tabora na Singida.
Naye Kessy Sabato aliyekuwa...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Mtoto Bradley rafiki wa Defoe amefariki dunia

Mtoto Bradley Lowery amefariki dunia leo akiwa mikononi wazazi wake baada ya kuugua saratani kwa muda mrefu.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani