Raia wajitokeza kwa wingi kupiga kura Ghana

Raia nchini Ghana leo wanapiga kura kuchagua rais mpya na wabunge katika uchaguzi ambao wachambuzi wanasema huenda ukawa na ushindani mkubwa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Dewji Blog

Wakazi wa Dar Wasimamisha Shughuli Kupiga Kura, Wajitokeza kwa Wingi

Wananchi na wakazi wa maeneo ya Tabata Liwiti wakiwa katika foleni ya kupiga kura leo jijini Dar es Salaam. Wananchi na wakazi wa maeneo ya Tabata Liwiti wakiwa katika foleni ya kupiga kura leo jijini Dar es Salaam. Wananchi na wakazi wa Tabata Shule wakiangalia majina yao kabla ya kupiga kura yao. Mkazi wa eneo la Matumbi akipiga kura yake leo. Mkazi wa Kawe akipiga kura yake leo.

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam

WAKAZI wa maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam leo wamesimamisha...

 

3 years ago

Dewji Blog

Wananchi wajitokeza kwa wingi kupiga kura maeneo mbalimbali ya Kata ya Kijitonyama jijini Dar

 

Wasimamizi wa uchaguzi wakiendelea kuwahudumia wananchi waliofika katika kituo cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kijitonyama leo jijini Dar kwa ajili ya kupiga kura.(Picha na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog).

Mmoja wa wazee akisaidiwa na mtu wake wa karibu ili kupiga kura katika kituo cha Chuo cha Ustawi wa Jamii  jijini Dar leo.

Mlemavu akisaidiwa na mtu wa karibu alipofika katika kituo cha Kenton kwa ajili ya kupiga kura.

Mmoja wa wananchi akiwa kwenye sehemu ya kupigia kura...

 

3 years ago

Michuzi

WAKAZI WA JIJI LA MBEYA WAJITOKEZA KWA WINGI KUPIGA KURA, MADUKA YAFUNGWA KUAJILI YA UCHAGUZI

Wakazi wa Jiji la Mbeya Mjini wajitokeza kwa wingi kupiga kura katika Vituo mbalimbali walivyo jiandikishia kuajili ya kupiga Kura kama waonekanavyo hapo katika Picha ni baadhi ya watu wakiwa katika kituo kilichopo Mtaa wa Mkombozi Jijini Mbeya wakiwa wamepanga Foleni kuajili ya kupiga Kura.Baadhi ya Wapiga kura wakiwa katika Foleni..
Hapa ni eneo la Mwanjelwa maharufu kwa Jina la Mtaa wa kongo likiwa Pweke kuajili ya uchaguzi hakuna alie leta Biashara yake hapa siku hii ya leo.
Baadhii ya...

 

2 years ago

BBCSwahili

Maelfu wajitokeza kupiga kura Ghana

Maelfu ya wapiga kura nchini Ghana wamepiga foleni, ndefu kwenye vituo vya kupigia kura kumchagua Rais na wabunge wapya katika Uchaguzi Mkuu wa leo.

 

5 years ago

Michuzi

Tume ya Taifa ya Uchaguzi yasisitiza wapiga kura ndani ya Jimbo la Chalinze wajitokeze kwa wingi na kwenda kupiga kura

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (wa kwanza kushoto) akitoa risala siku moja kabla ya ya kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Chalinze kwa waadishi wa habari leo katika ukumbi halmashauri ya mji wa Bagamoyo. Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Hamid Mahmuod na wa kwanza kulia ni Mjumbe wa Tume hiyo Prof. Amon Chaligha. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (wa kwanza kulia)...

 

3 years ago

Michuzi

WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KUPIGA MAENEO MBALIMBALI YA KATA YA KIJITONYAMA JIJINI DAR

 Wasimamizi wa uchaguzi wakiendelea kuwahudumia wananchi waliofika katika kituo cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kijitonyama leo jijini Dar kwa ajili ya kupiga kura.
Picha na Geofrey Adroph wa Pamoja BlogMmoja wa wazee akisaidiwa na mtu wake wa karibu ili kupiga kura katika kituo cha Chuo cha Ustawi wa Jamii  jijini Dar leo.
Mlemavu akisaidiwa na mtu wa karibu alipofika katika kituo cha Kenton kwa ajili ya kupiga kura    Wananchi wakiwa wamejipanga foleni kwa ajili ya kupiga kura katika kituo...

 

2 years ago

VOASwahili

Wapika kura wa Kenya wajitokeza kwa wingi usiku

Habari kutopka nchini Kenya zinaeleza kwamba, wananchi wamejitokeza katika vituo vya kupiga kura usiku ili kuwahi nafasi ya kupiga kura mapema. Wanahabari weti waliopo nchini humo wameshuhudia raia wa Kenya, wakipanga mistari majira ya saa kumi usiku ikiwa ni mapema zaidi kabla ya muda uliopangwa wa vituo vya kura kufunguliwa. Kenya inaingia katika uchaguzi mkuu asubuhi majira ya Afrika Mashariki, uchaguzi ambao unatazamiwa kuwa na ushindani mkubwa baina ya rais Uhuru Kenyatta wa chama...

 

2 years ago

VOASwahili

Wakenya hawajitokezi kwa wingi kujiandikisha ili kupiga kura

Wakati fukuto la uchaguzi likiendelea kupamba moto idadi ndogo ya watu wamejitokeza kujjiandikisha kupiga kura nchini Kenya.

 

4 years ago

Michuzi

WANAWAKE JITOKEZENI KWA WINGI KUPIGA KURA - MAMA SALMA KIKWETE

Na Anna Nkinda – TarimeWANAWAKE wilayani Tarime wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika mwishoni mwa mwezi huu itakapofika na wachague viongozi watakaowaona wanafaa ambao watawaletea  maendeleo.
Rai hiyo imetolewa leo na  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea na wanawake wa wilaya hiyo iliyopo mkoani Mara katika ukumbi wa mikutano uliopo katika hoteli ya CMG.
Mama Kikwete ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM kupitia wilaya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani