Rais akubali kufutwa kazi kwa Walimu 20,000 waliofeli mtihani wa wanafunzi wao

Rais wa Nigeria Mohammadu Buhari ameunga mkono mpango wa kuwafuta kazi zaidi ya walimu 20,000 ambao walifeli mitihani wa darasa la nne katika jimbo la kaskazini la Kaduna na kusema hali hiyo ni mbaya.

“Ni jambo la kusikitisha kuwa walimu hawezi kupita mitihani ambayo wanastali kuwafunza watoto, ni jambo baya sana.”

Gavana wa jimbo hilo wiki iliyopita alichapisha makaratasi yaliyokuwa yamesahihishwa kwenye mtandao wa Twitter akisema kuwa walimu hao walikuwa wamefeli mtihani wa darasa la nne...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Zaidi ya walimu 20,000 waliofeli mtihani wa wanafunzi wao kufutwa Nigeria

Walimu hao kutoka jimbo la Kaduna walifeli mtihani unaostahili kufanywa na wanafunzi wao

 

11 months ago

BBCSwahili

Rais Buhari aunga mkono kufutwa walimu 20,000 kwa kufeli mitihani

Rais wa Nigeria Mohammadu Buhari ameunga mkono mpango wa kuwafuta kazi zaidi ya walimu 20,000 ambao walifeli mitihani katika jimbo la kaskazini la Kaduna.

 

2 years ago

BBCSwahili

Wanafunzi waandamana baada ya mtihani kufutwa Cairo

Mamia ya wanafunzi wanaandamana nje ya ofisi za wizara ya elimu mjini Misri Cairo, kufuatia kufutwa kwa mtihani wa shule za upili.

 

2 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA IBUN JAZARY ISLAMIC WAPONGEZWA KWA KUFANYA VIZURI KWENYE MTIHANI WAO.
Na Anton John, Globu ya jamii.

Shule ya Ibun Jazary Academic primary School imefanya mahafali ya tano jana  hii katika ukumbi wa karimjee Hall jijini Dar es salaam ili kuwapongeza vijana wao waliohitimu darasa la Saba na kufanya vizuri katika matokeo yao.
Akizungmza na wanafunzi wakati wa  mahafali hayo Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu ya Baraza la Waislamu Bakwata Sheikh Hamis Mataka kwa niaba ya Mufti kuu wa Tanzania amesema tunawapongeza wanafunzi hawa kwa matokeo mazuri waliyoyapata na...

 

1 year ago

Malunde

WALIMU WA FIELD WAKAMATWA NA POLISI KWA KUFANYA MAPENZI NA WANAFUNZI WAO

Walimu wawili waliokuwa wakifanya mazoezi kwa vitendo katika shule ya sekondari ya Kikala wilayani Lushoto mkoani Tanga wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kufanya mapenzi na wanafunzi wawili wa kidato cha tatu shuleni hapo.

Akizungumza Mkuu wa Wilaya ya Lushoto ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, January Lugangika amesema waalimu wa wanafunzi hao wamekikuka maadili ya ualimu na kwamba watachukuliwa hatua zaidi huku akiongeza kuwa tabia hizo zinaleta kichefu chefu...

 

1 year ago

Channelten

Profesa Joyce Ndalichako amewahimiza walimu kote nchini, kuwafundisha wanafunzi wao kwa upendo

mama

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amewahimiza walimu kote nchini, kuwafundisha wanafunzi wao kwa upendo, badala ya kutumia viboko kama njia pekee ya kuwaadhibu pindi wanapokosea.

 

Akifunga mafunzo ya siku tisa kwa walimu zaidi ya 500 kutoka katika halmashauri za Dodoma Manispaa, Bahi na Kondoa, juu ya mtaala mpya unaozingatia ukuzaji wa umahiri wa stadi za kusoma, kuandika na kuhesabu (KKK), katika Chuo cha Ualimu Bustani Kondoa, waziri huyo wa elimu amewataka...

 

4 years ago

Habarileo

Walimu 4 wafukuzwa kazi kwa mapenzi na wanafunzi

WALIMU wanne wa kiume wa Shule ya Sekondari Mwembetogwa ya mjini Iringa, wamefukuzwa kazi baada ya kubainika wakijihusisha na uhusiano wa kimapenzi na wanafunzi.

 

1 year ago

RFI

Rais Magufuli aagiza kufutwa kazi kwa watumishi wa umma zaidi ya elfu 9

Rais wa Tanzania John Magufuli ameagiza kufutwa kazi kwa zaidi ya wafanyikazi wa umma 9,900.

 

1 year ago

Channelten

Wanafunzi walioungana Iringa wamefanya Mtihani wao wa mwisho na kuhitimu rasmi kidato cha sita

WALIOUNGANA

WANAFUNZI walioungana kiwiliwili Maria na Consolata wanaosoma katika shule ya sekondari ya Udzungwa iliyopo katika halmashauri ya wilaya ya Kilolo mkoani Iringa wamehitimu rasmi elimu ya sekondari jana baada ya kufanikiwa kufanya mtihani wao wa mwisho wa kidato cha sita na kuipongeza serikali ya awamu ya 5 inayoongozwa na Rais Dk. John Pombe Magufuli kwa utekelezaji wa elimu bure kwa wote.

Maria na Consolata wakiwa na nyuso za furaha ni moja ya wanafunzi wengi nchini ambao wamefanya mtihani...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani