RAIS APEWA SAA 48 KUJIUZULU

Wanachama wa ANC waliogawanyika
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amepewa saa 48 kujiuzulu, wadhfa wake huo.
Kwa mujibu shirika la Utangazaji la Afrika Kusini -SABC- na vyanzo vingine vya habari, hatua hii inakuja baada ya mlolongo wa mazungumzo yaliyofanywa na chama tawala cha nchini humo ANC.
Duru zinasema ANC kilifanya mazungumzo marefu baadaye kuwatuma watu wawili nyumbani kwa Rais Zuma jijini Pretoria kwenda kumfikishia ujumbe wa chama ana kwa ana ya kwamba Zuma ajiuzulu mwenyewe au chama...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Zanzibar 24

Rais Jacob Zuma apewa saa 48 kujiuzulu

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amepewa saa 48 kujiuzulu, wadhfa wake huo.

Kwa mujibu wa shirika la Utangazaji la Afrika Kusini -SABC- na vyanzo vingine vya habari, hatua hii inakuja baada ya mlolongo wa mazungumzo yaliyofanywa na chama tawala cha nchini humo ANC.

Duru zinasema ANC kilifanya mazungumzo marefu baadaye kuwatuma watu wawili nyumbani kwa Rais Zuma jijini Pretoria kwenda kumfikishia ujumbe wa chama ana kwa ana ya kwamba Zuma ajiuzulu mwenyewe au chama kimng’oe madarakani.

Lakini...

 

11 months ago

BBCSwahili

Zuma apewa saa 48 kujiuzulu

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amepewa saa 48 kujiuzulu. wadhfa wake huo

 

1 year ago

Zanzibar 24

Rais Mugabe apewa masaa machache kujiuzulu kwa hiyari

Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe amepewa masaakadhaa na Chama cha Zanu- PF  kujiuzulu mwenyewe kwenye nafasi ya Urais wa nchi hiyo bila kutumia nguvu.

Chama tawala nchini humo leo baada ya kutangaza kuwa kimemvua uongozi Rais huyo mkongwe zaidi barani Afrika, Robert Mugabe, kimemwambia hadi kesho saa 6 mchana awe tayari ametangaza kujiuzulu nafasi ya Urais huku kikimuonya kuwa endapo atakaidi nguvu ya ziada itatumika kumng’oa madarakani.

“Rais wetu wa zamani, Robert Mugabe amepewa muda hadi...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mbatia apewa siku tatu kujiuzulu kwa tuhuma za kujimilikisha mali za chama

MWENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia amepewa siku tatu na mwanachama wa chama hicho akitakiwa kujiuzulu mwenyewe wadhifa huo ndani ya chama kwa madai ya kupora mali za chama na kujimilikisha.

Mwanachama huyo, Faustin Sungura ametoa muda huo jana, Dar es Salaam alipozungumza na waandishi wa habari. Alisema kuwa hata Katibu Mkuu wa Chama hicho, Martin Danda anatakiwa kujiuzulu kutokana na kutamka asichokijua kuhusu mali za chama hicho.

Kuhusu Mbatia, Sungura amesema Mbatia kama...

 

3 years ago

Habarileo

RC Mwanza apewa saa 48 kujieleza

NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais ( Mazingira na Muungano) Luhaga Mpina amempatia saa 48 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo kujieleza sababu za Jiji la Mwanza kuwa chafu.

 

1 year ago

Michuzi

SAA 24 ZA KUJIUZULU KWA JACKSON MAYANJA, SIMBA YAMTAMBULISHA KOCHA MPYA MRUNDI

Afisa habari wa Simba Haji Manara akimtambukisha kocha mpya Masoud Djuma (Kulia) aliyechukua nafasi ya Jackson Mayanja pamoja na meneja mpya wa Simba Richard Robert leo katika mkutano na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam. 
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.UONGOZI wa klabu ya Simba leo mchana umemtambulisha kocha mpya atakayevaa viatu vya aliyekuwa kocha msaidizi Jackson Mayanja pamoja na meneja mpya anayechukua nafasi ya Dr Cosmas Kapinga.
Akitoa utambulisho huo mbele ya  waandishi...

 

2 years ago

BBCSwahili

Temer apewa saa 24 kuijibu polisi tuhuma za rushwa zinazomkabili

Mahakama kuu nchini Brazil imetoa saa 24 kwa Rais wa nchi hiyo Michel Temer kuijibu polisi juu ya maswali muhimu yahusuyo yeye kuhusika katika rushwa ,jambo linalotishia maisha yake ya siasa.

 

2 years ago

BBCSwahili

Balozi wa Korea Kaskazini nchini Malaysia apewa saa 48 kuondoka nchini humo

Malaysia imemfukuza balozi wa Korea Kaskazini kuhusiana na kifo cha Kim Jong nam ,ndugu wa kambo wa kiongozi wa Korea kaskazini.

 

1 year ago

Channelten

Baada ya rais Mugabe Kujiuzulu, Aliyekuwa makamu wa Rais kuapishwa kuchukua nafasi hiyo kwa muda

SAFRICA-ZIMBABWE-DIPLOMACY-POLITICS

Shirka la utangaaji la Zimbabwe ZBC limetangaza kuwa Makamu wa zamani wa rais wa Zimbabwe, ambaye kufutwa kwake kazi kulishababisha kujiuzulu kwa kiongozi wa muda mrefu Robert Mugabe, anatarajiwa kuapishwa kesho kushika nafasi ya uongozi kwa kipindi cha mpito

Emmerson Mnangagwa, aliyetorokea nchini Afrika Kusini wiki mbili zilizopita, anawasili leo nchini Zimbabwe kwa ajili ya kushika hatamu ya uongozi kwa muda.

Kuondoshwa kwake madarakani kulisababisha chama na jeshi kwa pamoja kuingilia...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani