Rais Buhari aunga mkono kufutwa walimu 20,000 kwa kufeli mitihani

Rais wa Nigeria Mohammadu Buhari ameunga mkono mpango wa kuwafuta kazi zaidi ya walimu 20,000 ambao walifeli mitihani katika jimbo la kaskazini la Kaduna.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 week ago

Zanzibar 24

Rais akubali kufutwa kazi kwa Walimu 20,000 waliofeli mtihani wa wanafunzi wao

Rais wa Nigeria Mohammadu Buhari ameunga mkono mpango wa kuwafuta kazi zaidi ya walimu 20,000 ambao walifeli mitihani wa darasa la nne katika jimbo la kaskazini la Kaduna na kusema hali hiyo ni mbaya.

“Ni jambo la kusikitisha kuwa walimu hawezi kupita mitihani ambayo wanastali kuwafunza watoto, ni jambo baya sana.”

Gavana wa jimbo hilo wiki iliyopita alichapisha makaratasi yaliyokuwa yamesahihishwa kwenye mtandao wa Twitter akisema kuwa walimu hao walikuwa wamefeli mtihani wa darasa la nne...

 

1 month ago

BBCSwahili

Zaidi ya walimu 20,000 waliofeli mtihani wa wanafunzi wao kufutwa Nigeria

Walimu hao kutoka jimbo la Kaduna walifeli mtihani unaostahili kufanywa na wanafunzi wao

 

3 years ago

BBCSwahili

Rais wa Colombia aunga mkono Bhangi

Rais wa Colombian Juan Manuel Santos amesema kuwa anaunga mkono matumizi ya bangi kwa minajili ya utabibu.

 

7 months ago

BBCSwahili

Rais Trump aunga mkono umiliki wa bunduki Marekani

Rais wa Marekani Donald Trump amekuwa rais wa kwanza wa taifa hilo kuhutubia muungano wa wanaharakati wa uhuru wa kumiliki bunduki, NRA

 

1 year ago

Channelten

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amejibu onyo kutoka kwa mkewe kutomuunga mkono uchaguzi mkuu

aisha-buhari-at-the-presidents-inauguration

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amejibu onyo kutoka kwa mkewe ambaye alikuwa ametahadharisha kwamba hatamuunga mkono uchaguzi mkuu ujao iwapo hatafanya mabadiliko serikalini.

Aisha Buhari, kwenye mahojiano na BBC, alidokeza kwamba mumewe amepoteza udhibiti wa serikali.

Rais Buhari ametoa majibu hayo mbele ya wanahabari akiwa ziarani nchini Ujerumani pamoja na Kansela Angela Merkel ambapo amesema hajui mke wake ni wa chama gani, lakini anajua ni mkewe wa jikoni, sebuleni na chumbani,...

 

2 weeks ago

Bongo Movies

Kufeli kwa Baraka Mkono wa Mtu Wahusishwa

Msanii Baraka The Prince amemlaumu meneja wake wa zamani chini ya RockStar 4000 Seven Mosha pamoja na mpiga picha maarufu Mx Carter, kuwa ndio wanaohusika na kufelisha kazi yake mpya YouTube.

Baraka ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye eNewz ya East Africa Television, na kusema kwamba watu hao wawili ndio walikuwa na ‘access’ ya acount yake ya YouTube, hivyo wao ndio watakuwa wahusika.
Baraka ameendelea kwa kusema kwamba mara ya kwanza walimfanyia hivyo kwenye acount yake ya zamani...

 

4 months ago

Malunde

RAIS MAGUFULI AUNGA MKONO UAMUZI WA TCU KUVIFUNGIA VYUO 19 TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewasili Jijini Dar es Salaam leo tarehe 27 Julai, 2017 akitokea Mkoani Dodoma ambapo akiwa katika eneo la Tegeta Wilaya ya Kinondoni amezungumza na wananchi waliosimamisha msafara wake na kuwahakikishia kuwa Serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali za kukabiliana na kero na kuimarisha upatikanaji wa huduma kwa wananchi.
“Kwa sababu ni mara yangu ya kwanza kusimama hapa Tegeta, nianze kwa kuwashukuru sana, kwa kura...

 

4 years ago

Mwananchi

Kufeli mitihani si mwisho wa safari, jipange

Februari mwaka huu, Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), lilitangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2013.

 

3 weeks ago

Michuzi

BASHE FANYA MKUTANO NA WANANCHI WAKE,AUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS DKT MAGUFULI KATIKA KUSIMAMIA RASIMALI,KUFUNGA MIANYA YA RUSHWA NA KURUDISHA NIDHAMU YA KAZI KWA WATUMISHI WA UMMAMbunge wa Jimbo la Nzega Mjini Mhe. Hussein Mohammed Bashe amekua na mkutano wa wazi na wananchi uliojikita katika kuelezea mafanikio na changamoto za miaka miwili ya kipindi cha ubunge wake.
Aidha Malengo makubwa ya mkutano huo yalikuwa ni:1. Kusikiliza na kutatua kero za wananchi kwa uwazi ili kuongeza nafasi ya ushiriki na ushirikishwaji wa wananchi katika mijadala ya maendeleo.
2. Kueleza juhudi za kuleta maendeleo zilizokwishafanywa na Ofisi ya Mbunge katika kipindi cha miaka miwili...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani