Rais Dk. Ali Mohamed Shein Atoa pongezi kwa serikali ya China na India

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amepongeza juhudi zinazoendelea kuchukuliwa na Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China na Serikali ya India katika kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta za maendeleo na kukuza uchumi wake.

Dk. Shein aliyasema hayo wakati  alipokuwa na mazungumzo na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China aliyepo Zanzibar  Xie Xiaowu na Balozi Mdogo wa India Mhe. Tek Chand Barupal kwa nyakati tofauti walipofika Ikulu...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

CCM Blog

RAIS WA ZANZIBAR DKT.ALI MOHAMED SHEIN ATOA PONGEZI KWA TIMU YA ZANZIBAR HEROES RAIS  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameendelea kutoa pongezi kwa timu ya Taifa ya Zanzibar, ‘Zanzibar Heroes’ kwa kuirudishia Zanzibar heshima yake na sasa imekuwa inasemwa vizuri kutokana na jinsi timu hiyo ilivyoonesha kiwango safi cha kusakata soka.


Dk. Shein aliyasema hayo leo huko katika viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar katika chakula maalum cha mchana alichowaandalia wachezaji wa Timu ya Zanzibar Heroes pamoja na viongozi wake wote baada ya...

 

4 years ago

Michuzi

PONGEZI KWA DKT. ALI MOHAMED SHEIN KWA KUPEPERUSHA BENDERA YA CCM KWA NAFASI YA RAISI WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

CCM TAWI LA CHINA TUNATOA PONGEZI KWA MWENYEKITI WA CCM TAIFA, WAJUMBE WA KAMATI YA MAADILI NA USALAMA, KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA, HALMASHAURI KUU YA TAIFA NA MKUTANO MKUU WA TAIFA KWA KUTUPATIA MGOMBEA MWADILIFU, MAKINI, MZALENDO WA KWELI NA MPENDA MAENDELEO AMBAYE ATAPEPERUSHA BENDERA YA CHAMA CHETU KWA NAFASI YA URAISI WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KATIKA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA 2015, TUNATARAJIA KUPATA USHINDI WA KISHINDO. HONGERA SANA DKT. ALI MOHAMED SHEIN.WEMBE...

 

1 year ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN ATOA RISALA YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa risala ya kuukaribisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kwa Wananchi wa zanzibar na Tanzania kwa ujumla katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo. Amewataka waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi kuwa na mashirikiano ya pamoja na kumcha Mwenyeezi Mungu

 

3 years ago

Ippmedia

Rais Dr.Ali Mohamed Shein amewaonya wapinzani wanaotaka kukwamisha mipango ya serikali.

Rais wa Zanzibar na mwneyekiti wa baraza la Mapinduzi Alhaj Dr.Ali Mohamed Shein amewaonya wapinzani wanotaka kukwamisha mipango ya serikali yake hawatavumiliwa huku akiweka bayana kuwa hakuna uchaguzi mwingine wala serikali ya mpito.

Day n Time: JUMATANO SAA 2:00 USIKUStation: ITV

 

3 years ago

Michuzi

RAIS DK. ALI MOHAMED SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA OFISI YA RAIS,TAWLA ZA MIKOA,SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUM ZA SMZ

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akitoa maelekezo wakati alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK. ALI MOHAMED SHEIN AONGOZA HAFLA YA UCHANGIAJI VIFAA VYA MICHEZO SKULI ZA SERIKALI (1)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na Mkewe  Mama Mwanamwema Shein (kushoto) pamoja na Mshauri wa Rais Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Uchumi pia Mwenyekiti wa Kamati ya Uchangiaji Vifaa vya Michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar Mhe.Mohamed Ramia wakiangalia picha ya zamani wakati Dk.Shein alivyokuwa akishiriki mchezo wa Riadha katika Skuli ya Lumumba picha hiyo iliyofikishwa katika hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya...

 

1 year ago

CCM Blog

RAIS DK. ALI MOHAMED SHEIN ATUNUKU NISHANI KWA WATU 74


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewatunuku Nishani ya Mapinduzi na Nishani ya Utumishi uliotukuka watunukiwa 74.

Hafla hiyo imefanyika leo katika viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar ambayo imehudhuriwa na viongozi mbali mbali wa vyama na serikali pamoja na wananchi ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Kwa kutokana na uwezo wake aliopewa chini ya kifungu cha 4 cha Sheria ya Mambo ya Rais namba 5 ya mwaka...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani