Rais Dk. John Magufuli leo amewasili kisiwani Pemba kwa ziara ya siku moja ya kiserikali

Rais Dk. John Magufuli leo amewasili  kisiwani Pemba kwa ziara ya siku moja ya kiserikali.

Akizungumza na mwanahabari wetu  Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid Abdalla amesema Rais Magufuli atawasili uwanja wa Ndege wa Pemba asubuhi na kupokelewa na viongozi wa ngazi mbali mbali kutoka mikoa miwili ya Pemba.

Rais Magufuli anatarajiwa kuondoka leo jioni mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Pemba katika mkutano wa hadhara uwanja wa Gombani  na kuendelea na ziara hiyo Kisiwani...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Channelten

Rais Joseph Kabila amewasili nchini leo kwa ajili ya ziara ya kiserikali ya siku mbili

4

Rais Joseph Kabila amewasili nchini leo kwa ajili ya ziara ya kiserikali ya siku mbili, ambapo pamoja na mambo mengine, atatembelea Bandari ya Dar es Salaam hapo kesho.

Katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Rais Kabila amekaribishwa na Mwenyeji wake Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli, ambaye aliwaongoza viongozi wengine waandamizi wa serikali.

Rais huyo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC atakuwa na mazungumzo na mweyeji wake Rais Magufuli...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AREJEA NYUMBANI LEO BAADA YA ZIARA YA KISERIKALI YA SIKU MBILI NCHINI KENYA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitelemka kwenye ndege baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nairobi, Kenya,  alikokuwa katika ziara ya Kiserikali ya siku mbili leo Jumanne Novemba 1, 2016  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan  baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AENDA KENYA KWA ZIARA YA KISERIKALI YA SIKU MBILI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisindikizwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akiwa tayari kwa safari ya kwenda Nairobi, Kenya kwa ziara ya kiserikali ya siku mbili leo Oktoba 31, 2016. Hii ni safari yake rasmi ya tatu kwenda nje ya nchi toka aingie madarakani mwaka mmoja uliopita. Alisafiri kwa mara ya kwanza alikwenda Rwanda, kisha akaenda Uganda. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...

 

2 years ago

Dewji Blog

Rais Dkt. Magufuli apaa kuelekea Kenya kwa ziara ya Kiserikali ya siku mbili

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisindikizwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akiwa tayari kwa safari ya kwenda Nairobi, Kenya kwa ziara ya kiserikali ya siku mbili leo Oktoba 31, 2016. Hii ni safari yake rasmi ya tatu kwenda nje ya nchi toka aingie madarakani mwaka mmoja uliopita. Alisafiri kwa mara ya kwanza alikwenda Rwanda, kisha akaenda Uganda.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...

 

2 years ago

Channelten

Rais wa CHAD Idriss Deby Itno amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku mbili kuanzia leo

109327414

RAIS WA JAMHURI YA CHAD NA MWENYEKITI WA UMOJA WA AFRIKA IDRISS DEBY ITNO, amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku mbili kuanzia leo.

Akiwa hapa nchini, Mheshimiwa Rais Deby na Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki watakuwa na mazungumzo rasmi Ikulu, ambapo watapata fursa ya kubadilishana mawazo kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu ya Ukanda wa Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika kwa ujumla.

Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...

 

3 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE YA SIKU KUMI KISIWANI UNGUJA,KESHO KUWASILI KISIWANI PEMBA.

Pichani juu na chini ni Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwahutubia Baadhi ya wakazi wa mji wa Kizimkazi waliofika katika uwanja wa Kizimkazi Mkunguni,Wilaya ya Kusini Unguja kumsikiliza.Ndugu Kinana ambaye leo anaikamilisha ziara yake ya siku kumi katika kisiwa cha Unguja akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye,katika suala zima la kuimarisha uhai wa chama na kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi.Mkutano wa hadhara ukiendelea katika uwanja wa Kizimkazi...

 

3 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KOMREDI KINANA AMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU 15 KISIWANI UNGUJA NA PEMBA LEO.

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiongozwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM,Vuai Ali Vuai kuelekea kukishiriki upandaji wa mboga mboga na kutia mbolea katika shamba la Wajasiliamali lenye ekari nne na nusu la ushirika wa Jambo Group Cooperative Society,lenye jumla ya washirika wapatao 15,katika kijiji cha Wambaa Kwaanzani,wilaya ya Mkoani ,Kusini Pemba.

Kinana amemaliza ziara ya siku 15 katika visiwa vya Unguja na Pemba Zanzibar ambapo amekagua na kushiriki ujenzi katika miradi 40 mikoa...

 

11 months ago

Channelten

Rais Trump amewasili Paris kwa ziara ya siku mbili ambapo atakuwa mgeni rasmi gwaride la siku ya Bastille

US President Donald Trump (R) salutes after disembarking form Air Force One with First Lady Melania Trump upon arrival at Paris Orly airport on July 13, 2017, beginning a 24-hour trip that coincides with France's national day and the 100th anniversary of US involvement in World War I. Donald Trump arrived in Paris for a presidential visit filled with Bastille Day pomp and which the White House hopes will offer respite from rolling scandal backing home. / AFP PHOTO / SAUL LOEB        (Photo credit should read SAUL LOEB/AFP/Getty Images)

Rais wa marekani Donald Trump amewasili mjini Paris kwa ziara ya siku mbili nchini Ufaransa ambapo atakuwa mgeni rasmi katika gwaride la kila mwaka la siku ya Bastille.

Trump baadaye atalakiwa kwa heshima ya kijeshi katika Hoteli des Invalides mjini Paris ambap ziara hiyo inafuatia mwaliko wa rais wa Ufaransa Emmanuel Macron , ni ya pili katika bara la Ulaya mwezi huu na inakuja huku kukiwa na ufichuzi mpya juu ya kampeni yake ya kuwania urais.

Trump na Macron , wanataka kuweka kando...

 

12 months ago

Michuzi

FATILIA HAPA MOJA KWA MOJA ZIARA YA RAIS DKT. MAGUFULI MKOANI PWANI LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Kibaha Maili moja katika viwanja vya Bondeni Mkoani Pwani jana, wakati akiwa katika siku ya kwanza ya ziara yake ya siku tatu Mkoani humo. leo Rais Magufuli anaendelea na ziara yake mkoani humo ambapo atazindua viwanda vitatu pamoja na mradi wa maji wa Ruvu na baadae kuongea na wananchi.
UNAWEZA KUONA KUPITIA HAPA

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani