RAIS DK MAGUFULI AFANYA UTEUZI


CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZ:Rais Magufuli afanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya na afanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Mikoa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 26 Juni, 2016 amefanya mabadiliko madogo katika safu ya wakuu wa mikoa na amewateua wakuu wa wilaya 139.

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi amesema katika mabadiliko hayo Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Sengerema Bi. Zainab R. Telack kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.

Bi. Zainab R. Telack anajaza nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi. Anna Kilango Malecela...

 

2 years ago

Mwananchi

Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine

Rais wa John Magufuli leo amemteua Eliya  Ntandu kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi 21

Leo December 03 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amefanya uteuzi wa Mabalozi 15 ili kujaza nafasi zilizo wazi katika Balozi za Tanzania zilizopo katika nchi mbalimbali.

Aidha, Mhe. Rais Magufuli amefanya uteuzi wa Mabalozi 6 kwa ajili ya kuiwakilisha Tanzania katika Balozi mpya 6 ambazo zitafunguliwa hivi karibuni katika nchi za Algeria, Israel, Korea ya Kusini, Sudan, Qatar na Uturuki.

Taarifa zaidi hapa chini

mabalozi

The post Rais Magufuli afanya uteuzi wa...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Rais Magufuli afanya uteuzi TTCL

The post Rais Magufuli afanya uteuzi TTCL appeared first on Zanzibar24.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Rais Magufuli afanya uteuzi leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. William Anangisye  kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB).

Prof.  Anangisye ni Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE).

 

The post Rais Magufuli afanya uteuzi leo appeared first on Zanzibar24.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mbunge

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Magufuli, amemteua Janeth Masaburi kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Rais Magufuli amefanya uteuzi huo kwa mujibu wa ibara ya 66 (1)(e) ya katiba inayompa mamlaka ya kuteua wabunge 10 ambapo taarifa iliyotolewa jana na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Rais imeeleza kuwa Janeth Masaburi ataapishwa kwa mujibu wa sheria na taratibu zitakazotangazwa na Bunge.

soma taarifa kamili hapo chini.

The post Rais Magufuli afanya...

 

5 months ago

CCM Blog

2 years ago

Zanzibar 24

Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mkurugenzi wa Nida

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo amemteua Bw. Andrew Wilson Massawe
kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).

Kabla ya uteuzi huo Bw. Andrew Wilson Massawe alikuwa Mkurugenzi wa Mifumo ya Kompyuta katika Benki Kuu Tanzania (BOT).

Andrew Wilson Massawe

 

The post Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mkurugenzi wa Nida appeared first on Zanzibar24.

 

2 years ago

Channelten

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani