RAIS DK. MAGUFULI AMTEUA TENA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA

Ikulu, Dar es Salaam
Rais Dk. John Magufuli amemteua Rais mstaafu Benjamin Mkapa (pichani), kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ikiwa ni kipindi cha pili mfululizo.

Taarifa iliyotolewa na Ikulu jijini Dar es Salaam, imesema pi Rais Dk. Magufuli amemteua Prof. Ignas Rubaratuka kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA). Prof. Rubaratuka ameteuliwa kushika wadhifa huo kwa kipindi cha pili mfululizo.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, uteuzi wa...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AHUDHURIA MISA YA JUBILEI YA DHAHABU YA NDOA YA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA NA ANNA MKAPA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu wa zamani Mhe Edward Lowassa wakati wa Misa ya Jubilei ya Dhahabu ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016 Misa ya Jubilei ya Dhahabu ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016 LO2 LO3Paroko  akisimamia...

 

3 years ago

CCM Blog

RAIS DK MAGUFULI AHUDHURIA MISA YA JUBILEI YA DHAHABU (MIAKA 50) YA NDOA YA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA NA ANNA MKAPA

Rais Mstaafu Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa
wakionyesha cheti chao cha Jubilei ya dhahabu ya
miaka 50 ya ndoa yaoDar es Salaam
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin William Mkapa Agosti 27, 2016 ameadhimisha Jubilei ya Dhahabu ya Miaka 50 ya ndoa yake na Mama Anna Mkapa katika Kanisa la Mtakatifu Petro, lililopo Oysterbay Jijini Dar es Salaam.

Misa ya Jubilei hiyo imefanyika nyakati za mchana katika ukumbi wa Kardinali Rugambwa, kando ya kanisa la Mtakatifu Petro-Oysterbay ikitanguliwa na...

 

3 years ago

Dewji Blog

Rais Dkt Magufuli ahudhuria Misa ya Jubilei ya Dhahabu (Miaka 50) ya ndoa ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa na Anna Mkapa

 Rais Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Petro  Fr. Stephano Kaombwe wakati akiwasili kuhudhuria  Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam Jumamosi Agosti 27, 2016  “Maharusi”  Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakiingia kanisani  tayari kwa  Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa yao katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es...

 

3 years ago

Michuzi

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu Benjamin Wiliam Mkapa Ikulu jijini Dar es Salaam.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu Benjamin William Mkapa Ikulu jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa  Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba Ikulu jijini...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Rais Mstaafu Benjamin Mkapa awakutanisha Rais Magufuli na Lowassa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo amekutana na aliyekuwa Mgombea wa Urais kupitia Ukawa, Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Edward Ngoyai Lowassa wakati wa Misa ya Jubilei ya dhahabu ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe  Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu wa zamani Mhe Edward Lowassa wakati wa Misa ya Jubilei ya Dhahabu ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu wa zamani Mhe Edward Lowassa wakati wa Misa ya Jubilei ya Dhahabu ya ndoa...

 

12 months ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA WAGENI MBALIMBALI IKULU AKIWEMO RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA TATU BENJAMIN MKAPA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Rais mstaafu wa Awamu ya tatu Benjamin Mkapa (kushoto) pamoja na Makamu wa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara Philip Mangula Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Rais mstaafu wa Awamu ya tatu Benjamin Mkapa (kulia) pamoja na Makamu wa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara Phillip Mangula...

 

2 years ago

Michuzi

TASWIRA ZA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU DKT. SALIM KATIKA MSIBA WA RAIS WA ZAMANI WA BOTSWANA SIR KETUMIRE MASIRE MJINI GABERONE

Rais Mstaafu Mhe Benjamin William Mkapa na Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim wakiwa na Rais Mstaafu wa Msumbiji Mhe. Armando Emilio Gwebuza wakiwa kwenye misa ya Kitaifa kuomboleza kifo cha Rais mstaafu wa Botswana Sir Ketumire Masire katika ukumbi wa Sports Centre wa Chuo Kikuu cha Botswana mjini Gaborone leo. Marehemu Masire anatarajiwa kuzikwa kesho kijijini kwake Kanye, kilomita 80 kutoka Gaborone. Mhe Mkapa amemuwakilisha Rais Dkt John Magufuli kwenye msiba huo.Waziri Mkuu...

 

5 years ago

GPL

RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA ALIPOMKABIDHI DK. MAGUFULI NAKALA ZA VITABU VYA HOTUBA ZAKE

Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa (kushoto) akimkabidhi Dk. John Magufuli nakala za vitabu vya hotuba zake. Nakala za vitabu vya hotuba za Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa alivyomkabidhi Magufuli .
Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William…

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani