RAIS DK. MAGUFULI AMUAPISHA HOMEA KUWA MKUU WA MKOA WA KATAVI, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli akimuapisha Juma Zuberi Homera kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

1 week ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AMUAPISHA JUMA ZUBERI HOMERA KUWA MKUU WA MKOA WA KATAVI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaDkt. John Pom be Magufuli akimuapisha Mhe. Juma Zuberi Homera kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi Ikulu jijini Dar es Salaam leo Mei 16, 2019.Mkuu wa Mkoa wa Katavi Juma Zuberi Homera akila kiapo cha Uadilifu Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU

 

1 week ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AMUAPISHA MKUU WA MKOA WA KATAVI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Juma Zuberi Homera kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi Ikulu jijini Dar es Salaam.. Mkuu wa Mkoa wa Katavi Juma Zuberi Homera akila kiapo cha Uadilifu Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.

 

3 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AMUAPISHA LEO MRISHO GAMBO KUWA MKUU WA MKOA WA ARUSHA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Mrisho Gambo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ikulu jijini Dar es Salaam.

 . Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo mara baada ya tukio la Kiapo Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wa kwanza (kulia) na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA MHE ANNA ELISHA MGHWIRA KUWA MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Anna Elisha Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Anna Elisha Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Ikulu jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu...

 

3 years ago

Dewji Blog

Rais Magufuli amuapisha Chiku Gallawa kuwa Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli mapema leo amemuapisha  Mh. Chiku Galawa (Pichani) kuwa Mkuu wa Mkoa mpya wa Songwe,  Tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam na kushuhudiwa na viongozi mbalimbali wa Serikali.

Chiku Gallawa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Luteni Mstaafu Chiku Gallawa kuwa Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016.

rais ikulu

Bonyeza hapa kushuhidia tukio hilo.

Chiku Gallawa

Rais wa...

 

3 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA MRISHO GAMBO KUWA MKUU WA MKOA WA ARUSHA.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mrisho Gambo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo mara baada ya tukio la Kiapo Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wa kwanza (kulia) na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za...

 

2 years ago

Malunde

Picha: RAIS MAGUFULI AMUAPISHA ANNA MGHWIRA KUWA MKUU WA MKOA WA KILIMANJARORais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Anna Elisha Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha Mghwira akila kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi huku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakishuhudia tukio hilo Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Elisha Mghwira akila kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi Ikulu...

 

3 years ago

Dewji Blog

Rais Magufuli amuapisha Chiku Galawa kuwa Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe (Video)

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli mapema leo amemuapisha  Mh. Chiku Galawa (Pichani) kuwa Mkuu wa Mkoa mpya wa Songwe,  Tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam na kushuhudiwa na viongozi mbalimbali wa Serikali.

Bonyeza hapa kushuhidia tukio hilo.

The post Rais Magufuli amuapisha Chiku Galawa kuwa Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe (Video) appeared first on DEWJIBLOG.

 

1 year ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AMUAPISHA DK. KILANGI KUWA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI, LEO IKULU DAR ES SALAAM

Rais Dk.  John Pombe Magufuli akimuapisha  Dk. Adelardus Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali, leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Dk. Magufuli alimteua juzi.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani