RAIS DK. MAGUFULI AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA RAFIKI YAKE, MAREHEMU FESTO ISOKOZA KATIKA HOSPITALI KUU YA JWTZ , LUGALO JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa marehemu Festo Rutamigwa Isokoza alipoongoza kuaga mwili huo katika Hospitali kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo jijini Dar es salaam leo Jumatano Mei 15, 2019. Isokoz, aliyekuwa mtaalamu wa kilimo alifanya kazi katika JWTZ na taasisi zake za kilimo kama vile JKT Itende na Mgambo kabla ya kustaafu akiwa Shirika la Elimu Kibaha,  alikuwa rafiki...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 days ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA RAFIKI YAKE MAREHEMU FESTO RUTAMIGWA ISOKOZA KATIKA HOSPITALI KUU YA JWTZ YA LUGALO JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa marehemu Festo Rutamigwa Isokoza alipoongoza waombolezaji kuaaga mwili huo katika Hospitali kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo jijini Dar es salaam leo Jumatano Mei 15, 2019. Marehemu, aliyekuwa mtaalamu wa kilimo alifanya kazi katika JWTZ na taasisi zake za kilimo kama vile JKT Itende na Mgambo kabla ya kustaafu akiwa Shirika la Elimu Kibaha,...

 

4 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MKUU WA WILAYA YA KYERWA MAREHEMU LUTENI KANALI BENEDICT KITENGA (MSTAAFU) LEO HOSPITALI KUU YA JESHI YA LUGALO, DAR ES SALAAM

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga (Mstaafu) aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera ambaye alifariki Dunia juzi asubuhi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mazishi yake yanatarajiwa kufanyika leo huko Morogoro. Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga (Mstaafu) aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera ambaye...

 

3 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MZEE JOSEPH MUNGAI JIJINI DAR LEO

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Mzee Joseph Mungai, aliewahi kuwa Waziri katika Wizara mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano kuanzia Awamu ya kwanza mpaka ya nne, ulioagwa leo katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es salaam.Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimpa pole mjane wa Marehemu Mzee Joseph Mungai.Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Mh. Benjamin Mkapa akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Mzee Joseph Mungai, aliewahi kuwa Waziri...

 

3 years ago

Michuzi

WAZIRI NAPE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU NDANDA KOSOVO JIJINI DAR LEO

 Sanduku lenye Mwili wa Marehemu Onawembo Ngongo a.k.a Ndanda Kosovo ukiwasili mapema leo mchana katika  nyumba ya Ubalozi wa Congo,iliopo Hananasifu-Kinondoni jijini Dar,kwa ajili ya kuagwa na hatimae mazishi yake kufanyika jioni ya leo katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar.
 Waziri Nape Nnauye akisalimiana na Waombolezaji waliofika kwenye msiba wa Mwanamuziki Mkongwe hapa nchini, Marehemu Onawembo Ngongo a.k.a Ndanda Kosovo ambaye  anatarajiwa kuzikwa jioni ya leo Makaburi ya Kinondoni...

 

3 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MBUNGE WA VITI MAALUUM WA CHADEMA JIJINI DAR LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Marehemu Christina Lissu Mughwai, ambaye alikuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo kwenye Ukumbi wa Karimjee, Jijini Dar es salaam. Marehemu Christina Lissu Mughwai, alifikwa na umauti mwishoni mwa wiki iliyopita, kutokana na Maradhi ya Kansa yaliyokuwa yakimsumbua.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akisaini...

 

5 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA MAREHEMU DKT WILLIAM SHIJA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Dkt William Shija alipoongoza shughuli za kuaga leo Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaamRais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole Mama Getrude Shija, Mjane wa  Marehemu Dkt William Shija alipoongoza shughuli za kuaga leo Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaamRais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kitabu cha maombolezo cha msiba wa  Marehemu...

 

4 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AONGOZAA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU LUTENI KANALI BENEDICT KITENGA (MSTAAFU) LEO LUGALO

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrishi Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga (Mstaafu) aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera ambaye alifariki jana asubuhi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mazishi yake yanatarajiwa kufanyika kesho huko Morogoro. Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga (Mstaafu) aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera ambaye...

 

2 weeks ago

CCM Blog

RAIS DK.. MAGUFULI AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA DK. REGINALD MENGI JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Rais Dk. John Magufuli akitoa mkono wa pole kwa mjane wa marehemu Dk. Mengi, Jacquiline Mengi, na watoto mapacha wa marehemu Dk. Mengi, alipoongoza waombolezaji  kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni za IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019. Picha zaidi za kuaga mwili wa Marehemu Dk. Mengi/Bofya HAPA

 

4 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AONGOZAA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU LUTENI KANALI BENEDICT KITENGA (MSTAAFU) LEO LUGALO‏

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrishi Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga (Mstaafu) aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera ambaye alifariki jana asubuhi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mazishi yake yanatarajiwa kufanyika kesho huko Morogoro Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani